Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Sistery mbona hapo umeniacha kwenye mataa umeshuhudia kwa macho yako hayo yakifanyika wapi? kwenye soko la hisa, au wapi?

Mwaka huu kazi ipo...

Jamani sina hakika kama Tina ni mwandishi wa habari ama mtaalamu wa kuandika. Inaonekana hana taaluma hiyo. Kama hivyo ndivyo, wataalamu kama Masatu, Kapinga, Mwanakijiji na wengineo tumsaidie kutafuta 'nyama nyama' na kuiboresha hii topic aliyoileta. Kama munasema Noni aliuza hisa zake kabla ya JK kuingia madarakani, basi Tina alikosea nahani hapo 'aliposhuhudia' kwa macho hakuangalia tarehe maana si mwandishi kama wengine walivyo humu ndani. Sina haja ya kumtetea sana maana atakuja na yeye kama amefika huko majuu akiwa salama (maana wanaweza kum-Ballali). Jambo la msingi naona hakuna aliyepinga kwamba Rostam hajaweka hisa zake nje, hakuna anayebisha kwamba alinunua hisa za Planetel. Sasa munaojua ukweli kwa hakika ni bora muweke humu tujadili badala ya kusema tu kwamba watu wanadandia ama watu hawajui. Mtu anaposema kwamba fulani hajui, yeye anajua na hivyo atuelimishe hicho anachokijua kwa manufaa ya JF na WATANZANIA wote.

TAHADHARI: Bado naona kuna jambo na kuna kila dalili hii TOPIC ikapotea katika anga za habari nchini.
 
Kwa vyovyote vile, bado tuna tatizo na sheria zetu za kuwatambua na kuwaadabisha mafisadi, kuna watu wanajulikana kabisa kwa kutoa na kupokea rushwa lakini kwa sababu ya nafasi au ushirika wao na kikundi cha wenye madaraka hawa wamekuwa hawakamatwi na matokeo yake waandishi wa habari wanaandika sana habari zao (nzuri) pale wanapotoa vjifedha hususani kwa ajili ya upakaji rangi madarasa(wao wanasema ujenzi).

Kuna kitu ambacho watawala wetu wa Tanzania hawawezi kufanya wala wapiga kura wao, lakini umma wote unaweza kufanya kitu na haki ikawa kwa kila mmoja. Umma usimame na kuwatoa hadharani mafisadi ili wapigwe risasi za kichwa hadharani kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa kuijenga China. anachosema mdau Tina ni obvious, na sasa tusubiri BWM akipeleka ujasiliamali wake SA


Kizazi cha mafisadi kina maarifa makubwa na umma wenye uliosimama hautishwi na maarifa ya kifisadi
 
Kwa vyovyote vile, bado tuna tatizo na sheria zetu za kuwatambua na kuwaadabisha mafisadi, kuna watu wanajulikana kabisa kwa kutoa na kupokea rushwa lakini kwa sababu ya nafasi au ushirika wao na kikundi cha wenye madaraka hawa wamekuwa hawakamatwi na matokeo yake waandishi wa habari wanaandika sana habari zao (nzuri) pale wanapotoa vjifedha hususani kwa ajili ya upakaji rangi madarasa(wao wanasema ujenzi).

Kuna kitu ambacho watawala wetu wa Tanzania hawawezi kufanya wala wapiga kura wao, lakini umma wote unaweza kufanya kitu na haki ikawa kwa kila mmoja. Umma usimame na kuwatoa hadharani mafisadi ili wapigwe risasi za kichwa hadharani kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa kuijenga China. anachosema mdau Tina ni obvious, na sasa tusubiri BWM akipeleka ujasiliamali wake SA

Kizazi cha mafisadi kina maarifa makubwa na umma wenye uliosimama hautishwi na maarifa ya kifisadi

Duh!!!! hii kali
 
mmh dada Tina, Hebu harakisha maana hizo ni habari muhimu katika mapinduzi tunayotegemea kumfanyia raisi Kikwete
 
Nimerudi salama salmini, nilikua nimetingwa na kuweka sawa mambo yangu niliyoyaacha hapa ugenini.

Kwa ufupi nadhani hii isu itaibuka siku si nyingi, maana kwa sasa watu wamemshitukia huyu jamaa kwamba hataki abaki na mali nyingi nchini. Mali nyingine ziko Dubai
 
Tigo na Vodacom watakua wanavunja sheria kwa kuwa na umiliki wa wageni kwa asilimia 100

GOVERNMENT NOTICE NO. 268 published on 9/9/2005


TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY ACT, 2003 (No. 12 of 2003)

REGULATIONS

THE COMMUNICATIONS (LICENSING) REGULATIONS, 2005


PART II ELIGIBILITY, REQUIREMENTS AND GRANT OF LICENCES

Eligibility for 4. A person shall be eligible for postal, electronic communication or content a licence services licences who

(a) in the case of telecommunication licence, a local shareholder possesses minimum of thirty five per cent of the shares;

(b) in the case of content service licence, a local shareholder possesses a minimum of fifty one per cent of the shares; and

(c) in the case of postal licence, a local shareholder posses a minimum of thirty five per cent of the shares.

Application 5.-(1) Any person who wishes to operate any electronic for licence communication system or offer postal, courier, electronic communication or content service shall apply to the Authority for a licence.
(2) An applicant for a licence shall be required to submit the following documents:

SOURCE: [media]http://www.tcra.go.tz/regulation/THE%20COMMUNICATIONS%20LICENSING%20REGULATIONS%202005.pdf[/media]
 
TINA you are so beatiful, NAKUPENDA maana ni bora kuwa muwazi. Naomba contact zako niwasiliane na wewe

Boma, mambo gani tena kaka yetu. wapata matamanio kwenye mjadala mzito kama huu. nina wasiwasi MAFISADI wakikutegea mwanamke mzuri utaabadilika uanze kuweka post za kuwa unga mkono hapa JF!!! Kemea na ubadilike, wakati ni huu!!!

Kuhusu hili suala la njama za kuvusha fedha zetu, nina imani kuwa wale wazalendo waliokuwa wanapinga bado wana moyo huo hadi leo ili baadaye ndio wawe mashahidi wa kurudisha hii mali; au kutoa ushahidi wa kumtia hatiani RA asiweze kutoroka!!! Kwanza nauliza huyu Muajemi yuko kweli bungeni au ameshaanza??
 
Rostam anunua CHADEMA

Sasa imethibitika kwamba Rostam Aziz amenunua viongozi kadhaa wa CHADEMA kama sehemu ya mkakati wake wa kujisaficha. Kwa mujibu wa habari toka Igonga ambazo zimethitishwa pia na Mwenyekiti wa wilaya Bwana Maji Moto kupitia namba yake 0787493540, bwana Rostam ametoa kitita kikubwa kwa katibu wa wilaya ya Igunga wa chama hicho ili atangaze kuwa wanaCHADEMA wanamtaka aendelee kugombea ubunge katika jimbo hilo.

Hata hivyo, Bwana Maji Moto anasema mtu huyo aliyetoa tamko hilo si Katibu wa wilaya ya chama hicho kwa kuwa alishafukuzwa katika nafasi yao. Inasemekana Bwana huyo alifukuzwa katika nafasi hiyo baada ya kuuza fomu ya kugombea ubunge kwa Rostam mwaka 2005 na hivyo kusababisha CHADEMA kukosa nafasi ya kusimamisha mgombea makini katika uchaguzi. Bwana Maji Moto anasema Katibu huyo alikata rufaa katika ngazi ya mkoa wa chama hicho.

Inasadikiwa kuwa rufaa hiyo imekuwa ikipigwa dana dana kusikilizwa ili kuendelea kuzuia nafasi hiyo kuzibwa. Jitihada za kuzuia nafasi hiyo isizibwe inaelezwa kuwa inafanywa na Bwana Kansa Mbaruku ambaye ni kiongozi wa mkoa wa chama hicho.

Habari zaidi zinaeleza kuwa Bwana Mbaruku na Katibu wako wako kwenye orodha ya kulipwa mishahara(pay roll) ya Rostam Aziz kama ilivyo kwa waandishi wa wanaowakilisha vyombo kadhaa vya habari katika mkoa huo. Wakati hayo yakiendelea, Bwana Rostam Aziz inasadikiwa sasa ameelekeza nguvu zake katika ngazi ya mkoa na katika kuonyesha uwezo wake katika mkoa tayari ameshatuma watu katika kijiji alichotoka Profesa Lipumba wa CUF lengo likiwa ni wazee wa kijiji hicho nao kujitokeza kumtaka akagombee katika jimbo lao.

Inaelezwa kwamba mikakati hiyo ya Rostam Aziz inalenga kumfunika Spika Samuel Sitta katika siasa za mkoa wa Tabora na kujisafisha kutokana na kutajwa katika orodha ya mafisadi. “ Sisi tungependa kuja Dar es salaam kueleza wazi kuwa Rostam ni fisadi, na kwamba watu wa Igunga hatumtaki; kwa kuwa tumezungumza na waandishi wa habari walioko huku lakini habari zetu wameziweka kapuni.

Tunataka kuwasiliana moja kwa moja na wahariri kuwaeleza ukweli kuhusu mambo yanayofanywa na Rostam”, Alisema bwana Maji Moto kwa niaba ya wanachama wa CHADEMA.

PM
 
Niliwaambia wakamate hawa mafisadi kabla hawajaligawa Taifa wakabisha.
 
paparazi bwana .Kichw acha habari nilidhani Mbowe kaungana na RA na Uongozi mzima wa Chadema na wanachama wanamtaka RA aingie Chadema kumbe ni Igunga ? Kule lazima waumie maana jamaa pesa za Vodacom anapeleka huko nikisema tususie mnadhani mie naleta fitina haya .
 
Kuna Siku Atataka Awanunue Wa Tz Wote Maana Jamaa Anaona Kama Ana Uwezo Kununua Chochote.......................hapa Tanzania
 
Kuna Siku Atataka Awanunue Wa Tz Wote Maana Jamaa Anaona Kama Ana Uwezo Kununua Chochote.......................hapa Tanzania

Alishatununua! Labda kama yanayosemwa kuhusu kampeni za kumpata mgombea URAIS kwa tiketi ya CCM (2005) yanatiwa chumvi!
 
Alishatununua! Labda kama yanayosemwa kuhusu kampeni za kumpata mgombea URAIS kwa tiketi ya CCM (2005) yanatiwa chumvi!

Alikununua wewe I will never allow myself to be associated with a fisadi.Atawa nunua ambao ni cheap kama yeye mwenyewe am so expensive sidhani kama ataniweza coz am a trillion dollar investment.
 
niliona miujiza kuwa kiongozi wa chadema aseme kuwa wanataka rostam agombee! kumbe imepita pesa.
rostam nimemkubali anajua kununua cheo.............lakini siku yake inakuja. tena ipo karibuni kuliko anavyodhania
 
Alishatununua! Labda kama yanayosemwa kuhusu kampeni za kumpata mgombea URAIS kwa tiketi ya CCM (2005) yanatiwa chumvi!

Wewe Wildcard, what do you mean? Hizi kauli nazo niaua bendi bwana...
 
Hii habari iende vipi kwenye udaku wakati imethibitishwa na ina source. Hebu mpigie simu huyo Mwenyekiti wa wilaya wa CHADEMA uzungumze naye.
 
Heading mkuu.

Ukisema chadema imenunuliwa ni tofauti na amemnunua katibu wa wilaya wa chadema.....
 
Back
Top Bottom