Je ni dawa gani inatumika kwenye mashine hizi? Isije ikawa ni zile Rais wetu ametueleza haziui virus?
Je tuna bajeti ya kitaifa kupambana na janga hili au tunategemea michango binafsi? Maana naona mochango ya watu binafsi ndiyo inafanya kazi inayoonekana tena kwenye miimili yote ya dola na pande zote za nchi yetu!