Hata kama ungekuwa mkopo ni sawa, alimradi tuokoe maisha ya watu wetu. Kwetu sisi, mtu akiugua ugonjwa unaotishia uhai, kama huna chochote kabisa, hata nyumba unauza.
Hahahaaaa......... Hakuna mwanasiasa asiyechota bwashee!!
hahaAmbariki baba wa watu, babangu sijui alikosea wapi? Kukupa jero tu issue
Hela ya sherehe za Muungano sh 500 milioni mlipewa pia kuidhibiti Covid 19!
Kwanini kaamua kufanya haya ghafla namna hii!??Ndio tabu ya wabongo hii,rostamu angeweza kukaa kimya tu,lakini kujitolea bilioni karibu mbili SI mchezo
Kwasababu huu ugonjwa umeingia ghaflaKwanini kaamua kufanya haya ghafla namna hii!??
ππππRostam, Kagera Sugar aka Nassoro, Shubash Patel haya bwana..asanteni kwa kutusaidia..
Utajiri mzuri sana !!Jamaa anajitahidi sana
Kwa hiyo mtoa kauli huyo anapingana na wataalamu wa afya?"Tunatakiwa kujenga Imani zetu, Tusitegemee Mavitambaa ya Puani." -JPM
Mwambie na Jiwe basi atoke mafichoni tusaidiane kushinda hii vita.Rostam kweli unajitolea sana jamani, rafiki wa kweli utamjua wakati wa shida, asante mwana CCM mwenzangu, hii ni vita yetu sote, na sisi wananchi tufuate kwa juhudi kubwa ushauri wa wataalamu wa afya
Ungemaliza "kwenye standard gauge"Anarudisha kile kidogo alichochota.
Mwambie na Jiwe basi atoke mafichoni tusaidiane kushinda hii vita.
We jamaa vipi? Nani kamtaja Mkuu wa nchi? Hebu nionyeshe nilipomtaja Mkuu wa nchi. Soma vizuri, read between the line. Why panic? What is wrong with you?Who told you yuko mafichoni? Acheni umbea, unajua kama Mh. Rais anaweza ongoza nchi kutoka sehemu yoyote akiwa ndani ya nchi hii, umesikia akitoa maelekezo kwa viongozi wote na wanachapa kazi, ww unajua maana ya maficho, kwnn mna lugha za kijinga hv, mafichoni maana yake mtu hafanyi kazi wala hamumuoni akitoa maelekezo wala husikii chochote kuhusu huyo mtu, maana ya mafichoni haonekani kabisa huyo mtu.. Acheni mzaha mzaha na Mkuu wa nchi, Mkuu wa nchi hata kidogo sio mtu wa kumfanyia mzaha mzaha.
Una matatizo ya ufahamu wewe jamaa. Wapi nimemtaja Rais?Who told you yuko mafichoni? Acheni umbea, unajua kama Mh. Rais anaweza ongoza nchi kutoka sehemu yoyote akiwa ndani ya nchi hii, umesikia akitoa maelekezo kwa viongozi wote na wanachapa kazi, ww unajua maana ya maficho, kwnn mna lugha za kijinga hv, mafichoni maana yake mtu hafanyi kazi wala hamumuoni akitoa maelekezo wala husikii chochote kuhusu huyo mtu, maana ya mafichoni haonekani kabisa huyo mtu.. Acheni mzaha mzaha na Mkuu wa nchi, Mkuu wa nchi hata kidogo sio mtu wa kumfanyia mzaha mzaha.