Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Screenshot_20260414-133612.png


Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
 
waafrika waliungana na muslims kufukuza Christians, kwamba Christians walikuwa "wanyonyaji" sasa leo hii uchumi wote wamekabidhi muslims, hakuna abdi hata mmoja anayemilki chochote tanzagiza, lkn ukihoji watakwambia ni "udini" , ghana dhahabu yote inamilikiwa na walebanoni, siera leone same shit diamonds resources kila kitu owned by lebanese hezbollah, sasa ndiyo mtaelewa unyonyaji maana yake nini, they will leave you with nothing ...
 
Umesahau kuongeza na diamond ya mwadui sasa hivi inamilikwa na Rostam pia. Ila naona sawa tu muache amiliki mtanzania mwenzetu kuliko hawa ngurubange wazungu. Mweusi akimiliki vitu kama hivi uwa haviendelei na havidumu, ubinafsi na kutumia kichwa cha chini sana.
 
Umesahau kuongeza na diamond ya mwadui sasa hivi inamilikwa na Rostam pia. Ila naona sawa tu muache amiliki mtanzania mwenzetu kuliko hawa ngurubange wazungu. Mweusi akimiliki akimiliki vitu kama hivi uwa haviendelei na havidumu, ubinafsi na kutumia kichwa cha chini sana.
Siyo MTZ huyo.

Ana uraia kama nchi 100.

Hata makampuni yake hajasajili Tanzania.
 
Wacha wajichotee tu, shida akija mtu wakuwapigania kama Magufuli alivyofanya mnaanza kumtukana mitandaoni.

Huu mkataba ulitakiwa kuwa expired 2024 na kurudisha Songas 100% kwenye control ya serikali. Jamaa wakapiga mkwara mbuzi wa kufungua kesi ya arbitration mara paap leo mali ya Rostam Aziz.
 
waafrika waliungana na muslims kufukuza Christians, kwamba Christians walikuwa "wanyonyaji" sasa leo hii uchumi wote wamekabidhi muslims, hakuna abdi hata mmoja anayemilki chochote tanzagiza, lkn ukihoji watakwambia ni "udini" , ghana dhahabu yote inamilikiwa na walebanoni, siera leone same shit kila kitu owned by muslims lebanese hezbollah, sasa ndiyo mtaelewa unyonyaji maana yake nini, they will leave you with nothing ...
Duh udini huu dah

Yni bora ninyamaze
 
Wacha wajichotee tu, shida akija mtu wakuwapigania kama Magufuli alivyofanya mnaanza kumtukana mitandaoni.

Huu mkataba ulitakiwa kuwa expired 2024 na kurudisha Songas 100% kwenye control ya serikali. Jamaa wakapiga mkwara mbuzi wa kufungua kesi ya arbitration mara paap leo mali ya Rostam Aziz.
Magufuli alishindwa kuwaua kina KIZIGHA, KIKWETE, LUGUMI na ROSTAM akaenda kuwaua kina Ben Saanane, Azory Gwanda na kina Tundu Lissu ambao hawakuiba hata 100.
 
Back
Top Bottom