Rostam Aziz na FAIDA ya kuwa karibu na Mtoto wa Rais


Jionee huruma wewe na taifa lako
 
Hana connection yoyote na mashirika uliyotaja..ana connection na tiss tu na hao ndio wanamkuza kudanganya uhalisia ili wao wasijulikane wana husiana nae..
 
Umaskini wa watanzania umewafanya kuwa wapumbavu kabisa, kulemaza akili yao na kubaki kusifia sifia wasivyovielewa..Rostam ana uinternational gani? biashara ya familia yao kabla ya Rostam kuingia siasa ilikuwa kununua na kuuza ngozi kutoka machinjioni..biashara ya kimaskini kabisa, angekuwa international si angebadilisha family business iwe na hadhi hiyo ya kimataifa? haihitaji akili nyingi kudeal na wajinga maskini wa kujitakia hasa walioko ccm be t ni viongozi au watu wa kawaida, na hicho ndio kinampa Rostam pesa za kuwapumbaza nyinyi mnaomsifu..Rostam s nobody!
 
Tukiwaambia JPM alikua kiboko ya matapeli mnaona kama tunatania huyo jamaa alikimbia nchi baada ya kuona JPM hacheki na kima.Sasa amerudi.
Mkuu huyo mtu ameshindikana, hata wakati wa JPM alikuwepo tena akiifadhili CCM hadi JPM akamshauri agombee ubunge Morogoro kwa Abood akimaanisha angeweza kumtoa Abood na badala yake ampe ubunge huo Rostam. Huyu Muajemi ana mizizi mirefu ndani ya CCM kuliko unavyofikiri, kifupi Rostam Aziz ndiye mtawala wa suri wa Tanzania, chukua hiyo.
 

sio kosa lako, ila inawezekana hujui mengi.

Hatuko hapa kumsifia king maker, tuko hapa kuelezea madhira yanayosababishwa na hawa watu kuislave nchi na kuwafanya watu kuwa masikini.

Ni kweli King maker alikuwa anauza ngozi, connection yake kimataifa na kwenye siasa za Tanzania kumemfanya kusimama vizuri hapo kati na kujiletea mageuzi binafsi ya maisha yake kupitia watu wetu wajinga.

Tunasema ni international kwasababu ya connection yake na wafanyabiashara wakimataifa na makampuni makubwa mfano Barrick nk.
Unajua Kwa namna gani alishiriki kwenye mazungumzo na kufix mgogoro wa Barrick vs GOT kipindi cha Magu na urafiki wake na CEO wa Barrick Mark Bristol?
Unazijua kazi zinazofanywa na Kampuni zake za mining na construction, Kampuni zake za uwindaji nk?
 
Ni sahihi Mkuu

Infact huyu RA ameanza tangu enzi za JK akiwa Waziri wa Nishati na Maji, wakitengeneza boys2 Men na Edo.

Nafikiri hadi kwenye lile deal la EPA na baadaye Tegeta Escrow alikuwa nyuma yake

Ni mtu mjanja mjanja anayejua kula na kunawa mikono pasipo kuacha alama za ushiriki wake 🙌
 
ndugu yangu hao matajiri level za rostam huwa hawaangushwi kizembe zembe maana wanakuwa na nguvu sana muda mwingine hadi watawala wanawaogoba sana hao..
hao kumalizana nao ni negotiation tu.. wamebea uchumi wa nchi kwa sehemu kubwa sana!
 
Nyinyi mna matatizo na reasoning yenu..kwa uhalisia Rostam ni DALALI tu hayo yote umeorodhesha hajafanya kwa efforts zake, msingi wa corruptive government sehemu yoyote huwa inatafuta watu wa kuwatanguliza mbele ili yenyewe ikae nyuma, ndicho kinachofanyika hapa Tanzania ili kuwaghilibu nyinyi mnaovutiwa na kuona vitu mkaacha kuuliza vimetokeaje..Rostam alinunua mitambo ya uchimbaji madini na kupewa hizo kandarasi kwenye migodi, hakufix mgogoro wowote..mtu yeyote mwenye akili hahitaji kuvaa miwani kuona uzuri na ubaya wa yaliyokuwa yakifanyika kwenye sekta ya madini Tanzania..kuhusu uwindaji, nyinyi si mmemjua Rostam akiwa kwenye siasa, wapo wanaomjua kuanzia origin yake..wala yeye si muwindaji, ndugu zake wa bukene, nzega na igunga walikuwa na uwindaji usio rasmi toka zamani, yeye amesajili kampuni ya uwindaji kwa ajili ya ndugu zake vile sehemu walizokuwa wanafanya uwindaji kiholela zimerasimishwa na kuwa hifadhi za serikali na hivyo kuhitaji leseni ili uingie kuwinda..mfano hilo eneo la wembere..miaka 30 nyuma lilikuwa na wanyama wengi na haikuwa hifadhi, huko ndiko ndugu zake walikuwa wanapata pembe za tembo kupeleka kwao Pakistani nk.
Hivyo hana hizo sifa mnazotaja..he s a means to facilitate grand corruptive deals! si muwekezaji wala mfanyabiashara..
 
Mhe Rais ataambiwa kuwa makini na Rostam Aziz.
Kuna vitu vingi wengi hawajui, yaani Rais ndie ambiwe kuwa makini na RA?!. Unamjua mtu aliyemdhamini Rais Samia kwenye Royal Tour?. Unamjua mtu aliyeidhamini Tanzania kwenye Maonesho ya Expo Dubai?.
Hakuna kosa lolote kisheria mtu mmoja kumiliki makampuni hata 100 au hata 1000 na ukawa a silent partner as long as hayo makampuni yanafanya biashara halali na yanalipa kodi.
Leave RA along, people are now very busy to make another king!.
P
 
Mkuu Umeandika ukweli mchungu...

Point to Note; "People are now very busy to make another king!.
 
Usiwe mtumwa wa Sheria..jaribu kutizama mambo ktk angle nyingine pia na sheria si msahafu, leo itaruhusu hiki kesho itakataza kitu kile kile..!
 
Leo hii rostam alinunua Mihan ya kenya,
Leo hii taifa Gas ni kubwa,

RA alikuwa voda akaondoka saizi ni owner wa Tigo,


Ni kweli anakuzwa sana ila huwez dharau kazi za jamaa, jamaa ana mafanikio kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…