Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hata kama ungekuwa mkopo ni sawa, alimradi tuokoe maisha ya watu wetu. Kwetu sisi, mtu akiugua ugonjwa unaotishia uhai, kama huna chochote kabisa, hata nyumba unauza.
Ningekuwa mimi ni Rais, kwaajili ya afya na uhai wa watu wangu, hata kama ni kitalu cha gas nitauza, alimradi watu wangu wapone.