Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

Alivyotoa vinasafisha hata wabunge wako.
Pole umekubali kuwa ni mwizi,umekubali kupokea najisi,umekubali kuwa magufuli ni mnafiki wa kupambana na mafisadi,umekubali kuuuza Utu wako kwake yaani fedha umeiweka mbele kuliko maslahi ya watanzania.
 
Kwa jinsi awamu hii ilivyoingia na mikwara mbuzi kwamba inapambana na mafisadi, sikutarajia huyo Rostam kama leo ndio angekuwa anacheza na taasisi za serikali kwa karibu. Wale waliokuwa wanasema Magufuli anapambana na mafisadi tuliwaambiwa kuwa hapambani na mafisadi, bali anapambana na matumizi ya neno fisadi. Leo imedhihirika kambale msafi hataki bwawa chafu.
Mh... !
 
Kwa wenzetu, there is no free lunch. Taifa gesi lazima ipewe deals.
 
Pole umekubali kuwa ni mwizi,umekubali kupokea najisi,umekubali kuwa magufuli ni mnafiki wa kupambana na mafisadi,umekubali kuuuza Utu wako kwake yaani fedha umeiweka mbele kuliko maslahi ya watanzania.

Wewe kaa tu "mwizi mwizi", Hivi vituo vya polisi huvijui?

Wenzako tunatumia gas yake tena inaitwa Taifa Gas. Wewe unapikia nini, mavi ya ng'ombe? Jionee...

Hata mimi najiuliza, ukimpuliza mtu na bado ameambukizwa sio akikohoa wadudu sio wapo palepale mdomoni ataeneza tu?
wanasema Mbwa ukimjua jina wala hakung'ati , Rostam anawajulia hawa jamaa
 
HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Mbona tayari alishakuwa rais? Tulia, Rostam hana mpango wa kukalia kiti mwenyewe, yeye ni KING MAKER. Yeye huandaa rais, na kisha anakusanya malipo yake kwa faida kubwa. Kipindi cha JK uliuona mziki wake, kabla hajaachana na ubunge?
 
Nimeuliza yanahitaji majibu kwa mujibu ya kanuni zao.

Maana wapo wengi sijaona kuagwa bungeni kama Rashid Akbar(Newala vijijini)
Mbunge akifariki wakati bunge linaendelea na vikao ndio atapelekwa Bungeni kuagwa na bunge zima!
 
Back
Top Bottom