Shida sio uzawa, shida ni Rostam.Zantel inamilikiawa na Tigo.
Na Rostam Share zake Voda ambayo ni kampuni kubwa Kuliko Tigo zilikuwa ni asilimia 30, kuna maajabu gani Akimiliki Tigo?
Na kwako Ushindani ni mgeni mmoja kama Millicom Toka Luxembourg amiliki Kampuni Tanzania lakini kampuni hio hio hapaswi kumiliki Mzawa?
Huyo anaepinga umuambie basi tutamzuia Rostam asinunue tutakuuzia wewe, uone atakavyotoa macho kama kamuona Ziraili.
Chuki tu za masikini kwa waliojaaliwa kuwa nacho.