🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nyie vipusa na hohehahe mlitaka Dr Slaa afe kwa kumfia kengeza??? Mbona ni wajinga kiasi hiki??? DP World lazima apige mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nyie vipusa na hohehahe mlitaka Dr Slaa afe kwa kumfia kengeza??? Mbona ni wajinga kiasi hiki??? DP World lazima apige mzigo
Hivi nyie vipusa na hohehahe mlitaka Dr Slaa afe kwa kumfia kengeza??? Mbona ni wajinga kiasi hiki??? DP World lazima apige mzigo
Na wa Dr Mihogo je? Hana moral authority kunyooshea wenzake vidole. Ameasi Kanisa,ameasi familia yake na ameasi chama chake.Uzuri uchafu wa Rostam sio wa kutafuta, unajulikana na kila mtanzania mwenye akili timamu
Slaa ni garbage kabisa hv kwanza yupo chama kipi ?
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba wa bandari) kibiashara. Ningekuwa nahusika nisingekuwa jasiri wa kuyasema yale niliyoyasema katika mdahalo ule.
Unapohusika na jambo huwezi kulijadili, na pia huwezi kuwa na uwezo au neutrality (hali ya kutofungamana na upande wowote) ya kuzungumzia jambo lenyewe, hivyo ningekaa pembeni na kuacha wengine wajadili.
Mimi kama Rostam na kampuni zangu hatuhusiki na uwekezaji au utakaokuwa uwekezaji wa kampuni ya DP WORLD.
Mimi ni mfanyabiashara na nimewekeza ndani na nje ya nchi, na nimetangaza jina la Tanzania kote duniani kwa kuwavutia wawekezaji waje kuwekeza katika nchi yetu ili tuweze kupata ajira na tuimarisha uchumi wetu.
Watu wanapiga porojo na ninawapa changamoto waende mahakamani. Mimi ninaaminiwa na benki za ndani na za nje ndiyo maana wananikopesha,” amesema na kuongeza “Rais (John) Magufuli asigefungua viwanda vyangu kama mimi sio mfanyabiashara halali.
Mimi sifanyi kazi na serikali, huwezi kusikia Rostam anaomba tenda serikalini au anauza hata sindano serikalini. Mimi ni mfanyabiashara ninayefanya biashara na sekta binafsi ndio maana huwezi kunituhumu kuwa nimetoa rushwa au nimekula rushwa. Hayo maneno (ya Dkt. Slaa) ni ya uropokaji tu na yasiyifanyiwa utafiti.
Historia ya Dkt. Slaa haimpi heshima wala uhalali wa kujifanya eti yeye ni mtu wa kujali maslahi ya Watanzania. Siku zote amejijali yeye binafsi na maslahi yake binafsi.
Dkt. Slaa aliacha kazi ya utumishi wa Mungu kanisani baada ya utovu wa maadili kwa kuona maisha yake ni bora zaidi kuliko utumishi wa Mungu. Historia yake ni historia ya kukosa uaminifu an uadilifu.
Dkt. Slaa hakujiunga upinzani kutokana na imani yake kwa sababu jina lake lilikatwa alipogombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na sababu iliyotolewa wakati wa kukatwa jina lake ni sababu ya kukosa uadilifu alipokuwa mtumishi wa Mungu kanisani.
Huyu Bwana Dkt. Slaa anaangalia maslahi yake binafsi, hakuwa mwanachama wa CHADEMA bali alipoona jina lake limekatwa (alipogombea kupitia CCM) ndio akahamia CHADEMA
---
My Take
CCM na Team ya Magufuli mje na nyinyi mtujibu mlimnunua Dr. Slaa kwa bei gani

Aliharibu kukubali ofa ya ubalozi bora angetulia ningemheshimu zaidiHalafu baadae akakimbilia huko huko🤣🤣🤣🤣
Anacheza mdembwendeMama yeye yupo kimyaaaaa
Tanzania tumeruhusu uraia pacha?Naye ni mtanzania ana haki ya kutoa maoni, mbona mnakataa mawazo kinzani?
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba wa bandari) kibiashara. Ningekuwa nahusika nisingekuwa jasiri wa kuyasema yale niliyoyasema katika mdahalo ule.
Unapohusika na jambo huwezi kulijadili, na pia huwezi kuwa na uwezo au neutrality (hali ya kutofungamana na upande wowote) ya kuzungumzia jambo lenyewe, hivyo ningekaa pembeni na kuacha wengine wajadili.
Mimi kama Rostam na kampuni zangu hatuhusiki na uwekezaji au utakaokuwa uwekezaji wa kampuni ya DP WORLD.
Mimi ni mfanyabiashara na nimewekeza ndani na nje ya nchi, na nimetangaza jina la Tanzania kote duniani kwa kuwavutia wawekezaji waje kuwekeza katika nchi yetu ili tuweze kupata ajira na tuimarisha uchumi wetu.
Watu wanapiga porojo na ninawapa changamoto waende mahakamani. Mimi ninaaminiwa na benki za ndani na za nje ndiyo maana wananikopesha,” amesema na kuongeza “Rais (John) Magufuli asigefungua viwanda vyangu kama mimi sio mfanyabiashara halali.
Mimi sifanyi kazi na serikali, huwezi kusikia Rostam anaomba tenda serikalini au anauza hata sindano serikalini. Mimi ni mfanyabiashara ninayefanya biashara na sekta binafsi ndio maana huwezi kunituhumu kuwa nimetoa rushwa au nimekula rushwa. Hayo maneno (ya Dkt. Slaa) ni ya uropokaji tu na yasiyifanyiwa utafiti.
Historia ya Dkt. Slaa haimpi heshima wala uhalali wa kujifanya eti yeye ni mtu wa kujali maslahi ya Watanzania. Siku zote amejijali yeye binafsi na maslahi yake binafsi.
Dkt. Slaa aliacha kazi ya utumishi wa Mungu kanisani baada ya utovu wa maadili kwa kuona maisha yake ni bora zaidi kuliko utumishi wa Mungu. Historia yake ni historia ya kukosa uaminifu an uadilifu.
Dkt. Slaa hakujiunga upinzani kutokana na imani yake kwa sababu jina lake lilikatwa alipogombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na sababu iliyotolewa wakati wa kukatwa jina lake ni sababu ya kukosa uadilifu alipokuwa mtumishi wa Mungu kanisani.
Huyu Bwana Dkt. Slaa anaangalia maslahi yake binafsi, hakuwa mwanachama wa CHADEMA bali alipoona jina lake limekatwa (alipogombea kupitia CCM) ndio akahamia CHADEMA
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi
Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
---
My Take
CCM na Team ya Magufuli mje na nyinyi mtujibu mlimnunua Dr. Slaa kwa bei gani
Anataka asafirishe Gesi zake kwa UrahisiRostam Aziz Issue ya Bandari inakuuma nini?
Wewe ni msemaji wa Serikali?
Jaribu kutulia tumekuvumilia sana sana kwenye mambo ya Taifa gas, madini, umene ?
Ccm wanaujua uzalendo wake.Duh sasa yeye Rostam anauzalendo gani?
Ni kweli kabisa sijui alijipenyeza vipi kwenye serekali ya jiwe. Tukashangaa jiwe ametutoka ghafla. Majitu hatari hayaRostam ndio serikali. Kumbuka last moments za Jiwe pale Morogoro huyu na akina JK ni hatari sana.
Msisahau kuwa Rostam Ndio alikuwa architect wa ufisadi wa EPA enzi ya Mkapa!!! Mkapa hakumfahamu Rostam lakini Rostam alimuingia rafiki wa karibu wa Mkapa Balozi Ruhinda sijui kama bado yuko hai ; lakini huyu ndiyo aliyemuunganisha Rostam kwa Mkapa na hatimaye kwa Gavana wa wakati huo maraehemu BALALI. Rostam ni mmoja wa mafisadi papa kama marehemu Mengi alivyowaita. Sio wa kumuamini kwani Kikwete alimtumia kwenye ufisadi wa ccm kwa kumuweka kama muweka hazina wa chama chao.Uzuri uchafu wa Rostam sio wa kutafuta, unajulikana na kila mtanzania mwenye akili timamu
Mnataka kumjibu?,😅😅Rostam akijibiwa asije akakimbia nchi
DuuhRostam ndio serikali. Kumbuka last moments za Jiwe pale Morogoro huyu na akina JK ni hatari sana.
Kwa hili nitamwamini Dr Slaa kuliko RostamUzuri uchafu wa Rostam sio wa kutafuta, unajulikana na kila mtanzania mwenye akili timamu
Kwa hili nitamwamini Dr Slaa kuliko Rostam
Hili lenyewe kweliDr. Slaa itabidi ajibu sputum kuwa alinunuliwa na Kisha akapewa uBalozi!