Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

gazeti limeomba radhi kwa vile limejua kuwa liliandika na kuongeza utamu mwingi kwenye habari.
rostam hana uwezo wa kujipeleka korti kwa khiari na wenye magazeti pia nao wanayajua makosa yao ndio maana wakaona bora yaishe mapema
 
Hivi hiyo kesi yake dhidi ya MwanaHalisi imefikia wapi?
RA alisema kwamba wamuombe Radhi kwa uzito ule ule ambo waliotoa katika Habari zote zinazomhusu yeye.Mwanahalisi walishapinga hilo na wamemwambia atangulie huko,Je ataweza??alitishia Mtu Mzima Nyau..Uwezo hana
 
Tumeambiwa kwamba katika kikao cha CCM kilichokaa jana (15/06/2008) Dodoma, Bw. Lowassa alijitete kwamba; alitaka kuufuta mkataba wa Richmond mara mbili akakataliwa!! Haya ni madai ya kinafiki kabisa ya hadithi ya Sungura na Zabibu; ”Mbichi hizi.....” Ukweli ni kwamba: ’Bwana Lowassa alijaribu kuusitisha mkataba wa Richmond baada ya kuona kwamba mbinu zao (Lowassa na Rostam) za kutuibia hazitafanikiwa kupitia kampuni hiyo (Richmond) baada ya Mabenki mawili City Bank na HSBC kukataa kupokea CL kwa niaba ya matapeli wa Richmond,

Kwa mara ya kwanza City Bank walipokataa kupokea LC ya Richmond ndipo Lowassa alipotoa wazo la kufuta mkataba, Tamaa ya Kifisi ya Bw. Rostam ndiyo iliyomshawishi akaipa muda Richmond kujaribu kupitisha LC katika Bank HSBC. Bank ambayo pia lipokataliwa! Ndipo kwa mara ya pili Bw. Lowassa akata mkataba Ufutwe.

Ikumpukwe kwamba njia ya kukamilisha wizi wao (Lowassa na Rostam) wa kifisadi ilikuwa mpaka pesa zitoke ( LC ipokelewe)

Baada ya jitihada zote kushindwa kupitia Richmond ndipo Lowassa, Karamage na Rostam waliposafiri kwenda Calgary Canada nakufanya mbinu za kufaulisha makataba kutoka Richmond kwenda Dowans;

Mwenyekiti Tanesco (Balozi Kazaura) alipokea simu kutoka kwa Bw Karamage iliyomuarifu kwamba Richmond wanataka kuuza mkataba kwa Dowans. Ikumpugwe kwamba simu hii aliipiga Bw Karamage akiwa Calgary Canada katika ziara pamoja na Bw. Lowassa na Rostam na hii ni coincident?? La hasha huo ulikuwa ni U-MAFIA wa genge la kifisadi.

Ndugu zangu hawa ni wezi - wauwaji wa Kifisadi Ni Watanzania wagapi wanakufa kwa kukosa dawa ama huduma za kawaida kabisa za kijamii – huduma ambazo zingeweza kulipiwa na zaidi ya Million 150 kwa siku Mafisadi hawa wanazotuibia? Tusikubali au kudhani kwamba CCM yaweza kuwadhibu wakati mising ya CCM kuingia katika madaraka ni Ufisadi, wamefika hata kusema kwamba walikuwa washindwe Kiteto kama sio pesa za EPA toka kwafisadi Rostam zilizokodisha Helicopta, sasa vipi Nyani atakuwa hakimu katika kesi dhidi ya Tumbiri na mlalamikaji akadhani atapata haki?
Dawa yao ni kuwazomea wakati wote tukisubiri kuwaonyesha ukweli wetu 2010.

Kazi kwenu.
 
Habari za uhakikia kabisa ni kwamba Rostam Aziz ameanza kuhamishia mali zake nje ya nchi, sababu anahofia mambo yanavyokwenda serikalini kwa sasa. Kwa ushahidi tayari ameweka rehani hisa zake zote 35pc za Vodacom Afrika Kusini. Kabla ya kuhamishia hisa zake, alikua amenunua hisa za Planetel za mwenzake Peter Noni na mkewe, naye alifanya hivyo kuhofia mambo yanavyokwenda ofisini kwake BoT. Rostam alichukua hisa zote 35pc za Watanzania kupitia kampuni zake za Caspian na Mirambo. Nimethibitisha kwa macho yangu mwenyewe nikiwa bongo kwamba Chenge akiwa Waziri wa miundombinu alimsaidia kwa nguvu zake zote Rostam kufanikisha mkakati wake huo wa kuhamisha hisa zake nje kwa kisingizio cha kuweka rehani. Kuna watu serikalini walipinga (na wanaendelea kupinga) lakini jamaa aliwazidi kete kwa kusadiwa na Chenge na sasa inaelekea amefanikiwa kwa kiasi. Zaidi nitawaletea maana naharakisha kurejea majuu. Nitamwachia Invisible mambo yote ili siku mwafaka amwage hadharani
 
Hongera Mama Vibomu

Tunategemea Habari Zaidi

Wakati Mwingine Acha Contact Zako Ili Uanze Kuulizwa Zaidi
 
Habari za uhakikia kabisa ni kwamba Rostam Aziz ameanza kuhamishia mali zake nje ya nchi, sababu anahofia mambo yanavyokwenda serikalini kwa sasa. Kwa ushahidi tayari ameweka rehani hisa zake zote 35pc za Vodacom Afrika Kusini. Kabla ya kuhamishia hisa zake, alikua amenunua hisa za Planetel za mwenzake Peter Noni na mkewe, naye alifanya hivyo kuhofia mambo yanavyokwenda ofisini kwake BoT. Rostam alichukua hisa zote 35pc za Watanzania kupitia kampuni zake za Caspian na Mirambo. Nimethibitisha kwa macho yangu mwenyewe nikiwa bongo kwamba Chenge akiwa Waziri wa miundombinu alimsaidia kwa nguvu zake zote Rostam kufanikisha mkakati wake huo wa kuhamisha hisa zake nje kwa kisingizio cha kuweka rehani. Kuna watu serikalini walipinga (na wanaendelea kupinga) lakini jamaa aliwazidi kete kwa kusadiwa na Chenge na sasa inaelekea amefanikiwa kwa kiasi. Zaidi nitawaletea maana naharakisha kurejea majuu. Nitamwachia Invisible mambo yote ili siku mwafaka amwage hadharani

Inaelekea Tina ana uhakika mno, maana alituambia anakuja Bongo na huenda aliwarubuni na urembo wake wakaingia mkenge. Dada hebu tupe siri ya urembo, maana inawezekana umekutana nao wakamwaga siri. Waandishi wasilaze damu
 
Huyu sasa inabidi kumfanyia timing kabla hajapotea kabisa kwani tunalizwa hivi hivi.
Huyu Chenge inabidi tumkate kichwa kabisa hafai hata kwa bure ni hasara tupu vichwa kama hivi bomu kabisa.
Hongera Tina kwa kutufumbua macho.
 
mafisadi wote wataondoka tanzania kidogo kidogo. kwa kuwa sheria za kuwachukulia hatua zina sua sua na kuwapa nafasi ya kuhamisha mali na kutokemea wanakokujua wenyewe.
the next we will hear ni kuwa mtu kafa na maziko yake ni baina ya yeye na mkewe tu
 
This is getting hotier than I expected.Give us more.Itabidi hawa watu wasulubishwe kwa kweli.Kikwete has to be dealt with to accordingly he cant just let our country being robbed like this by this rogues.
 
jamani hivi huyu Chenge yeye anajiona ni Mungu mtu au? mimi simuelewi yani huyu kiumbe ni zaidi ya Balali nadhani huyu ni hatari kuliko kitu kingine hapa nchini, inakuaje avumumiliwe kwa yote anayoyafanya anawezaje kumsaidia huyu Rostam ambae ni aslimia kubwa ya ufisadi wote nchini!!!! bila kufilisiwa na adhabu kubwa juu yao naamini waTZ hawatavumilia. Tina tunasubiri kwa hamu kubwa juu ya swala hili INAKERA SANAAAAAAA.
 
Habari za uhakikia kabisa ni kwamba Rostam Aziz ameanza kuhamishia mali zake nje ya nchi, sababu anahofia mambo yanavyokwenda serikalini kwa sasa. Kwa ushahidi tayari ameweka rehani hisa zake zote 35pc za Vodacom Afrika Kusini. Kabla ya kuhamishia hisa zake, alikua amenunua hisa za Planetel za mwenzake Peter Noni na mkewe, naye alifanya hivyo kuhofia mambo yanavyokwenda ofisini kwake BoT. Rostam alichukua hisa zote 35pc za Watanzania kupitia kampuni zake za Caspian na Mirambo. Nimethibitisha kwa macho yangu mwenyewe nikiwa bongo kwamba Chenge akiwa Waziri wa miundombinu alimsaidia kwa nguvu zake zote Rostam kufanikisha mkakati wake huo wa kuhamisha hisa zake nje kwa kisingizio cha kuweka rehani. Kuna watu serikalini walipinga (na wanaendelea kupinga) lakini jamaa aliwazidi kete kwa kusadiwa na Chenge na sasa inaelekea amefanikiwa kwa kiasi. Zaidi nitawaletea maana naharakisha kurejea majuu. Nitamwachia Invisible mambo yote ili siku mwafaka amwage hadharani

Tina,

Hapa unanichanganya.

Je huyu Chenge alimsaidia wakati bado akiwa waziri au bado anamsaidia wakti huu akitumia ujuzi wake wa sheria?

Naomba ufafanuzi kidogo kwa sababu kama alifanya hivo basi alikuwa akikiuka maadali ya uongozi na anastahili kuundiwa tume ingine ili imchunguze.

Pili, hao waliopinga UFISADI huo na ambao bado wanaendelea kupinga mbona bado wapo kimya, ni vizuri tukawafahamu na tujue kwanini wamekua wapo kimya hadi sasa.

Na mwisho kama bado anafanya mambo hayo kwa sasa akiwa mbunge, basi inabidi ajiuzulu huo ubunge.
 
Ukisoma maandiko ya Tina kunasehemu inasomeka ..."Chenge akiwa Waziri wa miundombinu ...."
 
udhibitisho zaidi utasaidia kuiweka hoja yako pazuri,,otherwise imekaa kama story ya kijiweni....kwa vile hoja yako inaonekana ni mtu ulie na uthibitisho, basi tunakuomba utumwagie mambo yote hapa kama itawezekana
 
jamani hivi huyu Chenge yeye anajiona ni Mungu mtu au? mimi simuelewi yani huyu kiumbe ni zaidi ya Balali nadhani huyu ni hatari kuliko kitu kingine hapa nchini, inakuaje avumumiliwe kwa yote anayoyafanya anawezaje kumsaidia huyu Rostam ambae ni aslimia kubwa ya ufisadi wote nchini!!!! bila kufilisiwa na adhabu kubwa juu yao naamini waTZ hawatavumilia. Tina tunasubiri kwa hamu kubwa juu ya swala hili INAKERA SANAAAAAAA.

Wakati ule, alishasema kuwa yuko njiani akitokea ahera kuja duniani....kwa hiyo ana nguvu isiyo sawa na nguvu za kawaida za binadamu.....
 
Bila kuingia mitaani na kuilazimisha serikari haiwezekani kupata suluhu la magaidi wa uchumi hawa-MAFISADI kama wengi tunavyodhani si rahisi kiasi hicho kwa JK kuwachukulia hatua wanayostahili kwa maoni ya wengi wana JF maana aliwaamini na kutoa imani kwao ni ngumu maana pia ni rafiki zake kwa namna moja au nyingine.

Kama haiwezekani ''PUNDA ATASEMA iko siku haya ambayo tunashindwa tuanaoyaona.
 
Habari za uhakikia kabisa ni kwamba Rostam Aziz ameanza kuhamishia mali zake nje ya nchi, sababu anahofia mambo yanavyokwenda serikalini kwa sasa. Kwa ushahidi tayari ameweka rehani hisa zake zote 35pc za Vodacom Afrika Kusini. Kabla ya kuhamishia hisa zake, alikua amenunua hisa za Planetel za mwenzake Peter Noni na mkewe, naye alifanya hivyo kuhofia mambo yanavyokwenda ofisini kwake BoT. Rostam alichukua hisa zote 35pc za Watanzania kupitia kampuni zake za Caspian na Mirambo. Nimethibitisha kwa macho yangu mwenyewe nikiwa bongo kwamba Chenge akiwa Waziri wa miundombinu alimsaidia kwa nguvu zake zote Rostam kufanikisha mkakati wake huo wa kuhamisha hisa zake nje kwa kisingizio cha kuweka rehani. Kuna watu serikalini walipinga (na wanaendelea kupinga) lakini jamaa aliwazidi kete kwa kusadiwa na Chenge na sasa inaelekea amefanikiwa kwa kiasi. Zaidi nitawaletea maana naharakisha kurejea majuu. Nitamwachia Invisible mambo yote ili siku mwafaka amwage hadharani

Ahsante sana Tina kwa kushiriki kikamilifu katika vita hii dhidi ya mafisadi. Mchango wako katika vita hii wanaJF na Watanzania wote wapenda haki na maendeleo ya nchi yetu tunauthamini sana.
 
ziko njia mbadala za kuzuia mafisadi wasitoroke na mali za watanzania?wanasheria tusaidieni

huyu muajemi rostam azizi alizaliwa pale chimala mbeya, akapata pesa kwa kumaliza wale wanyama wa usangu, kwa uwindaji haramu, akakimbilia igunga, akapata utajiri wa ajabu kwa wizi wake wa pesa za walala hoi,. sasa anataka kukimbilia ughaibuni na akiwa alosto huko atarudi tena kama akina chavda! hapana ni lazima tumwahi
 
Inaelekea Tina ana uhakika mno, maana alituambia anakuja Bongo na huenda aliwarubuni na urembo wake wakaingia mkenge. Dada hebu tupe siri ya urembo, maana inawezekana umekutana nao wakamwaga siri. Waandishi wasilaze damu

Hi vi dada Tina ile kazi ya lowassa hukufanikiwa? kama ulifanikiwa hukupata data?? tunakuaminia dada yetu
 
Back
Top Bottom