Jamani niliwahi kusema kuhusu RA, EL na Karamagi. Uzito ambao Zitto na sisi sote tunaangalia ni mapambano dhid ya hili kundi linaloitwa UTATU mtakatifu, RA,EL na Karamagi. EL alikua akiishi nyumba moja na RA, nyumba ambayo sasa anaishi Karamagin na RA... RA anamiliki Habari Corporation na ndio maana siku ambayo Zitto aliwasilisha hoja na kufungiwa, gazeti la Mtanzania liliandika habari kubwa ya kumponda Zitto, tofauti kabisa na magazeti mengine, habari yenyewe ikiwa imeandikwa na Mwandishi maalumu.. Kwa kawaida Mwandishi Maalumu huandikwa ikiwa mwandishi wa habari wa Rais, Waziri Mkuu ama wa Chama anapoandika habari na hivyo hapendi jina lake litokee.. Habari ile iliandikwa ikiwa na maelezo ya KAMARAGI pekee bila hata kuhusisha habari ya Zitto alichowasilisha na mutikio wa umma. Kwa kifupi Zitto amefungua ukurasa mpya kwa mapambano dhidi ya UFISADI na kwa hakika lazima tuhakikishe tunaweka wazi kuhusu uovu wa RA... Niliwahi kuweka haoa kuhusu makala za Kama ningekua Rais zinazotoja Kila Jumatano katika gazeti la Tanzania Daima.. Katika makala hizo, kuna mtu anaitwa CHOTAMALI, ambaye anatajwa kama mfanyabishara anayeongoza nchi ya UREMBO anavyotaka. hebu muangalieni sana munaposoma hizo makala kwani naona anafanana sana na RA kitabia.
Juzi RA ameanza kusambaza SMS inayotaka kumchafua Zitto lakini badala yake SMS hiyo inaoneyakana pia kummaliza Karamagi.. SMS hiyo ambayo RA anasambaza, inadai kwamba eti Zitto na Kamaragi walikuwa wakigombea mwanamke... Sasa Zitto hajaoa, Karamagi kaoa, kama rafiki yake mpenzi anasema hivyo, kwanza amepoteza mwelekeo kuingiza hoja za KIJINGA katika hoja nzito yenye kugusa maslahi ya Nchi, lakini pia anaonyesha kwamba yeye na rafiki yake masuala hayo ndio MWISHO wa upeo wa FIKRA zao... Ni aibu watu wa aina hiyo kukwepa hoja muhimu kwa kutumia hoja za KITOTO..
Jambo la msingi WATANZANIA TUWAFAHAMU NA TUSEME KWA NGUVU ZETU ZOTE BILA KUCHOKA KWANI HAO WANASEMA WATATAWALA HADI 2025.