OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
CIA agent penetration
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli uzoefu wako ni mkubwa sana sana Daudi Mchambuzi nipe basi contactswazee wa design ile huwa wanakula firigisi tu.
🤣🤣🤣 inabidi uongee na mtoto wa Downtown Lemutuz ndiyo huwa anajipendekeza kwa watu kama haoKwakweli uzoefu wako ni mkubwa sana sana Daudi Mchambuzi nipe basi contacts
Usihofu🤣🤣🤣 inabidi uongee na mtoto wa Downtown Lemutuz ndiyo huwa anajipendekeza kwa watu kama hao
Hivi ni Nchi gani nyingine inatumia njia hii kudhibiti Corona ?
[/QUOTE
China mtumishi.
I told us to wait...Jana niliwaambia watumishi kama wanajiona wao wana miili iliyopikwa kwa mlima wa moto basi wakakusanyike wamuage.
Hivi wewe unauhakika gani kama unaasili ya TZ? Jee unaweza kwenda generation 6 nyuma kuthibitisha kuwa wewe ni mtanzania? Mimi ninafahamu familia fulani hapa ambao babu wa babu yao alizikwa bagamoyo 1896 kando ya msikiti walioujenga.HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Kule sehemu sehemu dawa inafikaje huko maana kuna wengine wanasiliba sana nguo mbili mbiliMfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo hayana vyama!
Nimeona china lakini jeshini tuu sio uraiani tena kule baada ya kupuliziwa hiyo dawa mbele kuna fan kama 8 hivi nazo zimetegwa kila kona zinakupilizia tena mvuke ambao nao una dawa tena unabaki nayo mwilini kama pafyumuHivi ni Nchi gani nyingine inatumia njia hii kudhibiti Corona ?
Na kila kilomita moja jiwe ana 10 milioni zake cha juuStandard gauge anajenga Rostam kapewa na jiwe!!
Wewe na huyo beki 3 hamna sifa za kushiriki mazishi!
Aisee!!cjui kwnn alichelewa?Kwanini hakuwahi Kuutoa ili wana Mikocheni waendelee kula Matunda yatokayo katika Milima ya Moto yenye Kuua Shetani?
Bwashee kwenye watu 10 TU huyo beki tatu na jamaa yake Daudi Mchambuzi watakuwepo kweli?
Bwashee kwenye watu 10 TU huyo beki tatu na jamaa yake Daudi Mchambuzi watakuwepo kweli?
Dah Rostam azizi mungu akubaliki, hizi mashine pia zimgewekwa stand ya bus Mtu akiingia Na kutoka lazima apite pale,Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo hayana vyama!
Rostam ni Mtanzania kama wewe hapo. Hata wewe tukifuatilia vizazi vinne nyuma utajikuta siyo Mtanzania. Achana na Rangi. Kuna wahindi au hata waarabu ambao Babu zao walikuja hapa kabla ya wale wa kwako hawajatoka kule kwao Benin. Acha hizo.HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Amechanganyikiwa huyoHuyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
Wangesema analetwa bungeni pia angekosoa.
Sent using Jamii Forums mobile app