Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

Kuna mtu anayepinga ishu ya kuwepo mtandao kwenye Vyama wakati wa Kampeni? Kinachohojiwa ni Chama kukiweka mikononi mwao wakati wote, Serikali kuiweka mikononi mwao wakati wote, kupandikiza watu kwenye Idara za Serikali na hata kwenye vyombo! Mtandao unapoingia mpaka humo.malengo yake ni nini?

Wanamtandao wanaruhusiwa kuingilia utaratibu wa kupatikana Mgombea Urais ndani ya CCM? Wanaruhusiwa kuvunja Kanuni na utaratibu wa Chama?

Angejibu tuhuma za mamikataba ya kiwiziwizi yanayosemwa kama ya Makaa ya mawe, channel Ten, Mwadui nk.

Halafu interview yenyewe haikuwa live ni recorded why? Polepole mnasema anaongea kutoka mafichoni. Lakini anakuwa Live. Nani kati yao anatafsiriwa kuwa kajificha?

Aisee, issue ni recorded interview au issue ni kuongea aliyotaka kuyaongea?

Mkuu una ushahidi wa hayo unayoyasema au nawewe umesikia tu? na uliyesikia kwake naye kasikia mahala?..

Issue ya makaa na Mwadui, HP Hana taarifa sahihi za kwenye ground ni vyema aende akazitafute kuliko kuja na hearsay na kujaribu biashara za watu na image yao kimataifa.
Afuatilie ni kiasi gani RA kupitia makampuni yake alikuwa anawadai wahusika na alilipa kiasi gani kumalizia madeni waliokuwa wanadaiana ili awe majority share holder.
Ukimzungumzia RA ujue unazungumzia mtu aliyekuwa akimiliki Hisa 26% Vodacom Tanziana kabla ya kuziuza na kuhamishia SA.
Kwa level ya huyo bwana sio kila jambo anaweza kulizungumza kutufurahisha Sisi washangiliaji.

safarini Tandika Tanzania.
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.

Amesema mtandao unaundwa na watu ambao mawazo yanaendana/shahibiana. Amesema kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia lazima kuwe na mtandao wa watu ambao mawazo Yao yanafanana, bila mtandao basi unakuwa ni Udikiteta na siyo Demokrasia tena. Amesema mtandao ni tafsiri ya election na si selection.

Amesema kuwa mwaka 1995 Yeye, Kikwete na Lowasa walikuwa kwenye mtandao mmoja wa Kikwete. Amesema kuwa mtandao wao ulizidiwa uwezo na mtandao wa hayati Benjamin Mkapa uliokuwa unaongizwa na .....(marehemu) ndiyo maana Mkapa alishinda na wao kushindwa. Lakini amesema mwaka 2005 walijipanga vizuri mtandao wao ukashinda.

"Pia mtandao unaweza kubadilika kulingana na muda na hata mazingira. Hivyo mtandao wa mwaka 1995, hata mwaka 2005 hatukuwa wote. Wengine walifariki na wengine kubadilika" amesema RA

Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.

Rostam amesema wanamtandao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira. Amesema siyo kweli kuwa mtandao wa 1995 mpaka Leo upo. Amesema mtandao wa Mkapa ulishindwa 2005 kwa hiyo huwezi kusema bado upo, amesema mtandao wao na Kikwete ulikufa 2015 na ukaingia mtandao wa JPM kwa hiyo si rahisi mtandao wa wao wao wa 2015 kuendelea kuwepo kwa kuwa mazingira na wakati vinabadilika.

Tafsiri yake ni kuwa mtandao wa 2015 nao umekufa baada ya Dkt Samia Suluhu Hassan kushika hatamu. Polepole anatakiwa kutulia. Atambue kuwa zama na mtandao wao ulikufa kama ilivyokufa mitandao mingine.

Rostam Aziz amesistiza kuwa "kama unataka Siasa za Ushindani ni lazima mitandao itakuwepo kwa kuwa kila mgombea ataunda Mtandao wake kushinda na Ukiona mtu hataki mtandao basi jua huyo ni Dikteta" , amesema Rostam Aziz

"Mtandao ni tafsiri ya Election na Si Selection katika taifa la Siasa za ushindani wa Kidemokrasia " amemaliza Rostam Aziz.

Kwa majibu haya ya ROSTAM yule jamaa alijificha pangoni akiwa anatafuta followers na Viewers atakuwa amejibiwa vizuri.
Kwa tafsiri yake MTANDAO ni kama CHAMA mdani ya CHAMA ili mkipata madaraka MTAFUNE NCHI.

Hapo unakuta MATAAHIRA CCM ,CCM ,CCM. Wakati hakuna CCM ila kuna MTANDAO.
 
Jibu mujarabu kabisa,ok fine.Sasa Rostam sisi maLAYMAN tunaomba utujibu ile hoja kwamba mgodi wa makaa ya mawe wenye utajili wa matrilioni ya hela uliununua kwa bei gani,je mchakato ulikuaje?Ukitujibu hilo sisi kimyaa
 
Kuunda mitandao NDANI Mifumo halali ya chama ni uhuni na kukigawa chama
Kila candidate anatakiwa asimame mwenyewe kutetea sera zake
Kwani Magufuli alikuwa na mtandao Gani

Kitendo Cha kukiri ni dharau kwa watanzania kwamba hata Kama alifanya uhuni hamna Cha kumfanya
 
Kuna mtu anayepinga ishu ya kuwepo mtandao kwenye Vyama wakati wa Kampeni? Kinachohojiwa ni Chama kukiweka mikononi mwao wakati wote, Serikali kuiweka mikononi mwao wakati wote, kupandikiza watu kwenye Idara za Serikali na hata kwenye vyombo! Mtandao unapoingia mpaka humo.malengo yake ni nini?

Wanamtandao wanaruhusiwa kuingilia utaratibu wa kupatikana Mgombea Urais ndani ya CCM? Wanaruhusiwa kuvunja Kanuni na utaratibu wa Chama?

Angejibu tuhuma za mamikataba ya kiwiziwizi yanayosemwa kama ya Makaa ya mawe, channel Ten, Mwadui nk.

Halafu interview yenyewe haikuwa live ni recorded why? Polepole mnasema anaongea kutoka mafichoni. Lakini anakuwa Live. Nani kati yao anatafsiriwa kuwa kajificha?
Mtandao ni Mfumo wa kihuni dhidi ya Mifumo halali ya chama
Na baada ya kushinda Mifumo ya chama inanyamazishwa kimya
 
Ukiangalia haya mambo unabaini kuwa Ujio wa polepole unasadif msemo wa " KICKS OF A DYING HORSE" kwa sababu hata yeye anajiIMAGE kuwa ni mtandao wa Mhe aliepita...ni kusema kuwa kwenye siasa za ushindani networking ni inevitable. Picha hii ni common sana kwenye siasa za Marekani. ELON MUSK ndie alieongoza mtandao wa wahafidhina uliomueka Donald madarakani. The same for Kenya ambako W. Ruto alieongoza mtandao dhidi ya timu Kenyatta. So that is it!!!
Mtandao ni Mfumo wa kihuni NDANI ya chama
Uwezo wako ni mdogo Sana wa kuelewa
Ndo maana umekubali majibu ya kihuni

TUnazungumzia mtandao NDANI ya chama sio wakati wa kampeni Kama Triumph
Mada zingine uwe unasoma comment tu kuondoa ujinga
 
Maana yake Rostam alianzisha mitandao akiwa na 30yo
 
Kuna mtu anayepinga ishu ya kuwepo mtandao kwenye Vyama wakati wa Kampeni? Kinachohojiwa ni Chama kukiweka mikononi mwao wakati wote, Serikali kuiweka mikononi mwao wakati wote, kupandikiza watu kwenye Idara za Serikali na hata kwenye vyombo! Mtandao unapoingia mpaka humo.malengo yake ni nini?

Wanamtandao wanaruhusiwa kuingilia utaratibu wa kupatikana Mgombea Urais ndani ya CCM? Wanaruhusiwa kuvunja Kanuni na utaratibu wa Chama?

Angejibu tuhuma za mamikataba ya kiwiziwizi yanayosemwa kama ya Makaa ya mawe, channel Ten, Mwadui nk.

Halafu interview yenyewe haikuwa live ni recorded why? Polepole mnasema anaongea kutoka mafichoni. Lakini anakuwa Live. Nani kati yao anatafsiriwa kuwa kajificha?
vyote amevijibu vema.itakuwa unalaumu bila kufuatilia mambo
 
Rostam yuko sahihi lakini kushinda Uchaguzi siyo lazima pawepo mtandao bali hata ufuasi humfanya mtu ashinde

1995 Wafuasi wa Nyerere walimchagua Mkapa

2005 Mtandao wa Lowassa , Rostam, Membe na Sitta ulimchagua Kikwete

2010 Wafuasi wa Kikwete walimchagua Kikwete

2015 Wafuasi wa Kikwete walimchagua Magufuli

2020 Wafuasi wa Magufuli walimchagua Magufuli

2025 Dr Samia ana wafuasi wa kutosha kabisa kumpa Ushindi wa kishindo

Ahsanteni sana 😄✔️
Hujaelewa hoja ya Rostam anamaanisha kwamba uchaguzi ndani ya CCM ni battle ya mitandao hata pole pole ni sehemu ya mtandao mwingine
 
Kwahiyo vyama vya siasa vina kazi gani kama tunaweza kuweka mitandao ambayo haiwezi kutambulika kisheria? Nchi gani utaruhusu watu tu wajiunde kivyao vyao bila kuzinfetia Sheria to kanuni na taratibu?
Mtandao wa kujitwalia madaraka bila haki
 
Aisee, issue ni recorded interview au issue ni kuongea aliyotaka kuyaongea?

Mkuu una ushahidi wa hayo unayoyasema au nawewe umesikia tu? na uliyesikia kwake naye kasikia mahala?..

Issue ya makaa na Mwadui, HP Hana taarifa sahihi za kwenye ground ni vyema aende akazitafute kuliko kuja na hearsay na kujaribu biashara za watu na image yao kimataifa.
Afuatilie ni kiasi gani RA kupitia makampuni yake alikuwa anawadai wahusika na alilipa kiasi gani kumalizia madeni waliokuwa wanadaiana ili awe majority share holder.
Ukimzungumzia RA ujue unazungumzia mtu aliyekuwa akimiliki Hisa 26% Vodacom Tanziana kabla ya kuziuza na kuhamishia SA.
Kwa level ya huyo bwana sio kila jambo anaweza kulizungumza kutufurahisha Sisi washangiliaji.

safarini Tandika Tanzania.
Asipoeleza au kujibu kile kilichosemwa, hiyo image au reputation yake kwenye jamii haiwezi kuwa questionable? Kwani ni mara ya kwanza kwa Rostamu kutuhumiwa kwenye issue za Uadirifu kwenye biashara zake? Sasa kama Polepole katamka wazi mpaka kile kimfuko kilichokamatwa air port, hapo tusemeje?
 
Kwahiyo vyama vya siasa vina kazi gani kama tunaweza kuweka mitandao ambayo haiwezi kutambulika kisheria? Nchi gani utaruhusu watu tu wajiunde kivyao vyao bila kuzinfetia Sheria to kanuni na taratibu?
Swali la msingi Sana hili
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom