Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Huyu jamaa ni tajiri kama yule marehemu Dos Santos wa Angola!?
 
Na hii ndio inachangia wafanyabiashara matajiri wa Afrika kutoheshimiwa kwani tenda nyingi wanapewa kwa mlango wa nyuma na viongozi wa serikali ambao nao wana asilimia kadhaa wanakula humo humo. Mfano Manji alikuwa na tenda ya jeshi. Je, aliipata kwa haki!?
 
Wewe utajiri wa Rostam Aziz unakuhusu nini?.
 
Kwa hiyo ile kujisogeza tu tayari nina 10% za kuwa mafia?
 
Amenunu kampuni ya Coastal travel, ni vile vindege vicharter vinaenda Zanzibar, Mafia, na viwanja vya mbugani, au ukitaka kukodi binafsi dollar 4000 unakodi ndege inakupeleka unakotaka.
Dolar 4000 ni 8M net! Yaani ulipe 8M ukodi ndege kutoka Dar kwenda Songea?[emoji23] ni kwa muda gani baada ya kulipa hiyo hela utapata huduma za usafiri kwenye ndege zao?
 
Naona waliompa kandarasi nao walifaidi kweli 10%. Hasa wale vijana waliokuwa wanajiita "Boyz II Men". Yaani JMK na ENL.
Boyz 2 Men, nimeipenda hii. Yaani JK akiwa na miaka 45+ muda ambao ni mzee na ametoka jeshini anajiita Boyz 2 Men?[emoji23] ila JK anapenda sana mambo ya ujana
 
MWANAUME ANAPOFANYA KAZI YA KUMSIFIA MWANAMME MWENZAKE,inatia mashaka
 
Uchawa ni hatari sana!
tafuta zako wewe kenge, sasa unatupa za rostam ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…