Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Unahitaji kujua uraia na jina langu ili ukaniseme kwa polisi kama ulivyofanya kwa wale watoto Mike na mwenzake? ulipata nini kwa kushirikiana na polisi kuwashika wana JF kwa masaa yote bila kosa lolote?

Wewe Bibie una maneno sana wewe, yaaani Shy whaaat?
 
Watu wanaotawaliwa na wezi hata wafanye kazi kwa juhudi gani watazidi kuwa masikini. Watanzania wakitaka kuondokana na umasikini itabidi wabadilishe watawala wao.

Tumetawaliwa na serikali ile ile tangu tupate uhuru mwaka 1961. Zimekuwepo awamu kadhaa za serikali ile ile. Wangekuwa watu wema haingekuwa nongwa, lakini kila kukicha tunazidi kugundua mijtu yenyewe ni mijizi.


 
well.. si alisema amelipa kodi ya kiasi fulani cha dola (sikumbuki)sitaki kuamini kuwa amepata shida ya kulipa kiasi kidogo kama hiki na kama alikuwa na kesi yoyote mahakamani basi yawezekana anasababu ya kutolipa. Au alikataa tu kulipa?
 
Jamani,someni vizuri kwa makini yaliyo andikwa! Rostam Aziz alisema kwamba kodi anayo lipa kwa mwaka ni zaidi ya shillingi billioni 100/-.Sio dola billioni $100
 
Naona niwe msomaji tu lasivyo nitafungiwa humu kwa kutukana watu!

*&%#~#$#<#&>@@)" wezi wote!
 
Jamani,someni vizuri kwa makini yaliyo andikwa! Rostam Aziz alisema kwamba kodi anayo lipa kwa mwaka ni zaidi ya shillingi billioni 100/-.Sio dola billioni $100

Wewe ndio unatakiwa usome vizuri, kila mtu anafanya analysis ya dolla $100 Million. Nimeuliza jee faida katika biashara ya Rostam azizi ni zaidi ya million $400 dollar?

Jee mtaji wake ni sawa ni almost $1 Billion? Jee Rostam anabiashara gani kubwa kiasi cha kutengeneza margin kama ya Vodacom au TTCL?
 
Wewe ndio unatakiwa usome vizuri, kila mtu anafanya analysis ya dolla $100 Million. Nimeuliza jee faida katika biashara ya Rostam azizi ni zaidi ya million $400 dollar?

Jee mtaji wake ni sawa ni almost $1 Billion? Jee Rostam anabiashara gani kubwa kiasi cha kutengeneza margin kama ya Vodacom au TTCL?

samahani mkuu laini umeongelea margin kubwa za vodacom na TTCL!! Unajua owners wa vodacom?? Na TTCL walipotengana na Celtel, una uhakika Rostam hakubaki na super dealership yotote??

Kagoda issue ya Rostam imeshafunikwa na kuna mtu tajiri sana ndio amekubali kuwa ndio owner na ameshalipa 50% ya hela iliyochukuliwa na 50% nyingine amesema halipi ngo sababu aliwapa CCM. Rostam alimwokoa kwenye issue kubwa ambazo huyu mtu anazo na amehaidiwa hamna cha mahakam wala nini. List itakapotolewa itakuwa kama mchezo wa kuigiza. Ukipitia vizuri taarifa ya Mkullo kuhusu pesa zitakazorudishwa utaona ni around 100 billion na sio 133 billion. Sehemu kubwa ni hiyo tofauti ya Kagoda na zile nyingine zilizosemekana zimekwenda sehemu nyeti.
 
Lakini angalau bado tuna "amani na utulivu" tofauti na jirani zetu.

Hakutakuwa na amani umaskini na unyanyasi huu unaozidi kudhihirika ukiendelea......

Hata rubber band ukiivuta zaidi ya uwezo wake hukatika.....
 
Kuna kipindi huwa nawaza nie kheri enzi za ukoloni mnajua fika anaewatawala si mwenzenu.

Tumepata uhuru matokeo yake ni kikulacho ki nguoni mwako.

Naomba niishie apa,everthing to God in prayers
 
Wakati mwingine naona bora TUPIGANE humu nchini kwetu wenyewe kwa wenyewe maana ni wazi tumeshindwa kujitawala kistaarabu na waliopo madaraka wanazidi kutuua tu ,bora tukose amani lakini kuwe na heshima na nidhamu ya kuongoza na sio huu ujinga kila kukicha kama wote sasa hatuna akili!
 
Machozi ya kulilia Tz yanaelekea kuisha... then we have to get on our feet and fight! Fight till we get our damn rights.
 
Halafu watu wengine wanadiriki kudai eti malalamiko ya ufisadi yamezidi kupita kiasi tuachane nayo tuongelee mambo "mazuri" sasa wakati hali yenyewe hairuhusu, manake ufisadi unavyozidi kufichuliwa, inatia kinyaa!
 
Na bado, na bado, na bado......na badoooo

Jamaa walishaharibu sana, sasa hivi madude yao yanawekwa hewani, hakuna fisadi atakayepona.

Watabebana hadi mwisho anayebeba ataelemewa na mzigo utamdidimizia ardhini na kuzikwa nao.....
 
kwi kwi kwi...

umeanza kukaribisha wengine tena... usiombe Rostam akusikie

Hawa watu unaowaita makini ndio wametuletea Buzwagi, IPTL, Kiwira, wameiba BoT, wamesababisha kupanda kwa bei ya umeme na sementi, wanaacha watoto wakisomea kwenye mavumbi, wameshindwa kuunganisha Kigoma na sehemu zingine za Tanzania!

Umakini wao upo wapi?

Hili swala la Rostam Azizi na uraia wake wa utata inabidi lishughulikiwe haraka sana na wizara ya mambo ya ndani, usalama wa taifa, na ikiwezekana jeshi la ulinzi wa Tanzania.

Wezi na watu hatari kama Rostam Azizi wanatishia usalama wa Tanzania na ni lazima wadhibitiwe haraka sana iwezekanavyo!

Rostam anadai amezaliwa Igunga, sasa tunaomba waliozaliwa huko watupatie habari kamili kama kweli naye ni MGUNGA ama alijipachika tu kwa ajili ya ubunge, lakini hata ikibainika RAIA hakuna haja ya kuwaita Raia wa nchi yetu kwa 'UFISADI' wake, afutiwe Uraia, atiwe pingu na akaswekwe rumande tena wamlete hapa kwetu gereza la Butimba ili akalime na akina Babu seya majaruba ya mpunga.
 
Guys, nimewasoma na inaelekea wote tunakubaliana kuwa lazima tuendelee kuwaibua na kuwabana kiuhakika hawa mafisadi. Sasa, leteni 'action points' basi- tumfanze nini huyu Rostam? Ninaimani action(s) ndo zitaendelea kututoa watanzania hapa tulipo from kuwa walalamikaji kuelekea kuwa watu tunaofuatilia na kulinda maslahi ya Taifa letu kwa vitendo na kuwawajibisha wahusika. Kitu kingine ni kuwa ni vizuri wakati Rostam na mafisadi wenzake wakipitia humu JF waone tusivyopenda wizi wao usio na aibu, ila pia waone mikakati yetu thabiti ya kuhakikisha wanawajibishwa.. kunanadeki!!
 
just a matter of time, Tanzania ya amani itatoweka kwa UFISADI. Hee mungu tuepushieni hawa vibaraka wakiongozwa na Rostamu Aziz.

Huyu jamaa afugiki na anazidi kuambukisa wengine inabidi arudishwe kwao.

Hawa MAFISADI wengne wadogo wadogo tuwapelekeni mahakamani then nafikiri Keko kwa uhujumu uchumi.

Sasa nakumbuka ule waraka kwa nini Tanzania bado ni masikini? Jibu ni milolongo ya matukio ya kuanzia 199......(UFISADI)
 
Moto umekuwakia unaanza kukimbia.... hii kazi mwachie Rostam na mawakili wake pale kesi yake itakapofikishwa mahakamani. Huyu bwana anaombwa tu kuprove uraia wake maana kuna maswali mengi sana yanahitaji kujibiwa namna alivyopata passport ya Tanzania



Unahitaji kujua uraia na jina langu ili ukaniseme kwa polisi kama ulivyofanya kwa wale watoto Mike na mwenzake? ulipata nini kwa kushirikiana na polisi kuwashika wana JF kwa masaa yote bila kosa lolote?

Wewe Shy kwanza unazidi kuchafua hili baraza, watu kama wewe masnitch inabidi mufunguliwe gereza maalumu. Tena ukome kabisa kunifuatilia na bado nakusubiria uende mahakani kama ulivyotishia kufanya....

Kesi yako inabidi iwe sambamba na kesi ya Rostam ya kufoji uraia wa Tanzania!

UNAVYOSEMA RIPOTI ZA KIJASUSI INA MAANA WEWE NI JASUSI AU MSEMAJI WA MAJASUSI WANAOSHUGULIKIA SUALA HILO / DADA / MAMA /BIBI YANGU UWE MAKINI SANA NA MATAMKO YAKO USIONE WATU WANAKUPA THANKS UKAPANDA KICHWA HAYA MAMBO UNAYOYASEMA NI HATARI SANA USIJIAMINI SANA KUONGEA VITU AMBAVYO HUNA UHAKIKA NA SIO SIZE YAKO
 
Wewe Bibie una maneno sana wewe, yaaani Shy whaaat?

NDIO MAANA NILIMWAMBIA INVISIBLE AWE MAKINI SANA NA HAWA MEMBERS NA TUHUMA ZAO WANAOZOTOA HUMU NDANI , WANAHARIBU SANA HII FORUM NA INATOA IMANI KWA WANACHAMA WAPYA KATIKA FORUM KWA UJUMLA

ANGALIA PALE KATIKA HOJA NZITO NITAANDIKA RIPOTI KAMILI KWA RAIDA YA UMA
 
Nilivyo isoma hiyo orodha ukiondoa Rostam naona kuna mafisadi wengine kibao!Lakini naona hapa mada Rostam ndiye mada wengine ruksa kufisadi?
Wote hao washughulikiwe wakiongozwa na huyo Rostam "Baba wa Mafisadi"
 
Back
Top Bottom