Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

Popcorn wanauzaje kwa bei ya jumla? Dr Slaa anakuja na scene ndefu sana... tujipange. Haya ndo mambo anayopenda Slaa.
 
Ukionamafisi yametoka vichakani na kuja hadharani ujue kuna mzoga umeachwa
 
Slaa kapigwa ya chembe
 
kufeni kwa chuki zenu!! Makelele yote haya kumbe sababu DP WORLD ni waarabu? Upuuzi kabisa yaan..
Ulikuwa hujajua kumbe!
Wanakwambia nchi ipo kwa waislam
Ajabu Sanaa watu wanaokuja na mambo ya kiimani.
 
Asubirie mizinga na mabomu toka kwa Slaa. Utawekwa ukweli kuhusu maslahi yake kwa DP world atajuta kumsema
Dr Slaa kaisha sasa hivi. Nilimsikiliza kwenye Press conf iliyopita, ni ukali tu kwa kila swali analoulizwa. Hana lolote, mwizi na mla rushwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…