Rostam Aziz: Mimi ndio Muasisi wa Bima ya Afya ( NHIF) nchini kama kuna anayebisha aende akasome Kitabu cha hayati Benjamin Mkapa !

Rostam Aziz: Mimi ndio Muasisi wa Bima ya Afya ( NHIF) nchini kama kuna anayebisha aende akasome Kitabu cha hayati Benjamin Mkapa !

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi

Ahsanteni sana 😄✔️
 
Aliyemuuliza hilo swali ni chawa wake,ina maana hakuona maswali yote ya kumuuliza Rostam Aziz mpaka aulize swali kama hilo?
 
Humu JF ni raha sana kwa comments za wachangiaji. kwa comment hii nimeelewa Tido na Rostam wote ni Chawa na Mende wa mama... labda angeenda kwa Nyanda au Chief Odemba, papo kwa kwa hapo ndio angeeleweka.
Aliyemuuliza hilo swali ni chawa wake,ina maana hakuona maswali yote ya kumuuliza Rostam Aziz mpaka aulize swali kama hilo?
 
Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi

Ahsanteni sana 😄✔️
Na yeye anakadi ya NHIF

NHIF card kwanza Kwa sasa hakuna uhakika wa Asilimia 100 wa matibabu ya uhakika ukiwa na kadi hii
 
Muasisi like how ? ; Kwamba hii ni brainchild yake ilikuwa haijawahi kufanyika popote duniani au alipata tender fulani ya kuweza kuweka mambo sawa ?

Na je anafaidika kwa lolote sasa hivi na huu mfumo ? Au ndio huenda yajayo ni kama ya kina SHA ya Kenya ?

Tatu ndio huu mfumo wa sasa ambao kuna watu wanaacha maiti zao kwa kukosa pesa mahospitalini na wengine BIMA ina vitu vichache na vingi havimo ?

Kwanini asingekwenda sehemu kama UK na ku copy NHS UK ambayo angalau ni healthcare for all au alichotaka kufanya Obama na OBAMA CARE ?

Anyway...

Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi

Ahsanteni sana 😄✔️
rostam ameeleweka, yeye ndiye muasisi wa upigaji kwenye NHIF
Asante kwa kutuelewesha
 
ni maswali yaliyoandaliwa, bima za afya zimeanza kutumika sehemu mbalimbali duniani asijivunie kucopy and paste.
 
Nadhani mleta mada ameamu'kumshughulikia' kwa namna yake. Hii i na mengine yanamshusha sana mlengwa!
Bima ya Afya ni Moja ya misingi mikuu ya taifa endelevu

Kwa hili Aziz ni lazima apongezwe

Hapo Kenya SHA inawatoa jasho Duale hapati usingizi
 
Wafanyabiashara wakubwa na wabunge ndiyo walipe Kodi.
Sisi wananchi wa kawaida tunalipa kodi kila kukicha wakina Abdul wananunulia ma-bughatti.
 
Back
Top Bottom