Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

Uzuri uchafu wa Rostam sio wa kutafuta, unajulikana na kila mtanzania mwenye akili timamu
Na wa Dr Mihogo je? Hana moral authority kunyooshea wenzake vidole. Ameasi Kanisa,ameasi familia yake na ameasi chama chake.
 
Slaa ni garbage kabisa hv kwanza yupo chama kipi ?
Na kwnn
 
Kumbe Slaa alipiga kwenye mshono w!a hili jambazi la kimataifa et eh! Ngoja liharishe tu!
Hivi huyu mmiliki wa Kagoda iliyokomba hela za EPA
 
Mbona kama Rostam anajitetea sana.

Kuna kitu hakiko sawa
 
Uzuri uchafu wa Rostam sio wa kutafuta, unajulikana na kila mtanzania mwenye akili timamu
Msisahau kuwa Rostam Ndio alikuwa architect wa ufisadi wa EPA enzi ya Mkapa!!! Mkapa hakumfahamu Rostam lakini Rostam alimuingia rafiki wa karibu wa Mkapa Balozi Ruhinda sijui kama bado yuko hai ; lakini huyu ndiyo aliyemuunganisha Rostam kwa Mkapa na hatimaye kwa Gavana wa wakati huo maraehemu BALALI. Rostam ni mmoja wa mafisadi papa kama marehemu Mengi alivyowaita. Sio wa kumuamini kwani Kikwete alimtumia kwenye ufisadi wa ccm kwa kumuweka kama muweka hazina wa chama chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…