Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

toba... bomu... "Mtikila mwenyewee alikuwa kuniomba Shs milioni 3 za kuendeleza Kanisa lake na kumpatia, hili la kuwaambia wengine fedha zangu ni dhambi wakati yeye anazipokea ni unafiki, nawapa ushahidi wa malipo hayo kwa Mtikila"!
 
anasema huko nyuma alishughulikia kutoa mchango wa kulisaidia Kanisa hilo huko nyuma kwa mwaliko wa Mzee wa Kanisa hilo Mhe. Samuel Sitta...
 
anahoji mbona wafanyabiashara wa Kikristu wanaoneshwa wakitoa misaada katika ujenzi wa Misikiti, iweje leo muislamu kutoa msaada kanisani?

anasema "natoa changamoto kwa mtu yeyote mwenye ushahidi wa vitendo vya uvisadi awakilishe hayo kwenye vyombo vya sheria"
 
toba... bomu... "Mtikila mwenyewee alikuwa kuniomba Shs milioni 3 za kuendeleza Kanisa lake na kumpatia, hili la kuwaambia wengine fedha zangu ni dhambi wakati yeye anazipokea ni unafiki, nawapa ushahidi wa malipo hayo kwa Mtikila"!



Mzee MwanaK, Tunakuaminia!! Lete Habari......!!!
 
Hivi huu ndio muungurumo? Ameshikwa koo sasa zinamtokea puani anaruka ruka tu kama kunguru mweusi mwenye shada nyeupe.
 
Watanzania tumetegwa na tutaendelea kutegwa. Aina ya huu ushahidi anaoutaka Rostam ni ule ule ambao hata wale jamaa ndani ya list of shame waliutaka na wakatishia kwenda mahakamani (Sijui waliishia wapi). Ok Rostam ni mtu safi......... I think that will be the conclusion
 
Baadaye leo mchana kuanzia saa nane EST sawa na saa tatu za usiku za TZ tutarusha mkutano huu wa Rostam na waandishi ili watu wapate nafasi ya kumsikia yeye mwenyewe kwa maneno yake kabla ya kusoma kwenye magazeti ambapo sitoshangaa habari itakuwa ni "Mtikila"... na endapo itawezekana tutaona kama tutaweza kumpata Mch. Mtikila naye kujibu madai yaliyotolewa na Rostam.
 
Usafi hautokani na kujisafisha kwa maneno na mbwebwe bali matendo.

Matendo yake yanaonyesha jinsi alivyo fedhuli na jinsi alivyojipatia mali isivyo halali. Je katika biashara zake ambazo anazifanya amelipa kodi kiasi gani? Sio swala gumu kwa mfanyibiashara aliyebobea na mwenye uwezo mkubwa wa kuwahadaa wasomi wetu kama akina JK et al.
 
Congrats Mkjiji kwa kurelay hii habari, I will say live!!!!! We will be there kumsikiliza mwenyewe huo muda. Na hujakosea kesho magazeti yoote itakuwa Mtikila, tena wanaweza hata kuweka kichwa ca habari kikuubwa........MTIKILA NAYE FISADI
 
Mkjiji una any info ya maswali yaliyoulizwa na majibu yake? Especially the critical ones!!!!!!

sijui kama utaweza kuita ni critical.. ila walimuuliza maswali mawili matatu kuhusu Richmond. Yote yatasikika kwenye show ya mchana... ngoja nipumzike haya ya kwenda Dar usiku wa manane... si mazuri..
 
asubuhi ndugu yangu.. hii itatusababisha wengine tuwe vibogoyo mapema zaidi.. siku njema to everyone.
 
Back
Top Bottom