Rostam Aziz kugeukia Waislamu, Kuibua wengine CHADEMA


Siamini Mahita ni jambazi na kama Jambazi alijifunza au alifunzwa alipokuwa KILIMANJARO au LAGOS YA TANZANIA.
 

Umesema LUGHA YA CHADEMA IWE LUGH YA KICHAGGA..Sasa nataka useme kati ya lugh hizi mbili za Ndesamburo na Mbowe...
1)Mbowe=Kimachame
2)Ndesamburo=Kimarangu.

NB:Unaweza ukaanzisha thread ili wale wanaokuunga mkono wapige kura kati ya makabila hayo mawili hapo juu.
 
JMushi1,
kwa hiyo haya yote unayoiyasema ni kwa sababu wewe Mchagga au?..
maanake nashindwa kuelewa kitu kimoja hapa.
Unaonyesha utetezi wako kama vile ni wa kikabila kukutea dhana chafu zinazowaumbua Wachagga lakini inapofikia kueleza unatumia Utanzania kama vile Wachagga tu ndio Watanzania...Kwa maana hiyo nimeshindwa kuelewa huyo Mgagagigikoko unayemzungumzia ni kabila gani ama raia gani?..
Mkuu hili la lugha wala sii hoja kabisa..
Wasomali wote wanaongea lugha moja na bado wa Ukabila. Hao Wahutu na watusi waongea lugha moja na bado sii kabila moja..mimi nadhani ni bora sana kuaacha kubishana na huyu jamaa kuhusiana na hili neno kabila maanake mnatupoteza wengi...

Nachokiona mimi toka kwa Mgagagigikoko kuhusiana na Chadema, ni hali ya kawaida kabisa kwa waafirka! NDIVYO TULIVYO - hainipotezei usingizi wala pumzi.

Chadema ni chama cha Wachagga!..Ni lugha ya kawaida kabisa kwa mtu yeyote aisetaka majukumu. Haya ndio maneno ya Majaluo wakati Mau Mau wanapigania Uhuru, waliitwa wao ni chama cha Wakikuyu kumbe mjaluo alikuiwa mwoga kuingia vitani, lakini baada ya Uhuru kupatikana kila mmoja anaweka madai kuwa Kenya ni yake!..
 
Siamini Mahita ni jambazi na kama Jambazi alijifunza au alifunzwa alipokuwa KILIMANJARO au LAGOS YA TANZANIA.

Si unaona DOUBLE STANDARD!
Mi nakwambia MKAPA ALITUMWA UCHAGANI NA AMEKOSEA MAHESABU KWANI ANAWEZA KWENDA JELA!
Mimi sijuwi ni nini walikubaliana lakini haiwezekani mtu aje kuowa uchaggani halafu alisambaratishe kabila la wachagga kiasi hicho na huku akimpa MUSUGURI share kwenye MEREMETA ILI AWAANGAMIZE WACHAGGA!
 

Mkandara...Nitajie na wewe kabila lako kwanza ili mjadala huu uwe hoja kwa hoja na si kuyaingiza makabila mengine kwenye ukabila.
 

kWA MANENO HAYA UNATAKA 2010 KUWE NA MAKABILA MENGINE AMBAYO UTASEMA SI WACHAGGA ILA NI WAMARANGU, WAMACHAME NA WAROMBO ILI VITI MZIDI KUZIPELEKA KILIMANJARO?MTAKUWA NA VITI 12 TOKA KILIMANJARO, MNAKUJA NA SUB CHAGGA TRIBES NAZO ZIPATE VITI VYA UBUNGE,
UJANJA HUU MTAWADANGANYA WAJINGA WALIOPO CHADEMA MTU KAMA WANGWE KASHTUKA,SAWA NA KUSEMA KUWA MBUNGE WA MKOA WA DAR-ES-SALAAM NI MZARAMO HALAFU WEWE USEME KUWA KUNA MKINONDONI,MUILALA,MTEMEKE HALAFU KUNA WAZARAMO N.K

MUSHI HII JUSTIFICATION YA 2010 ITAKUWA KALI SANA NIMEIPENDA.
 

Kwani chadema ndiyo inatawala nchi?
Tukiamia ccm ndiyo UDINI!
Sasa ni heri tukate issue kuwa nani ni FISADI..PERIOD!
 

Kiwira Mining Kajaza Wachagga Watupu.
 

Mramba ni MROMBO.
Na hausiani na wachagga wote!
Hata kirombo ni tofauti na kimachame na kikibosho na hata kimarangu!
Wanaweza kusemana hao watu!
Haya makabila yalishazichapa sana lakini yamekuwa pamoja sasa.
Na hayana haja ya kupigana na wakurya ama kabila lolote!
TUNATAKA MAENDELEO YA TANZANIA NZIMA KWA KILA MTANZANIA MARA BAADA YA WATU KAMA NYIE KUFUTILIWA MBALI!
 
Kiwira Mining Kajaza Wachagga Watupu.

Kwasababu alijuwa atakutuma wewe kueneza injili ya kulimaliza kabila hilo kama mpango ulivyokuwa!
Sasa hata EPA si ni yeye aliwatumia waislam kina IDDI SIMBA NA BORA APTS NA KUZIGAWA KWA WACHAGGA AMBAO HATA SIASA WALIKUWA HAWAJUWI?
Tatizo ni kwamba mbinu ya MKAPA imeshindwa kwani kama angekubaliwa kuongeza muda madarakani kama alivyokuwa akitaka..Halafu mahita ndiyo IGP laiyekuwa akimpa tafu MASSAWE..Basi nakuhakikishia wengi wangesha uwawa na maybe kila mchagga angekuwa jela by the end of his third term!
Kwani nani alimuuwa Kombe na kudai eti ni jambazi linaloitwa Mushi?
Jamani...Nani hakujuwa gari la KOMBE YEYE KAMA MKURUGENZI WA USALAMA WA KILA MTU TANZANIA?
Hata MAHITA MWENYEWE KWA UNAFIKI ALIIPIGIA MAITI YAKE SALUTI..! IKIWA NA MAJERAHA YA KINYAMA YA RISASI ALIZOMIMINIWA!
MTU ALIYEJULIKANA NA KILA MTU!
TENA NA MIKONI ALINYOOSHA JUU!
BADO WAKAMLIMA RISASI MFULULIZO KINYAMA!
 
mkandara...nitajie Na Wewe Kabila Lako Kwanza Ili Mjadala Huu Uwe Hoja Kwa Hoja Na Si Kuyaingiza Makabila Mengine Kwenye Ukabila.

Huu Ndio Ukabila Kwanini Hadi Ujue Kabila Yake? Haikutoshi Kuwa Mwanachadema Mwenzako? Inabidi Muwe Na Watu Wa Kutafsiri Mikutano Yenu Ili Muwa Acomodate Watu Kama Mkandara,kitila Na Mwanakijiji.
 

Wote Ni Wachagga Na Lugha Yao Ni Moja Tu Pesa Au Ruzuku, Hawana Lugha Nyingine.
 
Jmushi1,
Sasa hata EPA si ni yeye aliwatumia waislam kina IDDI SIMBA NA BORA APTS NA KUZIGAWA KWA WACHAGGA AMBAO HATA SIASA WALIKUWA HAWAJUWI?

Duh hapo ndipo naposhindwa kukuelewa... sasa imekuwa Waislaam kina Simba kukabiriana na Wachagga!.. Hivi hao waislaam hakuna Wachagga..na ktk hilo sakata la EPA kuna waislaam wangapi?..Mbona lugha ile ile ya Wagagagigikoko ndio unaitumia wewe mwenyewe.. Waislaam wameingia vipi hapa yaani wewe ktk akili zako umemtazama Idd Simba kwa dini yake wala sio mawazo yake mwenyewe kama Mtanzania!
Kazi kweli kweli!
 

Tatizo ni yeye na si mimi Mkandara!
Fuatilia mjadala.
Kwani uanjifanya hujuwi katumwa na ROSTAMA ambaye alikuwa kanisani hivi majuzi?
Na huyu aliingizwa kwenye chama kwa malengo!
Si mnajuwa pesa nje nje!
 
Aloandika kuhusiana na Idd Simba ni wewe sio yeye nadhani hoja yangu inaeleweka!
 

wOTE NI WACHAGGA NA LUGHA YAO MOJA NI PESA AU MONEY KWA KIZUNGU AU RUZUKU,INAWEZEKANA WALIZICHAPA KUGOMBEA PESA BAADA YA KUTAKA KUDHULUMIANA,SIJAWAHI KUSEKIA WAPEMBA WAMEPIGANA KWA AJILI YA PESA,
POLE SANA BWANA MUSHI MSIWAUANE KWA AJILI YA PESA.
 
Wote Ni Wachagga Na Lugha Yao Ni Moja Tu Pesa Au Ruzuku, Hawana Lugha Nyingine.

Na lugha yako ni nini?
Kwani hapa si RUZUKU UNAGOMBEA?
Wanachama wa Tarime wamsema wanapokea laki nne kwa mwezi na wameridhika..Sasa wewe unataka wakupe pesa zaidi ya ulizopewa na ROSTAMA kwa niaba ya ccm Mtandao.
Sasa shida ni kwamba kupanda dau na FISADI LINALOHODHI NCHI NI NGUMU SANA!
Limewageuza wanaume wazima vyangudowa!
 
MKANDARA.
Tizama picha ya Mushi yuko kijijini kwao anachelea ruzuku sijui yuko na bibi yake.

Huyo ni OBAMA na BIBI YAKE HUKO KENYA!
Mimi niko hapa kwenye kampeni yake ya OBAMA FOR AMERICA na ninajifunza mengi na ndio maana wewe ni ngedere mdogo sana tu inapokuja kwenye hoja..Kwani hata Mc cain kamasi anatolewa.
 
huyo Ni Obama Na Bibi Yake Huko Kenya!
Mimi Niko Hapa Kwenye Kampeni Yake Ya Obama For America Na Ninajifunza Mengi Na Ndio Maana Wewe Ni Ngedere Mdogo Sana Tu Inapokuja Kwenye Hoja..kwani Hata Mc Cain Kamasi Anatolewa.
Asante Mimi Ni Ngedere, Wewe Basi Nikuite Mbege Au Mtori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…