Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi


Ndugu, sio kila tuhuma ukituhumiwa lazima ujibu, kuna wakati mwingine unaona kabisa ni upumbavu na kujibu unapoteza muda wako na reputation yako tu.

Tuhuma zote alizoleta HP hakuna hata moja yenye ushahidi zaidi ya hear says, HP angeweka mezani any documents zinazoonyesha kuna fraud mahala imefanyika au huyo bwana kajitwalia migodi kiudanganyifu nafikiri ndio alikuwa na haki yakujibiwa.

Kumuita tu mtu mwizi bila kuweka mezani chochote kinachothibitisha mhusika ni mwizi wakati mwingine nikupotezeana muda tu.

Kesi ya Kinana na Msigwa ilisababisha Msigwa aombe samahani maana ilionekana Hana ushahidi wowote kusupport tuhuma zake dhidi ya Kinana, Bali mambo mengi NI hearsay na siasa majitaka.

safarini Tandika Tanzania.
 
Usipojibu tuhuma zinazokuchafua mbele ya jamii, huo ni ujanja kumbe? Haya sawa, nimekuelewa!
 
Amesema kuwa mwaka 2015 mtandao wao haukushinda kwani Kikwete hakumuunga Hayati ENL hivyo mtandao wa Magufuli ukaweweza kushinda.
Rais ana 'side' vipi katika jambo nyeti kama hili? Au sijaelewa mantiki ya neno Mtandao?
 
Na Kila mtu anachagua mtandao anaoutaka

Unachagua mafukara arafu unalahmu walioko.kwenye Kambi ya pesa 😂😂😂😂😂😂
 
Kitu ambacho CHADEMA hawaliangalii kwa umakini ni swala la mtandao na mtandao sio watu pekee Bali ni mjumuiko wa taasisi fulani mfano

1. Media
Hapa lazima muwe na vyombo vya habari vya kwenu vyenye nguvu vinavyoweza kufikisha ujumbe wenu kwa wakati na ufasha

2. Watu wenye ushawishi na nguvu ya Dola hapa Haina haja kuelekea

3. Mamluki au pandikizi maarufu makachero Hawa wanakuwa huko kwenye vyama vingine

4. Wazee wa taifa wenye nguvu ya ushawishi

5. Wafanyabiashara wenye nguvu ya uchumi

6. Wanamtandao

7. Majority
 
Haya maelezo yameandaliwa na kikwete mwenyewe......rostam Hana uwezo wa kujenga hoja Kwa style hii
Wabongo Hebu ficheni hizi aibu ndogo ndogo basi!! Yaani JK anamfundishe hoja mhitimu wa LSE? Are you serious??
 
Wabongo Hebu ficheni hizi aibu ndogo ndogo basi!! Yaani JK anamfundishe hoja mhitimu wa LSE? Are you serious??
Mhitimu wa LSE, ndio nini? Watanzania wamelala jamaa wanafirisi nchi, hivi kwanini yeye tu kila siku siyo mzee Bakhresa, Mengi au Dewji?
 
Dharau, kiburi, majivuno, ulaghai. Tutafika tu!
 
Kwani kipo cha kumfanya ndugu yangu?
 
Basi mtandao wao wa sasa ni hatari zaidi maana unateka ua na kupoteza wakosoaji. Tayari umeua na kuteka watanzania wengi sana hivyo basi mitandao haifai kwa usalama wa raia
 
Unamfahamu Rostam vizuri lakini?..
Kwani kunahitaji akili kiasi gani kuyaongea aliyoyaongea RA..
Mbona kila kitu kiko wazi?

Safarini Tandika Tanzania.
Ninachofurahi kuhusu hawa wanaoitwa wanamtandao jamaa wamenyooka sana; kama ni kweli watasema ni kweli ( na hii ndiyo civilization) waliyonayo.

Alivyoulizwa kutofautiana na Magufuli mwanzo alisema ni kweli na akaondoka nchini hadi alipoitwa tena.

Alivyoulizwa kuhusu mtandao kasema ni kweli na ameeleza vizuri sana toka 1995 na namna ilivyokuwa ikibadilika maana yake na rejea za nchi zingine kama UK nk

Alivyoulizwa kuhusu hisa kasema ni kweli na kazidadavua alivyozipata.

Itoshe kusema wanamtandao wanaamini katika hoja juu ya hoja. The guy was calm and composed.

Hakumtaja polepole - amekuwa objective badala y kuwa subjective na hapa unakna jamaa kichwa yake iko vizuri...

Timu Gang ina la kujifunza.
 
Mhitimu wa LSE, ndio nini? Watanzania wamelala jamaa wanafirisi nchi, hivi kwanini yeye tu kila siku siyo mzee Bakhresa, Mengi au Dewji?
Nawewe filisi shwaini mkubwa wewe
 
Hakuna alichojibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…