Sonimbusilo
Member
- Aug 12, 2024
- 12
- 47
Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why?
Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni.
Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za simu, vifaa, Stationery, nk, amefanikiwa kwa kuwa Bashe kijana wake alicheza vema karata kutokana na umbumbumbu wa Watanzania walio wengi.
Kwenye madini napo kafika Kwenye Migodi inayomilikiwa na Barrick Gold corporation kwa kuja na kampuni hidden inaitwa SWALA SOLUTION ambayo kimkakati kwa sababu ya kujuana na Mtoto wa Rais inaweza kuiua Twiga kampuni ya kizawa anyway hayo tuyaache kwanza.
Sasa Rostam Aziz ametua Kwenye gesi huko Mtwara analazimisha Wafanyabiasha kumpatia hisa Kwenye Makampuni yao kuwa wakikataa atawaondoa Kwani amemshika mtoto wa Rais na serikali nzima iko mikononi mwake.
Mambo Yale Yale ya Kwenye Migodi ndo hayo hayo anayapeleka Kwenye gesi kuomba Share kwa Lazima.
Na kila anapofanya uwekezaji huo uchwara anatumia Majina ya kampuni fake, kampuni ambazo anatumia Majina ya Ndugu, jamaa na marafiki zake, Kama Kweli Rostam Aziz Ni Mfanyabiashara anayehitaji kumsaidia Mtoto wa Rais kibiashara katika Taifa kwa nini atumie Majina feki kampuni zisizojulikana, kwa nini anadanga serikali, Ni ukwepaji Kodi mtu ana Makampuni 80 yasiyojulikana, Lazima Watanzania tuanze kuutafuta Ukweli na tuuweke hapa tutataja kampuni zake zoote zisizojulikana hapa na Mhe Rais ataambiwa kuwa makini na Rostam Aziz.