Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

Asipoeleza au kujibu kile kilichosemwa, hiyo image au reputation yake kwenye jamii haiwezi kuwa questionable? Kwani ni mara ya kwanza kwa Rostamu kutuhumiwa kwenye issue za Uadirifu kwenye biashara zake? Sasa kama Polepole katamka wazi mpaka kile kimfuko kilichokamatwa air port, hapo tusemeje?

Ndugu, sio kila tuhuma ukituhumiwa lazima ujibu, kuna wakati mwingine unaona kabisa ni upumbavu na kujibu unapoteza muda wako na reputation yako tu.

Tuhuma zote alizoleta HP hakuna hata moja yenye ushahidi zaidi ya hear says, HP angeweka mezani any documents zinazoonyesha kuna fraud mahala imefanyika au huyo bwana kajitwalia migodi kiudanganyifu nafikiri ndio alikuwa na haki yakujibiwa.

Kumuita tu mtu mwizi bila kuweka mezani chochote kinachothibitisha mhusika ni mwizi wakati mwingine nikupotezeana muda tu.

Kesi ya Kinana na Msigwa ilisababisha Msigwa aombe samahani maana ilionekana Hana ushahidi wowote kusupport tuhuma zake dhidi ya Kinana, Bali mambo mengi NI hearsay na siasa majitaka.

safarini Tandika Tanzania.
 
Usipojibu tuhuma zinazokuchafua mbele ya jamii, huo ni ujanja kumbe? Haya sawa, nimekuelewa!
 
Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.
Rais ana 'side' vipi katika jambo nyeti kama hili? Au sijaelewa mantiki ya neno Mtandao?
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.

Amesema mtandao unaundwa na watu ambao mawazo yanaendana/shahibiana. Amesema kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia lazima kuwe na mtandao wa watu ambao mawazo Yao yanafanana, bila mtandao basi unakuwa ni Udikiteta na siyo Demokrasia tena. Amesema mtandao ni tafsiri ya election na si selection.

Amesema kuwa mwaka 1995 Yeye, Kikwete na Lowasa walikuwa kwenye mtandao mmoja wa Kikwete. Amesema kuwa mtandao wao ulizidiwa uwezo na mtandao wa hayati Benjamin Mkapa uliokuwa unaongizwa na .....(marehemu) ndiyo maana Mkapa alishinda na wao kushindwa. Lakini amesema mwaka 2005 walijipanga vizuri mtandao wao ukashinda.

"Pia mtandao unaweza kubadilika kulingana na muda na hata mazingira. Hivyo mtandao wa mwaka 1995, hata mwaka 2005 hatukuwa wote. Wengine walifariki na wengine kubadilika" amesema RA

Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.

Rostam amesema wanamtandao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira. Amesema siyo kweli kuwa mtandao wa 1995 mpaka Leo upo. Amesema mtandao wa Mkapa ulishindwa 2005 kwa hiyo huwezi kusema bado upo, amesema mtandao wao na Kikwete ulikufa 2015 na ukaingia mtandao wa JPM kwa hiyo si rahisi mtandao wa wao wao wa 2015 kuendelea kuwepo kwa kuwa mazingira na wakati vinabadilika.

Tafsiri yake ni kuwa mtandao wa 2015 nao umekufa baada ya Dkt Samia Suluhu Hassan kushika hatamu. Polepole anatakiwa kutulia. Atambue kuwa zama na mtandao wao ulikufa kama ilivyokufa mitandao mingine.

Rostam Aziz amesistiza kuwa "kama unataka Siasa za Ushindani ni lazima mitandao itakuwepo kwa kuwa kila mgombea ataunda Mtandao wake kushinda na Ukiona mtu hataki mtandao basi jua huyo ni Dikteta" , amesema Rostam Aziz

"Mtandao ni tafsiri ya Election na Si Selection katika taifa la Siasa za ushindani wa Kidemokrasia " amemaliza Rostam Aziz.

Kwa majibu haya ya ROSTAM yule jamaa alijificha pangoni akiwa anatafuta followers na Viewers atakuwa amejibiwa vizuri.
Na Kila mtu anachagua mtandao anaoutaka

Unachagua mafukara arafu unalahmu walioko.kwenye Kambi ya pesa 😂😂😂😂😂😂
 
Kitu ambacho CHADEMA hawaliangalii kwa umakini ni swala la mtandao na mtandao sio watu pekee Bali ni mjumuiko wa taasisi fulani mfano

1. Media
Hapa lazima muwe na vyombo vya habari vya kwenu vyenye nguvu vinavyoweza kufikisha ujumbe wenu kwa wakati na ufasha

2. Watu wenye ushawishi na nguvu ya Dola hapa Haina haja kuelekea

3. Mamluki au pandikizi maarufu makachero Hawa wanakuwa huko kwenye vyama vingine

4. Wazee wa taifa wenye nguvu ya ushawishi

5. Wafanyabiashara wenye nguvu ya uchumi

6. Wanamtandao

7. Majority
 
Haya maelezo yameandaliwa na kikwete mwenyewe......rostam Hana uwezo wa kujenga hoja Kwa style hii
Wabongo Hebu ficheni hizi aibu ndogo ndogo basi!! Yaani JK anamfundishe hoja mhitimu wa LSE? Are you serious??
 
Mhitimu wa LSE, ndio nini? Watanzania wamelala jamaa wanafirisi nchi, hivi kwanini yeye tu kila siku siyo mzee Bakhresa, Mengi au Dewji?
 
Aisee, issue ni recorded interview au issue ni kuongea aliyotaka kuyaongea?

Mkuu una ushahidi wa hayo unayoyasema au nawewe umesikia tu? na uliyesikia kwake naye kasikia mahala?..

Issue ya makaa na Mwadui, HP Hana taarifa sahihi za kwenye ground ni vyema aende akazitafute kuliko kuja na hearsay na kujaribu biashara za watu na image yao kimataifa.
Afuatilie ni kiasi gani RA kupitia makampuni yake alikuwa anawadai wahusika na alilipa kiasi gani kumalizia madeni waliokuwa wanadaiana ili awe majority share holder.
Ukimzungumzia RA ujue unazungumzia mtu aliyekuwa akimiliki Hisa 26% Vodacom Tanziana kabla ya kuziuza na kuhamishia SA.
Kwa level ya huyo bwana sio kila jambo anaweza kulizungumza kutufurahisha Sisi washangiliaji.

safarini Tandika Tanzania.
Dharau, kiburi, majivuno, ulaghai. Tutafika tu!
 
Kuunda mitandao NDANI Mifumo halali ya chama ni uhuni na kukigawa chama
Kila candidate anatakiwa asimame mwenyewe kutetea sera zake
Kwani Magufuli alikuwa na mtandao Gani

Kitendo Cha kukiri ni dharau kwa watanzania kwamba hata Kama alifanya uhuni hamna Cha kumfanya
Kwani kipo cha kumfanya ndugu yangu?
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.

Amesema mtandao unaundwa na watu ambao mawazo yanaendana/shahibiana. Amesema kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia lazima kuwe na mtandao wa watu ambao mawazo Yao yanafanana, bila mtandao basi unakuwa ni Udikiteta na siyo Demokrasia tena. Amesema mtandao ni tafsiri ya election na si selection.

Amesema kuwa mwaka 1995 Yeye, Kikwete na Lowasa walikuwa kwenye mtandao mmoja wa Kikwete. Amesema kuwa mtandao wao ulizidiwa uwezo na mtandao wa hayati Benjamin Mkapa uliokuwa unaongizwa na .....(marehemu) ndiyo maana Mkapa alishinda na wao kushindwa. Lakini amesema mwaka 2005 walijipanga vizuri mtandao wao ukashinda.

"Pia mtandao unaweza kubadilika kulingana na muda na hata mazingira. Hivyo mtandao wa mwaka 1995, hata mwaka 2005 hatukuwa wote. Wengine walifariki na wengine kubadilika" amesema RA

Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.

Rostam amesema wanamtandao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira. Amesema siyo kweli kuwa mtandao wa 1995 mpaka Leo upo. Amesema mtandao wa Mkapa ulishindwa 2005 kwa hiyo huwezi kusema bado upo, amesema mtandao wao na Kikwete ulikufa 2015 na ukaingia mtandao wa JPM kwa hiyo si rahisi mtandao wa wao wao wa 2015 kuendelea kuwepo kwa kuwa mazingira na wakati vinabadilika.

Tafsiri yake ni kuwa mtandao wa 2015 nao umekufa baada ya Dkt Samia Suluhu Hassan kushika hatamu. Polepole anatakiwa kutulia. Atambue kuwa zama na mtandao wao ulikufa kama ilivyokufa mitandao mingine.

Rostam Aziz amesistiza kuwa "kama unataka Siasa za Ushindani ni lazima mitandao itakuwepo kwa kuwa kila mgombea ataunda Mtandao wake kushinda na Ukiona mtu hataki mtandao basi jua huyo ni Dikteta" , amesema Rostam Aziz

"Mtandao ni tafsiri ya Election na Si Selection katika taifa la Siasa za ushindani wa Kidemokrasia " amemaliza Rostam Aziz.

Kwa majibu haya ya ROSTAM yule jamaa alijificha pangoni akiwa anatafuta followers na Viewers atakuwa amejibiwa vizuri.
Basi mtandao wao wa sasa ni hatari zaidi maana unateka ua na kupoteza wakosoaji. Tayari umeua na kuteka watanzania wengi sana hivyo basi mitandao haifai kwa usalama wa raia
 
Unamfahamu Rostam vizuri lakini?..
Kwani kunahitaji akili kiasi gani kuyaongea aliyoyaongea RA..
Mbona kila kitu kiko wazi?

Safarini Tandika Tanzania.
Ninachofurahi kuhusu hawa wanaoitwa wanamtandao jamaa wamenyooka sana; kama ni kweli watasema ni kweli ( na hii ndiyo civilization) waliyonayo.

Alivyoulizwa kutofautiana na Magufuli mwanzo alisema ni kweli na akaondoka nchini hadi alipoitwa tena.

Alivyoulizwa kuhusu mtandao kasema ni kweli na ameeleza vizuri sana toka 1995 na namna ilivyokuwa ikibadilika maana yake na rejea za nchi zingine kama UK nk

Alivyoulizwa kuhusu hisa kasema ni kweli na kazidadavua alivyozipata.

Itoshe kusema wanamtandao wanaamini katika hoja juu ya hoja. The guy was calm and composed.

Hakumtaja polepole - amekuwa objective badala y kuwa subjective na hapa unakna jamaa kichwa yake iko vizuri...

Timu Gang ina la kujifunza.
 
Mhitimu wa LSE, ndio nini? Watanzania wamelala jamaa wanafirisi nchi, hivi kwanini yeye tu kila siku siyo mzee Bakhresa, Mengi au Dewji?
Nawewe filisi shwaini mkubwa wewe
 
Ninachofurahi kuhusu hawa wanaoitwa wanamtandao jamaa wamenyooka sana; kama ni kweli watasema ni kweli ( na hii ndiyo civilization) waliyonayo.

Alivyoulizwa kutofautiana na Magufuli mwanzo alisema ni kweli na akaondoka nchini hadi alipoitwa tena.

Alivyoulizwa kuhusu mtandao kasema ni kweli na ameeleza vizuri sana toka 1995 na namna ilivyokuwa ikibadilika maana yake na rejea za nchi zingine kama UK nk

Alivyoulizwa kuhusu hisa kasema ni kweli na kazidadavua alivyozipata.

Itoshe kusema wanamtandao wanaamini katika hoja juu ya hoja. The guy was calm and composed.

Hakumtaja polepole - amekuwa objective badala y kuwa subjective na hapa unakna jamaa kichwa yake iko vizuri...

Timu Gang ina la kujifunza.
Hakuna alichojibu
 
Back
Top Bottom