Hili swali ilikuwaje mpaka ailizwe yeye Rostarm? alianza kuwaaithia kama yeye alikuwa ndiyo mtoa wazo wa Bima ya Afya?Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Ahsanteni sana 😄✔️
Amejibu nini kuhusu kununua migodi kwa bei chee mana hayo mengine sio hoja zamsingi?Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali uwezo zaidi
Ahsanteni sana 😄✔️
Hisa za migodi amenunua kwenye Stock exchange markets za Australia na LondonAmejibu nini kuhusu kununua migodi kwa bei chee mana hayo mengine sio hoja zamsingi?
Ndugu umepotelea wapi? Au uliondoka a Ban la TCRA?Serikali uwezo zaidi
Hii ndiyo post ya mwisho ya ndugu yetu hapa jukwaani.Hisa za migodi amenunua kwenye Stock exchange markets za Australia na London
Swali lingine
Last seen yake ni lini?Hii ndiyo post ya mwisho ya ndugu yetu hapa jukwaani.
Je mnawaza niwazavyo?
Huyu member ni kama anajua mengi ya mfumo. Anaweza kuwa alikuwa msaada mkubwa kwa umma na yakatokea sote tuyajuao kwa wanaotekwa na kunyamazishwa na Samia