Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Guys, nimewasoma na inaelekea wote tunakubaliana kuwa lazima tuendelee kuwaibua na kuwabana kiuhakika hawa mafisadi. Sasa, leteni 'action points' basi- tumfanze nini huyu Rostam? Ninaimani action(s) ndo zitaendelea kututoa watanzania hapa tulipo from kuwa walalamikaji kuelekea kuwa watu tunaofuatilia na kulinda maslahi ya Taifa letu kwa vitendo na kuwawajibisha wahusika. Kitu kingine ni kuwa ni vizuri wakati Rostam na mafisadi wenzake wakipitia humu JF waone tusivyopenda wizi wao usio na aibu, ila pia waone mikakati yetu thabiti ya kuhakikisha wanawajibishwa.. kunanadeki!!
Binti haki,
dawa ya Rostam Azizi iko jikoni,
mambo yote ni taratibu tu na yataanza na hii case yake ya utata wa uraia wake, kila kitu kitawekwa hadharani namna huyu bwana alivyomdanganyifu kwenye mambo yote anayofanya Tanzania.
Kuna uwezekano mkubwa sana amedanganya kuhusu alikozaliwa na kwenye application yake ya "passport" ya Tanzania. Nilimwambia hili week chache zilizopita kuwa baada ya lowasa ni yeye ndiye anafuata.... tik tak tik tak tik tak.......