Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

Jana niliwaambia watumishi kama wanajiona wao wana miili iliyopikwa kwa mlima wa moto basi wakakusanyike wamuage.
I told us to wait...

So kashazikwa!?

A lone burial service.
 
HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Hivi wewe unauhakika gani kama unaasili ya TZ? Jee unaweza kwenda generation 6 nyuma kuthibitisha kuwa wewe ni mtanzania? Mimi ninafahamu familia fulani hapa ambao babu wa babu yao alizikwa bagamoyo 1896 kando ya msikiti walioujenga.
Jee wewe na mzao wa jamii hiyo, nani anahaki ya kujiita mtanzania kuliko mwingine???
 
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.

Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.

Maendeleo hayana vyama!
Kule sehemu sehemu dawa inafikaje huko maana kuna wengine wanasiliba sana nguo mbili mbili
 
Hivi ni Nchi gani nyingine inatumia njia hii kudhibiti Corona ?
Nimeona china lakini jeshini tuu sio uraiani tena kule baada ya kupuliziwa hiyo dawa mbele kuna fan kama 8 hivi nazo zimetegwa kila kona zinakupilizia tena mvuke ambao nao una dawa tena unabaki nayo mwilini kama pafyumu
 
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.

Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.

Maendeleo hayana vyama!
Dah Rostam azizi mungu akubaliki, hizi mashine pia zimgewekwa stand ya bus Mtu akiingia Na kutoka lazima apite pale,

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Hivi hawa jamaa mbona wanajipenda sana ...kwanini wasimuulize mwenzao alizitoa wapi wakubaliane kukatana posho zao wachange waende kujinunulia zao.. halafu hizi watuachie sie wananchi wanyonge kwenye stand kubwa kama pale ferri...!! Watu wa ajabu sana hawa
 
HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Rostam ni Mtanzania kama wewe hapo. Hata wewe tukifuatilia vizazi vinne nyuma utajikuta siyo Mtanzania. Achana na Rangi. Kuna wahindi au hata waarabu ambao Babu zao walikuja hapa kabla ya wale wa kwako hawajatoka kule kwao Benin. Acha hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom