Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

Nawe kama una hela omba kumiliki mlima Kilimanjaro utupatie kodi yetu. Tuache kuchukia wafanyabiashara wanaothubutu. Kama akitokea mtu akaomba kuimiliki Airport atume maombi. Serikali haifanyi biashara. Tuache wivu wa kike.
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Mwenyezi Mungu amjalie Uzima na Afya.
 
Back
Top Bottom