Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

U

Uliwahi kuona mikataba ya MAFISADI wa CCM hata siku moja?!
jiongeze basi. Nchi yetu hii lazima tuipiganie kwa wivu mkubwa sio kuiuza kidalali dalali na KIFISADI.
Naona una mihemuko binafsi. Sasa hapa CCM inaingia vipi wakati mwenye fedha zake ananunua biashara inayouzwa. Wivu wa hivyo ni WA KIJINGA tu.

Je MTN au Orange wangenunuanTIGO ndiyo ungeshangilia kwa mfano
 
Hao wana roho za kimasikini zomeja wivu tu, angenunua wasie mjua wange ka kimya.
 
Hiyo mvua iko wapi au unaishi mbinguni?
Mvua zipo nyingi tuu .. Mbeya , kilimanjaro , bukoba ,songwe ,sumbawanga ...
Lushoto umefika , handeni ...

Uchumi wa buluu Zanzibar .. tunahitaji nini labda ?

Pia hapo mazao yasiyohitaji Mvua nyingi mengi tuu ...

Au shida masoko?
 
Hahahahh,niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni moja, boss ana njaa afadhari ya Darfuu, kila safari yeye. Kuna mabosi wananjaa kama Sudan kusin
Ukifanya kazi kwa boss kama huyo unakufa maskini na stress juu. Kwanza hata siku moja hana appreciation. Yeye anaona kila siku anapata hasara tu.
 
Tigo aka MIC group, Taifa gas, Primefuel, Caspian ltd, Hisa Mwadui diamond mine, Tancoal mine..... Mzee wa Caspian sea anachanja mbuga tu.....

Wanyonge tukomae tutoboe tuache kulialia....
Weka na mgodi wa tanzaniteone mererani manyara
 
Back
Top Bottom