Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
toba... bomu... "Mtikila mwenyewee alikuwa kuniomba Shs milioni 3 za kuendeleza Kanisa lake na kumpatia, hili la kuwaambia wengine fedha zangu ni dhambi wakati yeye anazipokea ni unafiki, nawapa ushahidi wa malipo hayo kwa Mtikila"!
"natoa changamoto kwa mtu yeyote mwenye ushahidi wa vitendo vya uvisadi awakilishe hayo kwenye vyombo vya sheria"
anasema "mimi si miongoni mwa wale walioshindwa kuishi na wake zao na kuchangamkia watoto wadogo wanaolingana na mabinti zao au wajukuu zao"
Kikao kimeisha baada ya maswali machache ya waandishi wa habari.
Mkjiji una any info ya maswali yaliyoulizwa na majibu yake? Especially the critical ones!!!!!!
Bado hakijapatikana kilichosemwa au hajamaliza?
asubuhi ndugu yangu.. hii itatusababisha wengine tuwe vibogoyo mapema zaidi.. siku njema to everyone.