Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,853
- 14,082
Hili swali ilikuwaje mpaka ailizwe yeye Rostarm? alianza kuwaaithia kama yeye alikuwa ndiyo mtoa wazo wa Bima ya Afya?Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Ahsanteni sana 😄✔️