Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 339
- 678
Natamani.....afanyiwe kama ......eliminated...its mustMfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.
Amesema mtandao unaundwa na watu ambao mawazo yanaendana/shahibiana. Amesema kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia lazima kuwe na mtandao wa watu ambao mawazo Yao yanafanana, bila mtandao basi unakuwa ni Udikiteta na siyo Demokrasia tena. Amesema mtandao ni tafsiri ya election na si selection.
Amesema kuwa mwaka 1995 Yeye, Kikwete na Lowasa walikuwa kwenye mtandao mmoja wa Kikwete. Amesema kuwa mtandao wao ulizidiwa uwezo na mtandao wa hayati Benjamin Mkapa uliokuwa unaongizwa na .....(marehemu) ndiyo maana Mkapa alishinda na wao kushindwa. Lakini amesema mwaka 2005 walijipanga vizuri mtandao wao ukashinda.
"Pia mtandao unaweza kubadilika kulingana na muda na hata mazingira. Hivyo mtandao wa mwaka 1995, hata mwaka 2005 hatukuwa wote. Wengine walifariki na wengine kubadilika" amesema RA
Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.
Rostam amesema wanamtandao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira. Amesema siyo kweli kuwa mtandao wa 1995 mpaka Leo upo. Amesema mtandao wa Mkapa ulishindwa 2005 kwa hiyo huwezi kusema bado upo, amesema mtandao wao na Kikwete ulikufa 2015 na ukaingia mtandao wa JPM kwa hiyo si rahisi mtandao wa wao wao wa 2015 kuendelea kuwepo kwa kuwa mazingira na wakati vinabadilika.
Tafsiri yake ni kuwa mtandao wa 2015 nao umekufa baada ya Dkt Samia Suluhu Hassan kushika hatamu. Polepole anatakiwa kutulia. Atambue kuwa zama na mtandao wao ulikufa kama ilivyokufa mitandao mingine.
Rostam Aziz amesistiza kuwa "kama unataka Siasa za Ushindani ni lazima mitandao itakuwepo kwa kuwa kila mgombea ataunda Mtandao wake kushinda na Ukiona mtu hataki mtandao basi jua huyo ni Dikteta" , amesema Rostam Aziz
"Mtandao ni tafsiri ya Election na Si Selection katika taifa la Siasa za ushindani wa Kidemokrasia " amemaliza Rostam Aziz.
Kwa majibu haya ya ROSTAM yule jamaa alijificha pangoni akiwa anatafuta followers na Viewers atakuwa amejibiwa vizuri.
Ukiangalia haya mambo unabaini kuwa Ujio wa polepole unasadif msemo wa " KICKS OF A DYING HORSE" kwa sababu hata yeye anajiIMAGE kuwa ni mtandao wa Mhe aliepita...ni kusema kuwa kwenye siasa za ushindani networking ni inevitable. Picha hii ni common sana kwenye siasa za Marekani. ELON MUSK ndie alieongoza mtandao wa wahafidhina uliomueka Donald madarakani. The same for Kenya ambako W. Ruto alieongoza mtandao dhidi ya timu Kenyatta. So that is it!!!Mwandiko wako unachosha, hauvutii, haueleweki na hauna swaga.
Kwa kifupi mtandao wako hauna network.
sure, between the lines unaigundua tuHuyu jamaa kuna code katoa bila kutegemea...
Mtandao kwaajili ya kuibagaza na kuibananga nchiMfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.
Amesema mtandao unaundwa na watu ambao mawazo yanaendana/shahibiana. Amesema kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia lazima kuwe na mtandao wa watu ambao mawazo Yao yanafanana, bila mtandao basi unakuwa ni Udikiteta na siyo Demokrasia tena. Amesema mtandao ni tafsiri ya election na si selection.
Amesema kuwa mwaka 1995 Yeye, Kikwete na Lowasa walikuwa kwenye mtandao mmoja wa Kikwete. Amesema kuwa mtandao wao ulizidiwa uwezo na mtandao wa hayati Benjamin Mkapa uliokuwa unaongizwa na .....(marehemu) ndiyo maana Mkapa alishinda na wao kushindwa. Lakini amesema mwaka 2005 walijipanga vizuri mtandao wao ukashinda.
"Pia mtandao unaweza kubadilika kulingana na muda na hata mazingira. Hivyo mtandao wa mwaka 1995, hata mwaka 2005 hatukuwa wote. Wengine walifariki na wengine kubadilika" amesema RA
Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.
Rostam amesema wanamtandao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira. Amesema siyo kweli kuwa mtandao wa 1995 mpaka Leo upo. Amesema mtandao wa Mkapa ulishindwa 2005 kwa hiyo huwezi kusema bado upo, amesema mtandao wao na Kikwete ulikufa 2015 na ukaingia mtandao wa JPM kwa hiyo si rahisi mtandao wa wao wao wa 2015 kuendelea kuwepo kwa kuwa mazingira na wakati vinabadilika.
Tafsiri yake ni kuwa mtandao wa 2015 nao umekufa baada ya Dkt Samia Suluhu Hassan kushika hatamu. Polepole anatakiwa kutulia. Atambue kuwa zama na mtandao wao ulikufa kama ilivyokufa mitandao mingine.
Rostam Aziz amesistiza kuwa "kama unataka Siasa za Ushindani ni lazima mitandao itakuwepo kwa kuwa kila mgombea ataunda Mtandao wake kushinda na Ukiona mtu hataki mtandao basi jua huyo ni Dikteta" , amesema Rostam Aziz
"Mtandao ni tafsiri ya Election na Si Selection katika taifa la Siasa za ushindani wa Kidemokrasia " amemaliza Rostam Aziz.
Kwa majibu haya ya ROSTAM yule jamaa alijificha pangoni akiwa anatafuta followers na Viewers atakuwa amejibiwa vizuri.
Hii miandiko yenu! 😅Rostam yuko sahihi lakini kushinda Uchaguzi siyo lazima pawepo mtandao bali hata ufuasi humfanya mtu ashinde
1995 Wafuasi wa Nyerere walimchagua Mkapa
2005 Mtandao wa Lowassa , Rostam, Membe na Sitta ulimchagua Kikwete
2010 Wafuasi wa Kikwete walimchagua Kikwete
2015 Wafuasi wa Kikwete walimchagua Magufuli
2020 Wafuasi wa Magufuli walimchagua Magufuli
2025 Dr Samia ana wafuasi wa kutosha kabisa kumpa Ushindi wa kishindo
Ahsanteni sana 😄✔️
Hapana lia khanjiii. Muda utasema wenyewe.Hilo fisadi na liuaji na kundi lake ipo siku😭
Kwahiyo vyama vya siasa vina kazi gani kama tunaweza kuweka mitandao ambayo haiwezi kutambulika kisheria? Nchi gani utaruhusu watu tu wajiunde kivyao vyao bila kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu?Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.
Amesema mtandao unaundwa na watu ambao mawazo yanaendana/shahibiana. Amesema kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia lazima kuwe na mtandao wa watu ambao mawazo Yao yanafanana, bila mtandao basi unakuwa ni Udikiteta na siyo Demokrasia tena. Amesema mtandao ni tafsiri ya election na si selection.
Amesema kuwa mwaka 1995 Yeye, Kikwete na Lowasa walikuwa kwenye mtandao mmoja wa Kikwete. Amesema kuwa mtandao wao ulizidiwa uwezo na mtandao wa hayati Benjamin Mkapa uliokuwa unaongizwa na .....(marehemu) ndiyo maana Mkapa alishinda na wao kushindwa. Lakini amesema mwaka 2005 walijipanga vizuri mtandao wao ukashinda.
"Pia mtandao unaweza kubadilika kulingana na muda na hata mazingira. Hivyo mtandao wa mwaka 1995, hata mwaka 2005 hatukuwa wote. Wengine walifariki na wengine kubadilika" amesema RA
Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.
Rostam amesema wanamtandao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira. Amesema siyo kweli kuwa mtandao wa 1995 mpaka Leo upo. Amesema mtandao wa Mkapa ulishindwa 2005 kwa hiyo huwezi kusema bado upo, amesema mtandao wao na Kikwete ulikufa 2015 na ukaingia mtandao wa JPM kwa hiyo si rahisi mtandao wa wao wao wa 2015 kuendelea kuwepo kwa kuwa mazingira na wakati vinabadilika.
Tafsiri yake ni kuwa mtandao wa 2015 nao umekufa baada ya Dkt Samia Suluhu Hassan kushika hatamu. Polepole anatakiwa kutulia. Atambue kuwa zama na mtandao wao ulikufa kama ilivyokufa mitandao mingine.
Rostam Aziz amesistiza kuwa "kama unataka Siasa za Ushindani ni lazima mitandao itakuwepo kwa kuwa kila mgombea ataunda Mtandao wake kushinda na Ukiona mtu hataki mtandao basi jua huyo ni Dikteta" , amesema Rostam Aziz
"Mtandao ni tafsiri ya Election na Si Selection katika taifa la Siasa za ushindani wa Kidemokrasia " amemaliza Rostam Aziz.
Kwa majibu haya ya ROSTAM yule jamaa alijificha pangoni akiwa anatafuta followers na Viewers atakuwa amejibiwa vizuri.
Haya maelezo yameandaliwa na kikwete mwenyewe......rostam Hana uwezo wa kujenga hoja Kwa style hii
Kuna mtu anayepinga ishu ya kuwepo mtandao kwenye Vyama wakati wa Kampeni? Kinachohojiwa ni Chama kukiweka mikononi mwao wakati wote, Serikali kuiweka mikononi mwao wakati wote, kupandikiza watu kwenye Idara za Serikali na hata kwenye vyombo! Mtandao unapoingia mpaka humo.malengo yake ni nini?Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.