Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi


Aisee, issue ni recorded interview au issue ni kuongea aliyotaka kuyaongea?

Mkuu una ushahidi wa hayo unayoyasema au nawewe umesikia tu? na uliyesikia kwake naye kasikia mahala?..

Issue ya makaa na Mwadui, HP Hana taarifa sahihi za kwenye ground ni vyema aende akazitafute kuliko kuja na hearsay na kujaribu biashara za watu na image yao kimataifa.
Afuatilie ni kiasi gani RA kupitia makampuni yake alikuwa anawadai wahusika na alilipa kiasi gani kumalizia madeni waliokuwa wanadaiana ili awe majority share holder.
Ukimzungumzia RA ujue unazungumzia mtu aliyekuwa akimiliki Hisa 26% Vodacom Tanziana kabla ya kuziuza na kuhamishia SA.
Kwa level ya huyo bwana sio kila jambo anaweza kulizungumza kutufurahisha Sisi washangiliaji.

safarini Tandika Tanzania.
 
Kwa tafsiri yake MTANDAO ni kama CHAMA mdani ya CHAMA ili mkipata madaraka MTAFUNE NCHI.



Hapo unakuta MATAAHIRA CCM ,CCM ,CCM. Wakati hakuna CCM ila kuna MTANDAO.
 
Jibu mujarabu kabisa,ok fine.Sasa Rostam sisi maLAYMAN tunaomba utujibu ile hoja kwamba mgodi wa makaa ya mawe wenye utajili wa matrilioni ya hela uliununua kwa bei gani,je mchakato ulikuaje?Ukitujibu hilo sisi kimyaa
 
Kuunda mitandao NDANI Mifumo halali ya chama ni uhuni na kukigawa chama
Kila candidate anatakiwa asimame mwenyewe kutetea sera zake
Kwani Magufuli alikuwa na mtandao Gani

Kitendo Cha kukiri ni dharau kwa watanzania kwamba hata Kama alifanya uhuni hamna Cha kumfanya
 
Mtandao ni Mfumo wa kihuni dhidi ya Mifumo halali ya chama
Na baada ya kushinda Mifumo ya chama inanyamazishwa kimya
 
Mtandao ni Mfumo wa kihuni NDANI ya chama
Uwezo wako ni mdogo Sana wa kuelewa
Ndo maana umekubali majibu ya kihuni

TUnazungumzia mtandao NDANI ya chama sio wakati wa kampeni Kama Triumph
Mada zingine uwe unasoma comment tu kuondoa ujinga
 
Maana yake Rostam alianzisha mitandao akiwa na 30yo
 
vyote amevijibu vema.itakuwa unalaumu bila kufuatilia mambo
 
Hujaelewa hoja ya Rostam anamaanisha kwamba uchaguzi ndani ya CCM ni battle ya mitandao hata pole pole ni sehemu ya mtandao mwingine
 
Kwahiyo vyama vya siasa vina kazi gani kama tunaweza kuweka mitandao ambayo haiwezi kutambulika kisheria? Nchi gani utaruhusu watu tu wajiunde kivyao vyao bila kuzinfetia Sheria to kanuni na taratibu?
Mtandao wa kujitwalia madaraka bila haki
 
Asipoeleza au kujibu kile kilichosemwa, hiyo image au reputation yake kwenye jamii haiwezi kuwa questionable? Kwani ni mara ya kwanza kwa Rostamu kutuhumiwa kwenye issue za Uadirifu kwenye biashara zake? Sasa kama Polepole katamka wazi mpaka kile kimfuko kilichokamatwa air port, hapo tusemeje?
 
Kwahiyo vyama vya siasa vina kazi gani kama tunaweza kuweka mitandao ambayo haiwezi kutambulika kisheria? Nchi gani utaruhusu watu tu wajiunde kivyao vyao bila kuzinfetia Sheria to kanuni na taratibu?
Swali la msingi Sana hili
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…