Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.

Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm
Rostam anapigwa mkwara anakomaa.

2018
Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape kufanya kampeni mwaka 2015 inakamatwa na kurudishwa ofisi za CCM, Nape alishajimilikisha gari hilo utadhani CCM ni mali yake.

October 31 DSM
Mdogo wake Rosta Aziz aitwae Akram anakamatwa maenep ya Oyterbay na kufunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi, kutakatisha pesa, kukamatwa na nyara za serikali, kukamatwa na risasi na bunduki, nyama ya nyati, pembe za ndovu kadhaa,jumla mashtaka 75.

Nov 13, 2018 DSM
Rais Magufuli anakutana na Rosta Aziz Ikulu,nwalichojadili sasa. Anakabidhi Chanel Ten kwa CCM kimya kimya.

Dec 22, 2018 DSM
Mahakama ya hakim mkazi kisutu inamuhukumu Akram Aziz kifungo cha miaka 20 jela au kulioa faini milioni 259.5, pesa inaenda kuchukuliwa fasta na anaachiwa huru.

February 2019 tunatangaziwa kuwa Chanel Ten na Magic FM ni mali ya CCM.
Kuna kila dalili wewe si riziki
 
Aliyegawia hawara nyumba za serikali kwa sasa ni kioo cha jamii
Kwani huyo hawara alikuwa muarabu ? Je wahuni wa sa100 ambao wanaoza nchi kwa muarabu kwa kuua watanzania tusemeje
 
2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.

Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm
Rostam anapigwa mkwara anakomaa.

2018
Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape kufanya kampeni mwaka 2015 inakamatwa na kurudishwa ofisi za CCM, Nape alishajimilikisha gari hilo utadhani CCM ni mali yake.

October 31 DSM
Mdogo wake Rosta Aziz aitwae Akram anakamatwa maenep ya Oyterbay na kufunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi, kutakatisha pesa, kukamatwa na nyara za serikali, kukamatwa na risasi na bunduki, nyama ya nyati, pembe za ndovu kadhaa,jumla mashtaka 75.

Nov 13, 2018 DSM
Rais Magufuli anakutana na Rosta Aziz Ikulu,nwalichojadili sasa. Anakabidhi Chanel Ten kwa CCM kimya kimya.

Dec 22, 2018 DSM
Mahakama ya hakim mkazi kisutu inamuhukumu Akram Aziz kifungo cha miaka 20 jela au kulioa faini milioni 259.5, pesa inaenda kuchukuliwa fasta na anaachiwa huru.

February 2019 tunatangaziwa kuwa Chanel Ten na Magic FM ni mali ya CCM.
CCM Chanel ten ni ya kwao kabisa toka zamani Tu
 
Mmeambiwa acheni kumpost ili aache kutrend; hivi nyie hamsikii?
Asante kwa kutushtua. Bandari yetu!

Na vyeo alivyokuwa anahonga vilikuwa vya nani ?
Rais ni kama baba anpo exercise dominion ya mali nyumbani anampa anayemtaka , Mimi nilipewa kama wewe ni toto tukutu unakula jeuri yako
 
Back
Top Bottom