johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Post ya kipuuziKwahiyo makato ya NHIF yanaingia mfukoni mwake?
Aliyemuuliza hilo swali ni chawa wake,ina maana hakuona maswali yote ya kumuuliza Rostam Aziz mpaka aulize swali kama hilo?Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Ahsanteni sana πβοΈ
Yeye si Mwananchi? Mbona hajiweki kwenye kundi la kulipa Kodi? au umemnukuu vibaya?.... anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Aliyemuuliza hilo swali ni chawa wake,ina maana hakuona maswali yote ya kumuuliza Rostam Aziz mpaka aulize swali kama hilo?
Na yeye anakadi ya NHIFAkijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Ahsanteni sana πβοΈ
Mjadala ule uliandaliwa ipasavyo!Aliyemuuliza hilo swali ni chawa wake,ina maana hakuona maswali yote ya kumuuliza Rostam Aziz mpaka aulize swali kama hilo?
Hizo ndo akili Za ndugu zako Watanzania πππππPost ya kipuuzi
Kwani kila anayeasisi jambo la umma linakua lake?
Nadhani mleta mada ameamu'kumshughulikia' kwa namna yake. Hii i na mengine yanamshusha sana mlengwa!Post ya kipuuzi
Kwani kila anayeasisi jambo la umma linakua lake?
rostam ameeleweka, yeye ndiye muasisi wa upigaji kwenye NHIFAkijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Ahsanteni sana πβοΈ
Bima ya Afya ni Moja ya misingi mikuu ya taifa endelevuNadhani mleta mada ameamu'kumshughulikia' kwa namna yake. Hii i na mengine yanamshusha sana mlengwa!
Ilikuwa imepangwaAliyemuuliza hilo swali ni chawa wake,ina maana hakuona maswali yote ya kumuuliza Rostam Aziz mpaka aulize swali kama hilo?