Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

Hizi zinakuja kurudishwa hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ungekuwa mkopo ni sawa, alimradi tuokoe maisha ya watu wetu. Kwetu sisi, mtu akiugua ugonjwa unaotishia uhai, kama huna chochote kabisa, hata nyumba unauza.

Ningekuwa mimi ni Rais, kwaajili ya afya na uhai wa watu wangu, hata kama ni kitalu cha gas nitauza, alimradi watu wangu wapone.
 
Hela ya sherehe za Muungano sh 500 milioni mlipewa pia kuidhibiti Covid 19!

Ndio SMZ itoe maelezo ya hela zote iliopokea kupigana na covid19. Wananchi tujue hela imetumika vipi. Mpaka sasa SMZ haijafanya jitihada yoyote ya kupigana na Covid19 zaidi ya kufunga uwanja wa ndege kwa ndege za kimataifa, jambo ambalo halikuhitaji msaada wa fedha kutoka nje wala ndani kufanya ivo.
 
Rostam kweli unajitolea sana jamani, rafiki wa kweli utamjua wakati wa shida, asante mwana CCM mwenzangu, hii ni vita yetu sote, na sisi wananchi tufuate kwa juhudi kubwa ushauri wa wataalamu wa afya
Mwambie na Jiwe basi atoke mafichoni tusaidiane kushinda hii vita.
 
Who told you yuko mafichoni? Acheni umbea, unajua kama Mh. Rais anaweza ongoza nchi kutoka sehemu yoyote akiwa ndani ya nchi hii, umesikia akitoa maelekezo kwa viongozi wote na wanachapa kazi, ww unajua maana ya maficho, kwnn mna lugha za kijinga hv, mafichoni maana yake mtu hafanyi kazi wala hamumuoni akitoa maelekezo wala husikii chochote kuhusu huyo mtu, maana ya mafichoni haonekani kabisa huyo mtu.. Acheni mzaha mzaha na Mkuu wa nchi, Mkuu wa nchi hata kidogo sio mtu wa kumfanyia mzaha mzaha.
 
We jamaa vipi? Nani kamtaja Mkuu wa nchi? Hebu nionyeshe nilipomtaja Mkuu wa nchi. Soma vizuri, read between the line. Why panic? What is wrong with you?
 
Who told you yuko mafichoni? Acheni umbea, unajua kama Mh. Rais anaweza ongoza nchi kutoka sehemu yoyote akiwa ndani ya nchi hii, umesikia akitoa maelekezo kwa viongozi wote na wanachapa kazi, ww unajua maana ya maficho, kwnn mna lugha za kijinga hv, mafichoni maana yake mtu hafanyi kazi wala hamumuoni akitoa maelekezo wala husikii chochote kuhusu huyo mtu, maana ya mafichoni haonekani kabisa huyo mtu.. Acheni mzaha mzaha na Mkuu wa nchi, Mkuu wa nchi hata kidogo sio mtu wa kumfanyia mzaha mzaha.
Una matatizo ya ufahamu wewe jamaa. Wapi nimemtaja Rais?
 
Back
Top Bottom