Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Hakuna abwabwajae ila wewe, hakuna ateteae ufisadi hata kidogo, bali kwenye ukweli ni ukweli tu. JK anafanya kazi zake vyema kabisa na zinaonekana mpaka IMF na kwa Bush na mafisadi wanashughulikiwa kisheria na si kwa kukurupuka na waambie wakae mkao wa kula JK anakuja systematically. JK unanikuna mpaka ndani ya loho.
Wakati viongozi wengi duniani wanakwepa hata kuhusisha majina yao na kichaka na IMF wewe ndio unayaleta hapa! naona inabidi mafisadi watafute mtetezi mwingine mwenye kisomo kidogo!
Usiwe na shaka na hilo hata hao wanaokwepa kujihusisha na Kichaka na IMF wamemkubali JK, si unaona chuo kikuu kipya kule Dom. Si unajuwa nani anakifanya kiwe? basi ujuwe anakubalika pande zote. Unalo?
Wakati viongozi wengi duniani wanakwepa hata kuhusisha majina yao na kichaka na IMF wewe ndio unayaleta hapa! naona inabidi mafisadi watafute mtetezi mwingine mwenye kisomo kidogo!
Pole Mw Kike naona imekuchukua muda kujua mshikaji yupo kwenye payroll ya kusafisha mafisadi ...Dar Es Salaam nadhani anakesha hapa JF kujibu tuhuma...sehemu ya Job description yake pole pole hapa hafagiliwi boss wako!!
Thanks African lady,
Huyu jamaa nafikiri something is wrong upstairs! Hata kama ni mtetezi wa mafisadi, hajui kucheza game kabisa!! will ignore him/her completely from now.
Thanks African lady,
Huyu jamaa nafikiri something is wrong upstairs! Hata kama ni mtetezi wa mafisadi, hajui kucheza game kabisa!! will ignore him/her completely from now.
Ulijuwaje kama hatukeshi pamoja humu? hakuna cha boss wangu kufagiliwa, ukweli unaonekana na unajifagilia wenyewe mpaka mtakubali wenyewe, katizame thread ya kibaki ulole huyo mwanamke anavyo mfagilia JK.
Nadhani unahitaji kukumbushwa kuwa hata Karl Peters alitoa nguo na vipesa kidogo kwa machifu wakati wa kusaini mikataba ya kuleta ukoloni Tanzania!
Ukweli unauma! hayooo yanaona haya. Waswahili wanasema "akunyimae kunde akupunguzia mashuzi" hiyo ndio itanipa wasaa wa kupambana na wengine humu wanaompinga JK kwa chuki binafsi na agenda za siri.
Dar-es-salaam,nakubaliana na wewe kwa theory yako ya debe tupu, ni kweli "ninyi ccm mmetugeuza wananchi debe tupu,nasi hatuachi kutika" kwani hatuna silaha nyingine zaidi ya kutika.Majeshi ninyi ndio mnayo,mnatupiga,tukitika sana hapa jf mnatufungia wewe na wenzako,tukiandamana mnatupiga.Hivyo we have nothing to loose except our labour power,nasi hatutaacha kutika.Maana debe likitika sana hata mwenye nalo anaona ghasia itabidi tu alitulize na kututuliza ndio mnavunja baraza la mawaziri,mnakubali shingo upande na mnakiri hadharani kuwa tuliwalazisha kwa kuwa tulichonga sanaMahakamni hawataki kwenda? si uwashitaki tu, ushahidi wote wa kuwafikisha mahakamani si unao? unangoja nini? mie nashangaa. Au ndio hakuna cha kusema tena.
Wacheni tume zilizoundwa zifanye kazi, na kila mmoja alietenda dhambi atahukumiwa kisheria na ambae hana dhambi ameingizwa kimazingira nae atajulikana. Au unaona waliounda zile tume na wale waliopo kwenye hizo tume ni wajinga? Ya nini kuandikia mate na wino upo?
Chuki za kibanfsi hizo na ndio zinawafanya msiwe na maendeleo. Kajibu hoja zote kiufasaha kabisa sasa tungoje tume na tungoje bungeni atsema nini, wewe unalalama tu.
Hakuna abwabwajae ila wewe, hakuna ateteae ufisadi hata kidogo, bali kwenye ukweli ni ukweli tu. JK anafanya kazi zake vyema kabisa na zinaonekana mpaka IMF na kwa Bush na mafisadi wanashughulikiwa kisheria na si kwa kukurupuka na waambie wakae mkao wa kula JK anakuja systematically. JK unanikuna mpaka ndani ya loho.
Out of point, si tusiwaite basi. Au na wewe ndio uko huko unagawa pipi kidogo ili uwa koloni?
Kinachonifurahisha sana kuhusu nyie watetezi wa mafisadi ni kwamba mafisadi hawakawii kuwageuka na kuwanyang'anya wake zenu halafu mnabaki mnalialia tu
Jamani mi naomba tuanzishe TROLL alert! Maana trolls wa mafisadi wako humu kwa wingi, just copy paste the bs they get from their bosses!
Huyo Rostam mi naomba akajinyamazie tu maana hii ya kusema eti hawajui Richmond itamlipukia sasa hivi! Kama wenzangu mmebahatika kusoma ile ripoti ya tume ya Richmond na viambatanisho kuna barua moja kutoka unnamed source from BRELA iliyoeleza wazi kuwa mchezo mchafu ulichezwa BRELA kufuta majina ya wakurugenzi original wa Richmond na jamaa aliyeifanya hiyo kazi BRELA sasa amepewa nyumba! Sasa taarifa kwa Rostam: if you have something against you, just keep quiet. Kwa hiyo Salva Rweyemamu ambaye ndiye mshikaji wake na RA alimpa kazi Ikulu 'amempakazia?' Maana kama ni hivyo Salva alisema uongo chini ya kiapo na ANALO! Also email ya Caspian kutumika na Dowans ni very weak excuse eti waliforge.
Huyu rafiki yetu kama anataka kujisafisha asimame bungeni ajitetee siyo kuongea uchochoroni na waandishi makanjanja! Naomba apeleke hoja zake kwa Spika ili akina Mwakyembe wajibu vyema hoja hizi, na Salva naye aitwe bungeni wakalumbane!
Poor Dar-es-salaamMahakamni hawataki kwenda? si uwashitaki tu, ushahidi wote wa kuwafikisha mahakamani si unao? unangoja nini? mie nashangaa. Au ndio hakuna cha kusema tena.