Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.
SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.
Tunaomba Rostam kama kweli ni Raia aende mahakamani. kama Mchungaji ana data watanzania wanaweza kukomboka kweli.
NAKUJA TENA KUTOA MSAADA KWA JAMBO HILI,MTIKILA NI MTU MWONGO,AKIONA MTU ANA PESA BASI ANAMCHAMZAFUA MPAKA AKILIPWA NDIO ANANYAMAZA.SI KWELI ATA KIDOGO KUWA RA ALIKUJA NCHINI NA BIASHARA YA NGOZI,KWANI KWA WANAOMJUA RA NI KUWA ANAZUNGUMZA KISWAHILI FASAHA CHENYE LAFUDHI(ACCENT)YA KISUKUMA.KAMA ANGEKUWA AMEKUJA UKUBWANI HISINGEKUWA RAHISI KUBADILI ACCENT YAKE,WATAALAM WA LUGHA WATATHIBITISHA HILI.PIA SI KWELI KUWA WAZAZI WAKE WAKO IRAN.UKWELI MWINGINE NI KUWA RA ANAZUNGUNGUMZA KISUKUMA NA KINYAMWEZI SANIFU.HII INATOKANA NA MAHALI ALIKOZALIWA AMBAKO NI BUKENE NZEGA NA NDIKO MAHALI AMBAKO BABU YAKE ALIZIKWA MWAKA 1972.KAMA ANAMAKOSA BASI AJADILIWE KAMA YEYE VINGINEVYO HUU NI UBAGUZI WA RANGI USIO NA MIPAKA.MICHANGO YAKE KTK UJENZI WA TAIFA LETU NI MKUBWA SANA,MFANO NI AJIRA AMBAZO AMETOA KWA UWEKEZAJI KTK GAZETI LA MWANANCHI AMAKO LIMESAIDIA AJIRA YA ZAIDI YA WATANZANIA MIA TATU,PIA HABARI COOPERATION AMBALO JENERALI BINGWA WA UTAWALA BORA ALISHINDWA KULIENDESHA NA KUFIKA MAHALI HAWALIPI MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI KWA MIEZI MINNE SASA LINAENDA VEMA NALO LINATOA AJIRA ZAIDI YA WATANZANIA MIA MBILI.KAMPUNI YAKE YA CASPIAN IMEFANIKIWA KUSHINDA TENDA YA KUCHIMBA KTK MIGODI MBALIMBALI NA HIVYO KUWEZESHA MALIPO HAYO YA UCHIMBAJI YASIENDE NJE KAMA WAKATI AMBAPO KAMPUNI ZA SAUTH AFRIKA ZILIPIKUWA ZINASHINDA.MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MENI.Na hii habari kama ni kweli yaani itakuwa a big f.ck up kwa CCM, serikali na Tanzania kwa ujumla. Imagine jamaa ni mbunge, alishakuwa mweka hazina wa chama cha mafisadi, yupo kwenye CC I guess. du!!!!!!! halafu akawa si raia.
Hivi huyu jamaa swahili yake vp kwa wanaomjua, maana hako pia ni ka-aidi ka utanzania. Hivi hamna mtu humu JF huyo jamaa ni mbunge wa jimbo analotoka????
NAKUJA TENA KUTOA MSAADA KWA JAMBO HILI,MTIKILA NI MTU MWONGO,AKIONA MTU ANA PESA BASI ANAMCHAMZAFUA MPAKA AKILIPWA NDIO ANANYAMAZA.SI KWELI ATA KIDOGO KUWA RA ALIKUJA NCHINI NA BIASHARA YA NGOZI,KWANI KWA WANAOMJUA RA NI KUWA ANAZUNGUMZA KISWAHILI FASAHA CHENYE LAFUDHI(ACCENT)YA KISUKUMA.KAMA ANGEKUWA AMEKUJA UKUBWANI HISINGEKUWA RAHISI KUBADILI ACCENT YAKE,WATAALAM WA LUGHA WATATHIBITISHA HILI.PIA SI KWELI KUWA WAZAZI WAKE WAKO IRAN.UKWELI MWINGINE NI KUWA RA ANAZUNGUNGUMZA KISUKUMA NA KINYAMWEZI SANIFU.HII INATOKANA NA MAHALI ALIKOZALIWA AMBAKO NI BUKENE NZEGA NA NDIKO MAHALI AMBAKO BABU YAKE ALIZIKWA MWAKA 1972.KAMA ANAMAKOSA BASI AJADILIWE KAMA YEYE VINGINEVYO HUU NI UBAGUZI WA RANGI USIO NA MIPAKA.MICHANGO YAKE KTK UJENZI WA TAIFA LETU NI MKUBWA SANA,MFANO NI AJIRA AMBAZO AMETOA KWA UWEKEZAJI KTK GAZETI LA MWANANCHI AMAKO LIMESAIDIA AJIRA YA ZAIDI YA WATANZANIA MIA TATU,PIA HABARI COOPERATION AMBALO JENERALI BINGWA WA UTAWALA BORA ALISHINDWA KULIENDESHA NA KUFIKA MAHALI HAWALIPI MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI KWA MIEZI MINNE SASA LINAENDA VEMA NALO LINATOA AJIRA ZAIDI YA WATANZANIA MIA MBILI.KAMPUNI YAKE YA CASPIAN IMEFANIKIWA KUSHINDA TENDA YA KUCHIMBA KTK MIGODI MBALIMBALI NA HIVYO KUWEZESHA MALIPO HAYO YA UCHIMBAJI YASIENDE NJE KAMA WAKATI AMBAPO KAMPUNI ZA SAUTH AFRIKA ZILIPIKUWA ZINASHINDA.MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MENI.
Siku Rostam anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA aki mwaga mapesa yake chadema mtasikia hivi:
"Ndg wananchi hakuna mtu mzalendo katika nchi kama Ngd yetu Rostam,ameachana na CCM baada ya wanasiasa wenzie wa CCM kumchafua na kumwelezea ya kuwa yeye ni fisadi"kwa sasa ameamua kujiunga na chadema."Chama chetu cha chadema kimempata mwanachama shupavu.mzalendo anayeipenda nchi yake" makofi kibao!
Kwa hiyo chama chetu kimempatia ndg Rostam uweka hazina wa chadema!Na atakyenkuwa mfadhili wetu mkuu wa chama!
Kisha inasomwa shairi kwenye hadhara iliyo tungwa na mwanakjiji ya kumsifu rostam "
Hayo mambo ya siasa !!!

Nadhani ndugu salim un kaugonjwa kale walikonako wanasisiemu wa siku hizi kwamba mtu akishakuwa na pesa na akatoa sapoti tena wakati wa uchaguzi basi hata mabaya aliyoyafanya au anayofanya yanafutika.
Hivi unafikiri kwa ufisadi wa Rostam kwenye Richmond, Dowans, Kagoda ni watanzania wangapi wanasafa??? Feza hizo zingenunua dawa kiasi gani mahospitalini?, miundo mbinu ktk shule za kata isingewezekana???????
Inaonyesha mkuu unavyomuappreciate na kumuhusudu jamaa uko tayari kwa lolote!!!!!!!!!

Hahahaah imenichekesha sana hiii kwi kwi kwi kwi kwi....
Mie naelezea jinsi vyama vya siasa vinavyo weza kununuliwa na mtu mwenye mapesa!wala rostam mwenyewe simjui !hata wewe na uhakika kama una access na Rostam unaweza uka penyezewa rupia ukatulia tulii!
Mie naelezea jinsi vyama vya siasa vinavyo weza kununuliwa na mtu mwenye mapesa!wala rostam mwenyewe simjui !hata wewe na uhakika kama una access na Rostam unaweza uka penyezewa rupia ukatulia tulii!
Hivi amewahi kusema nini Bungeni, kuuliza nini, kupinga nini, kuunga mkono hoja gani, kwanini vyote vilivyosemwa havionekani na hajapewa credit? Ina maana hata wapiga taipu wa Bunge wako mfukoni? anaogopwa, anaogopesha?.