William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Unahitaji kujua uraia na jina langu ili ukaniseme kwa polisi kama ulivyofanya kwa wale watoto Mike na mwenzake? ulipata nini kwa kushirikiana na polisi kuwashika wana JF kwa masaa yote bila kosa lolote?
Jamani,someni vizuri kwa makini yaliyo andikwa! Rostam Aziz alisema kwamba kodi anayo lipa kwa mwaka ni zaidi ya shillingi billioni 100/-.Sio dola billioni $100
Wewe ndio unatakiwa usome vizuri, kila mtu anafanya analysis ya dolla $100 Million. Nimeuliza jee faida katika biashara ya Rostam azizi ni zaidi ya million $400 dollar?
Jee mtaji wake ni sawa ni almost $1 Billion? Jee Rostam anabiashara gani kubwa kiasi cha kutengeneza margin kama ya Vodacom au TTCL?
Lakini angalau bado tuna "amani na utulivu" tofauti na jirani zetu.
kwi kwi kwi...
umeanza kukaribisha wengine tena... usiombe Rostam akusikie
Hawa watu unaowaita makini ndio wametuletea Buzwagi, IPTL, Kiwira, wameiba BoT, wamesababisha kupanda kwa bei ya umeme na sementi, wanaacha watoto wakisomea kwenye mavumbi, wameshindwa kuunganisha Kigoma na sehemu zingine za Tanzania!
Umakini wao upo wapi?
Hili swala la Rostam Azizi na uraia wake wa utata inabidi lishughulikiwe haraka sana na wizara ya mambo ya ndani, usalama wa taifa, na ikiwezekana jeshi la ulinzi wa Tanzania.
Wezi na watu hatari kama Rostam Azizi wanatishia usalama wa Tanzania na ni lazima wadhibitiwe haraka sana iwezekanavyo!
Moto umekuwakia unaanza kukimbia.... hii kazi mwachie Rostam na mawakili wake pale kesi yake itakapofikishwa mahakamani. Huyu bwana anaombwa tu kuprove uraia wake maana kuna maswali mengi sana yanahitaji kujibiwa namna alivyopata passport ya Tanzania
Unahitaji kujua uraia na jina langu ili ukaniseme kwa polisi kama ulivyofanya kwa wale watoto Mike na mwenzake? ulipata nini kwa kushirikiana na polisi kuwashika wana JF kwa masaa yote bila kosa lolote?
Wewe Shy kwanza unazidi kuchafua hili baraza, watu kama wewe masnitch inabidi mufunguliwe gereza maalumu. Tena ukome kabisa kunifuatilia na bado nakusubiria uende mahakani kama ulivyotishia kufanya....
Kesi yako inabidi iwe sambamba na kesi ya Rostam ya kufoji uraia wa Tanzania!
Wewe Bibie una maneno sana wewe, yaaani Shy whaaat?