Naona una mihemuko binafsi. Sasa hapa CCM inaingia vipi wakati mwenye fedha zake ananunua biashara inayouzwa. Wivu wa hivyo ni WA KIJINGA tu.U
Uliwahi kuona mikataba ya MAFISADI wa CCM hata siku moja?!
jiongeze basi. Nchi yetu hii lazima tuipiganie kwa wivu mkubwa sio kuiuza kidalali dalali na KIFISADI.
Hao wana roho za kimasikini zomeja wivu tu, angenunua wasie mjua wange ka kimya.Naona una mihemuko binafsi. Sasa hapa CCM inaingia vipi wakati mwenye fedha zake ananunua biashara inayouzwa. Wivu wa hivyo ni WA KIJINGA tu.
Je MTN au Orange wangenunuanTIGO ndiyo ungeshangilia kwa mfano
Mvua zipo nyingi tuu .. Mbeya , kilimanjaro , bukoba ,songwe ,sumbawanga ...Hiyo mvua iko wapi au unaishi mbinguni?
Ni yule yule RA na hao Axian ni mtu 1Soma vizuri habari, Ni Rostam kushirikiana na Axian Group
Ukifanya kazi kwa boss kama huyo unakufa maskini na stress juu. Kwanza hata siku moja hana appreciation. Yeye anaona kila siku anapata hasara tu.Hahahahh,niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni moja, boss ana njaa afadhari ya Darfuu, kila safari yeye. Kuna mabosi wananjaa kama Sudan kusin
Rostam ni sio mtu mmoja ni kikosi kazi.But Rostam ni tajiri kupita kiasi
Weka na mgodi wa tanzaniteone mererani manyaraTigo aka MIC group, Taifa gas, Primefuel, Caspian ltd, Hisa Mwadui diamond mine, Tancoal mine..... Mzee wa Caspian sea anachanja mbuga tu.....
Wanyonge tukomae tutoboe tuache kulialia....
Nimegoogle Axian inamilikiwa na Hirdjee family ambao ni wahindi Raia wa ufaransa walioanzisha kampuni Madagascar.Ni yule yule RA na hao Axian ni mtu 1
Mimi nadhani serikali itoe elimuTume ya ushindani inasemaje? Mtu mmoja anawezaje kumiliki Zantel na Tigo!
Walete mitaji kama wawekezaji sio kuja kujiweka kwa mzawa haalfu unatozwa Kam mzawawanaoleta mitaji kutoka nje ndio wanaokuza uchumi.
HahahahUkifanya kazi kwa boss kama huyo unakufa maskini na stress juu. Kwanza hata siku moja hana appreciation. Yeye anaona kila siku anapata hasara tu.
Yesu akirudi😂😂😂itazuia CCM kuiuza nchi wakakavyo !! Miaka 60 ya huru bado tunahangaika na madawati shule za msingi... sasa tutarusha lini hiyo Satellite yetu.