Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Kwa hiyo CCM imekuwa inapokea michango ya pesa HARAMU?? ijichunguze au ichunguzwe kujua ukweli...
 
Du hii tena mpya,mkuu mnyoofu unaweza kuanika details ziada???????
 
Tunaomba Rostam kama kweli ni Raia aende mahakamani. kama Mchungaji ana data watanzania wanaweza kukomboka kweli.
 
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.

Prove!

SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.

Mwaka gani na alisomea nini?
 
Tunaomba Rostam kama kweli ni Raia aende mahakamani. kama Mchungaji ana data watanzania wanaweza kukomboka kweli.

Rostam hawezi kwenda mahakama yoyote maana amezoea vya kunyonga tu na sasa amejileta mwenyewe kwenye spot light ili alipe kile alichomfanyia Dr Salim Ahmed Salim...

Rostam huu ni moto mkali na JF ipo hapa kuhakikisha kuwa unarudisha pesa zote za wizi ulizowaibia watanzania.
 
MNYOOFU ....HEBU NYOOKA ZAIDI.........KAMA KWENYE MAKABRASHA HAYUMO, NA THE SAME TO RICHMOND.......INA MAANA BASI SI YEYE TU ANAYEUFANYA MCHEZO HUU........TUWANYOOKEE NA WENGINE TUTAYACHIMBUA MENGI.......!
 
Na hii habari kama ni kweli yaani itakuwa a big f.ck up kwa CCM, serikali na Tanzania kwa ujumla. Imagine jamaa ni mbunge, alishakuwa mweka hazina wa chama cha mafisadi, yupo kwenye CC I guess. du!!!!!!! halafu akawa si raia.

Hivi huyu jamaa swahili yake vp kwa wanaomjua, maana hako pia ni ka-aidi ka utanzania. Hivi hamna mtu humu JF huyo jamaa ni mbunge wa jimbo analotoka????
NAKUJA TENA KUTOA MSAADA KWA JAMBO HILI,MTIKILA NI MTU MWONGO,AKIONA MTU ANA PESA BASI ANAMCHAMZAFUA MPAKA AKILIPWA NDIO ANANYAMAZA.SI KWELI ATA KIDOGO KUWA RA ALIKUJA NCHINI NA BIASHARA YA NGOZI,KWANI KWA WANAOMJUA RA NI KUWA ANAZUNGUMZA KISWAHILI FASAHA CHENYE LAFUDHI(ACCENT)YA KISUKUMA.KAMA ANGEKUWA AMEKUJA UKUBWANI HISINGEKUWA RAHISI KUBADILI ACCENT YAKE,WATAALAM WA LUGHA WATATHIBITISHA HILI.PIA SI KWELI KUWA WAZAZI WAKE WAKO IRAN.UKWELI MWINGINE NI KUWA RA ANAZUNGUNGUMZA KISUKUMA NA KINYAMWEZI SANIFU.HII INATOKANA NA MAHALI ALIKOZALIWA AMBAKO NI BUKENE NZEGA NA NDIKO MAHALI AMBAKO BABU YAKE ALIZIKWA MWAKA 1972.KAMA ANAMAKOSA BASI AJADILIWE KAMA YEYE VINGINEVYO HUU NI UBAGUZI WA RANGI USIO NA MIPAKA.MICHANGO YAKE KTK UJENZI WA TAIFA LETU NI MKUBWA SANA,MFANO NI AJIRA AMBAZO AMETOA KWA UWEKEZAJI KTK GAZETI LA MWANANCHI AMAKO LIMESAIDIA AJIRA YA ZAIDI YA WATANZANIA MIA TATU,PIA HABARI COOPERATION AMBALO JENERALI BINGWA WA UTAWALA BORA ALISHINDWA KULIENDESHA NA KUFIKA MAHALI HAWALIPI MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI KWA MIEZI MINNE SASA LINAENDA VEMA NALO LINATOA AJIRA ZAIDI YA WATANZANIA MIA MBILI.KAMPUNI YAKE YA CASPIAN IMEFANIKIWA KUSHINDA TENDA YA KUCHIMBA KTK MIGODI MBALIMBALI NA HIVYO KUWEZESHA MALIPO HAYO YA UCHIMBAJI YASIENDE NJE KAMA WAKATI AMBAPO KAMPUNI ZA SAUTH AFRIKA ZILIPIKUWA ZINASHINDA.MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MENI.
 
Hello, you hve been missed a lot in this forum, karibu uendeleze utetezi wa wakubwa wako...umesahau pia mchango wake RA ni kuiba pesa za walalahoi wa taifa hili mfano Richmond na Kagoda through EPA, na kutochangia chochote bungeni
 
Siku Rostam anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA aki mwaga mapesa yake chadema mtasikia hivi:

"Ndg wananchi hakuna mtu mzalendo katika nchi kama Ngd yetu Rostam,ameachana na CCM baada ya wanasiasa wenzie wa CCM kumchafua na kumwelezea ya kuwa yeye ni fisadi"kwa sasa ameamua kujiunga na chadema."Chama chetu cha chadema kimempata mwanachama shupavu.mzalendo anayeipenda nchi yake" makofi kibao!

Kwa hiyo chama chetu kimempatia ndg Rostam uweka hazina wa chadema!Na atakyenkuwa mfadhili wetu mkuu wa chama!

Kisha inasomwa shairi kwenye hadhara iliyo tungwa na mwanakjiji ya kumsifu rostam "
Hayo mambo ya siasa !!!
 
Hakuna Mwenye uwezo wa kumchafua Rostam Azizi mkuu alishajichafua zamani
 
Siku Rostam anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA aki mwaga mapesa yake chadema mtasikia hivi:

"Ndg wananchi hakuna mtu mzalendo katika nchi kama Ngd yetu Rostam,ameachana na CCM baada ya wanasiasa wenzie wa CCM kumchafua na kumwelezea ya kuwa yeye ni fisadi"kwa sasa ameamua kujiunga na chadema."Chama chetu cha chadema kimempata mwanachama shupavu.mzalendo anayeipenda nchi yake" makofi kibao!

Kwa hiyo chama chetu kimempatia ndg Rostam uweka hazina wa chadema!Na atakyenkuwa mfadhili wetu mkuu wa chama!

Kisha inasomwa shairi kwenye hadhara iliyo tungwa na mwanakjiji ya kumsifu rostam "
Hayo mambo ya siasa !!!

Nadhani ndugu salim un kaugonjwa kale walikonako wanasisiemu wa siku hizi kwamba mtu akishakuwa na pesa na akatoa sapoti tena wakati wa uchaguzi basi hata mabaya aliyoyafanya au anayofanya yanafutika.

Hivi unafikiri kwa ufisadi wa Rostam kwenye Richmond, Dowans, Kagoda ni watanzania wangapi wanasafa??? Feza hizo zingenunua dawa kiasi gani mahospitalini?, miundo mbinu ktk shule za kata isingewezekana???????

Inaonyesha mkuu unavyomuappreciate na kumuhusudu jamaa uko tayari kwa lolote!!!!!!!!!
 
Hahahaah imenichekesha sana hiii kwi kwi kwi kwi kwi....
 
Alisha kuwa tayari kwa lolote na lolote alishafanyiwa wewe unashangaa leo ? Uwezo modogo huu wa akili kweli ni wa kijinga na unakuwa kichaa .RA kasoma oxford tunaomba weka hapa mambo ya shule zake kabla ya Oxford means ni Tanzania weka hapa pia mambo haya .Mtikila si mjinga kama unavyo dhani na ndiyo tangia atamke hadi sasa wako kimya hakuna cha mwanasheria wa RA wala nani .Mtikila kesha kula naye .Wakati anahangaisha watu hapa yeye akaamua kujua huyu ni mtu wa aina gani na sasa kasema .Ajisafishe basi hata kwa magazeti juu ya tuhuma za Mtila mbona yuko kimya wewe una hangaika . Kama Rostam kasoma angalikuwa confortamble kuweka nondo kwenye CV maana inampa heshima zaidi .Mbona kaacha blank ?
 
Nadhani ndugu salim un kaugonjwa kale walikonako wanasisiemu wa siku hizi kwamba mtu akishakuwa na pesa na akatoa sapoti tena wakati wa uchaguzi basi hata mabaya aliyoyafanya au anayofanya yanafutika.

Hivi unafikiri kwa ufisadi wa Rostam kwenye Richmond, Dowans, Kagoda ni watanzania wangapi wanasafa??? Feza hizo zingenunua dawa kiasi gani mahospitalini?, miundo mbinu ktk shule za kata isingewezekana???????

Inaonyesha mkuu unavyomuappreciate na kumuhusudu jamaa uko tayari kwa lolote!!!!!!!!!

Mie naelezea jinsi vyama vya siasa vinavyo weza kununuliwa na mtu mwenye mapesa!wala rostam mwenyewe simjui !hata wewe na uhakika kama una access na Rostam unaweza uka penyezewa rupia ukatulia tulii!
 
Hahahaah imenichekesha sana hiii kwi kwi kwi kwi kwi....

kwi kwi kwi ...

yaani acha tu... hapa mie naenjoy muziki kama kawa!

BTW, Elimu ya Rostam kaipata wapi na lini? bado swali la msingi halijibiwi hapa.......kwi kwi kwi kwi kwi
 
Mie naelezea jinsi vyama vya siasa vinavyo weza kununuliwa na mtu mwenye mapesa!wala rostam mwenyewe simjui !hata wewe na uhakika kama una access na Rostam unaweza uka penyezewa rupia ukatulia tulii!

peleka tabia zako huko kwa Rostam maana watanzania wengine wanajali maisha yao na hawana sababu za kujikombakomba kwa yeyote hasa hasa mtu mchafu kama Rostam Azizi.... pesa zake za wizi abaki nazo huko ccm
 
Mie naelezea jinsi vyama vya siasa vinavyo weza kununuliwa na mtu mwenye mapesa!wala rostam mwenyewe simjui !hata wewe na uhakika kama una access na Rostam unaweza uka penyezewa rupia ukatulia tulii!

CCM pekee yake ndo unaweza kununua chama.Kama wahindi na akina RA wanavyofanya. Katika chama wanapojaa watu wenye fikra finyu kama zako zinazotanguliza pesa ofcourse chama lazima kinunuliwe. Kuna baadhi ya Watanzania ni maskini lakini wanathamani kuliko utajiri mzima wa RA. Wate wasiojithamini peke yao ndo hununuliwa, na nadhani wewe ni mmojawapo.
 
Tume ya uchaguzi ya taifa (NEC)wanazo details za rostam kuhusu na wasifu wake kwa ujumla, kwani katika zile fomu za kuomba kugombea ubunge kupitia cham chochote cha siasa zipo dondoo au maswali yanayomtaka mgombea kutaja alikozaliwa,mwaka wa kuzaliwa, shule alizosoma nk

Katika hayo yote rostam amejaza nini??? na kama ametaja majina ya sehemu na miaka sawia, basi yajulikane ili ukweli uonekane, la kama si kweli, na alitaja tu sehemu hizo kwa uongo, atakuwa alidanganya kabla hata hajagombea ubunge hivyo tyr ubunge wake ni batili!!
 
Hivi amewahi kusema nini Bungeni, kuuliza nini, kupinga nini, kuunga mkono hoja gani, kwanini vyote vilivyosemwa havionekani na hajapewa credit? Ina maana hata wapiga taipu wa Bunge wako mfukoni? anaogopwa, anaogopesha?.

Sio tu nimekuwa nikihudhuria vikao vingi vya Bunge, lakini pia nina utamaduni wa kutunza kumbukumbu nyingi kuhusu Bunge. Katika uzoefu wangu Bungeni, sijawahi kumuona Rostam akiwa amesimama kwa nia ya kutaka kuuliza hata swali la nyongeza. Sijawahi kumsikia akizungumza lolote Bungeni. Mara chache sana, tena sana, huwa anachangia kwa maandishi. Alichangia mwaka jana mara moja, sikumbuki kwenye mjadala gani. Zaidi ya huo sijaona mchango wake mwingine wowote katika mijadala ya Bunge.
Labda huo umaarufu wake unatokana na mambo mengine, si michango yake katika Bunge
 
Mpita Njia, nakuaminia kabisa! hivi wale anaozungumza nao huwa anazungumzaga Kiswahili? Najua anafahamu kwani niliwahi kuzungumza naye akiwa Dodoma, au hajiamini kuzungumza Kiswahili?
 
Back
Top Bottom