Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Kwa mujibu wa ripoti ya benki ya dunia ya mwaka 2004...Gavana wa benki yetu alikuwa Abdala kigoda na alternate alikuwa Grey Mgonja...Sasa hapo vipi mbona mnatuchanganya?
Ama ndio dili lenyewe hilo kuwa Ballali alikuwa gavana famba na maamuzi yalifanywa na kigoda na Mgonja?
 
mada imepoteza muelekeo? au kwa makusudi inapotezwa? naona toka post yangu hapo juu kama imeanza kupoteza muelekeo. Au nimekosea wandugu?
 
mada imepoteza muelekeo? au kwa makusudi inapotezwa? naona toka post yangu hapo juu kama imeanza kupoteza muelekeo. Au nimekosea wandugu?

Mada hapa ni Rostam Aziz..Tunaomba pia tuwekewe Aliases zake..Maana lazima ana majina mengine kama sikosei.

Mada haijatoka nje kabisa kwasababu huyo jamaa ana nguvu kuliko Rais mwenyewe na kwahiyo tukianza kumzungumzia ni lazima tu refresh memories...Na kwa kuanzia tunaangalia na timu yao ya wana mtandao ili kuweza kujuwa wana agenda gani.

Mara nyingi kamati ya uchaguzi ina reflect agenda za mgombeaji..Sasa wasome hao watu na ujiulize toka hiyo kamati ya uchaguzi ya kampeni ya JK iteuliwe hadi sasa ni mangapi yametokea na wajumbe wake akiwemo RA...wana husika vipi kwa mambo yote yaliyoigubika serikali ya JK na kwa jinsi mtu huyu alivyo na nguvu za kupindukia kwenye Taifa letu.

Kwanza bado tumeanzia juu juu tu.

Rostam ni eneo la huko Iran...Lina maana yake na ni la kihistoria...Hivyo huwezi kutenganisha Rostam na PRIDE YA MUIRAN...Huyo ni MUIRANI NA INTEREST ZAKE NI ZA IRAN NA SI TANZANIA.

Hilo liko wazi na HAKUNA KUMTETEA HAPA BILA YA KULETA MAELEZO YA KUTOSHA KUWA HUYU MTU NI NANI!

Huyu mtu aliyekuwa na biashara kwenye Taifa letu wakati babu yangu akimpiga mwarabu.

Tena labda alikuwa ni babu yake...Historia iwekwe wazi hapa...Na kama anataka kutawala Tanzania kwa misingi ya chuki za kidini na kikabila..Basi ajihadhari sana...Na nilishamwambia aachane na siasa.
 
Padri Karugendo,

Hili tulishalisemea toka zamani sana,ukiachilia mbali na hayo yote ya RA ila wewe kama mtu uliyesomea dini,naomba utuambie lego la kanisa kwa watu ambao waovu?Je tunawapokea na kuwakaribia au tunawatenga na kuwafukuza?

suala lingine ni hili la Mtikila,kila mtu yuko huru kuamua ajibizane na nani na sijibizane na nani,Mie nina uwezo wa kuamua tu kwamba sitaki kujibizana na Shalom kwa sababu zangu binafsi tu,au kubeza hoja za Mp,Naamua tu bila kuingiliwa na mtu mwingine.hilo alikuwa sahihi

Kuhusu suala la watu kutoridhika na nafasi zao,lina ukweli ndani yake na lilisababishwa na yeye kuwa karibu na Rais hivyo waliokosa walijua yeye ndiye alimshauri Raisi kuhsu hili.

Maendeleo ya Tanzania yanakuwa magumu kwa sababu ya kukosa sera zilizo bora na hayarudishwi nyuma na watu hata siku moja,ila ili uendelee unahitaji watu,siasa safi na utawala ulio bora.Tumekosa utawal ulio bora has akwa watendaji wengi wa serikali ambao wamaekuwa watumwa wa kukimbia 'workshop' na kuacha kubuni miradi ya maendeleo.

Mie nadhani kama tunaona RA ni mchafu,Yes i once said ni bora mwenye ushahidi aupeleke mahakamani

WeWE na hao mafisadi wenzako mnaoiba halafu mnajifanya kusema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani kuna siku isiyo jina inakuja... chunga sana!!!!
 
Mi nilishasema wazi kuwa Rostam inabidi kama mnamuona mchafu mlete ushahidi na sio kufikirika.

Padre, nikisema sina muda wa kujibizana nawe sina maana ni mbaguzi, naweza kuwa na maana kuwa nakuheshimu sana na sistahili kujibizana nawe. Najua umeenda shule ila uelee ku spin ni kazi ambayo wote tunaiweza.

Kuhusu biashara inawezekana imeanza mwaka 1450 acha aliyoitaja, uhalali au udhalimu wake inabidi ithibitishwe sio kuvamia na ku generalize. Padre umeenda shule vya kutosha kuelewa hilo. Hata Afrika kusini wakati wa ubaguzi kulikuwa na akina JOE SLOVO ambao walikuwa ni wazungu wanaosaidia weusi. Sio kila aliyekuwa muhindi au mwarabu alishiriki biashara chafu.

Kuhusu watu kufikiria kuwa amewakosesha vyeo. Mbona hilo ni so obvious? Hakuna ambaye hajui role ya Rostam kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais wa Tanzania ndani ya CCM. Cha ajabu ni nini hapo?

Watoto wa Rostam wanasoma wapi?, unataka wasome Igunga?, najua huna watoto ila niambie ndugu zako waliopo mjini, wanawasomesha watoto wao Kanyigo mlikotokea? (sina maana unatoka kanyigo), mengine unatumia tu common sense ingawa sio always ni common.

Kweli kazi ya uandishi wa hizi makala ni rahisi sana. Unaweza kuandika tu ilimradi una spin mambo.

Ngoja nianze kuandika na kuwajibu hawa watanzania wenzetu, labda magazeti yenu yakatae, nitahakikisha natumia magazeti hayo hayo kujibia hoja.

Asanteni

Fairplayer
Nakuonea huruma sana. Labda hujui historia. Infact hata mimi nilikuwa natafakari sana kuhusu biashara ya mwaka 1852 uhalali wake. Sote tunajua Tabora ndo ilikuwa njia kuu ya Biashara ya watumwa. Kwa vile sina uwezo lakini Huyu RA hastaili kuendelea kuishi TZ. Ndugu yangu unahitaji ukombozi na unahitaji uende shule iujue historia ya nchi yako mkuu!
 
Mada hapa ni Rostam Aziz..Tunaomba pia tuwekewe Aliases zake..Maana lazima ana majina mengine kama sikosei.

Mada haijatoka nje kabisa kwasababu huyo jamaa ana nguvu kuliko Rais mwenyewe na kwahiyo tukianza kumzungumzia ni lazima tu refresh memories...Na kwa kuanzia tunaangalia na timu yao ya wana mtandao ili kuweza kujuwa wana agenda gani.

Mara nyingi kamati ya uchaguzi ina reflect agenda za mgombeaji..Sasa wasome hao watu na ujiulize toka hiyo kamati ya uchaguzi ya kampeni ya JK iteuliwe hadi sasa ni mangapi yametokea na wajumbe wake akiwemo RA...wana husika vipi kwa mambo yote yaliyoigubika serikali ya JK na kwa jinsi mtu huyu alivyo na nguvu za kupindukia kwenye Taifa letu.

Kwanza bado tumeanzia juu juu tu.

Rostam ni eneo la huko Iran...Lina maana yake na ni la kihistoria...Hivyo huwezi kutenganisha Rostam na PRIDE YA MUIRAN...Huyo ni MUIRANI NA INTEREST ZAKE NI ZA IRAN NA SI TANZANIA.

Hilo liko wazi na HAKUNA KUMTETEA HAPA BILA YA KULETA MAELEZO YA KUTOSHA KUWA HUYU MTU NI NANI!

Huyu mtu aliyekuwa na biashara kwenye Taifa letu wakati babu yangu akimpiga mwarabu.

Tena labda alikuwa ni babu yake...Historia iwekwe wazi hapa...Na kama anataka kutawala Tanzania kwa misingi ya chuki za kidini na kikabila..Basi ajihadhari sana...Na nilishamwambia aachane na siasa.

I like this! Umeenda shule na unaijua historia. Unajua kuanalyse! Cheers!
 
Padri Karugendo,
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikilalamikia tabia ya baadhi ya waandishi wa habari kupotoka na kuacha kufanya kazi yao kwa kufuata misingi na miiko ya taalum yao. Inawezekana katika kufanya hivyo labda nilikuwa ninarejea makosa yanayofanywa pia na waandika habari (non-professional journalists). Sina hakika kama Padri Karugendo ni mwandika habari au ni mwandishi kweli aliyepitia labda pale Nyegezi au TSJ wakati huo.

Nikirejea katika thread hii ningependa Padri Karugendo atueleze ni nini hasa kilichomsukuma kuandika habari? pili, Je, maudhui katika makala yake yanamnufaisha vipi mwananchi wa kawaida? Ninaomba katika maelezo yake arejee ugomvi uliopo kati ya wamiliki wa Media House mbili za New Habari Corp. na Freemedia. Ninadariki kuyauliza haya kwa sababu kila kukicha nyie baadhi ya waandika habari mnaganga njaa zenu kwa kuleta habari zisizona manufaa kwa wananchi kwa lengo moja tu nalo ni kuwafurahisha mafahari wawili, mna mawazo yaliyo jela, hebu jikomboeni kifikra!!!!

Sidhani kama kuandika nakala kunahitaji kwenda kwenye hivyo vyuo unavyosema! wala makosa hayatokani na ulisoma au hukusoma, makosa ni kutokujua ndio maana unaweza ukasoma na bado usijue!

Kuwa yuko upande gani nakushauri soma nakala zake zote zilizopita ndio ufikie conclusion yako kuwa anaandika kuwapendeza wakubwa wake!! ukiona asilimia 90 ni kama usemavyo jua kuwa uko sahihi.

Si kila kitu kinachoandikwa sasa kinaifaa jamii ya sasa mengine ni kwa vizazi 100 vijavyo hata kama sasa hujaelewa.Kwa hiyo ukiona haina maana ujiuliza wewe ndio umeachwa au padri kaachwa.Any way ulianza vizuri ila umekosea kumaliza na conclusio ambayo inatia kichefuchefu,Nakala ya ya nani utaikubali basi? ya anayeandikia hewani?? maana zote hutoka gazetini at? yenye wamiliki tofauti.

Kwa kiasi kikubwa sijakubaliana na Padri kwa yeye kugeneralise mambo, lakini ana haki ya kuspeculate.Tatizo lake ni sawa na waandishi wengi huandika habari za RA bila vithibitisho, hatuna watu wa kaundika habari za kichunguzi.Pengine wangeenda huko tabora wangekutana na mengi kuliko haya.
 
I like this! Umeenda shule na unaijua historia. Unajua kuanalyse! Cheers!
Originally Posted by jmushi1
Mada hapa ni Rostam Aziz..Tunaomba pia tuwekewe Aliases zake..Maana lazima ana majina mengine kama sikosei.

Mada haijatoka nje kabisa kwasababu huyo jamaa ana nguvu kuliko Rais mwenyewe na kwahiyo tukianza kumzungumzia ni lazima tu refresh memories...Na kwa kuanzia tunaangalia na timu yao ya wana mtandao ili kuweza kujuwa wana agenda gani.

Mara nyingi kamati ya uchaguzi ina reflect agenda za mgombeaji..Sasa wasome hao watu na ujiulize toka hiyo kamati ya uchaguzi ya kampeni ya JK iteuliwe hadi sasa ni mangapi yametokea na wajumbe wake akiwemo RA...wana husika vipi kwa mambo yote yaliyoigubika serikali ya JK na kwa jinsi mtu huyu alivyo na nguvu za kupindukia kwenye Taifa letu.

Kwanza bado tumeanzia juu juu tu.

Rostam ni eneo la huko Iran...Lina maana yake na ni la kihistoria...Hivyo huwezi kutenganisha Rostam na PRIDE YA MUIRAN...Huyo ni MUIRANI NA INTEREST ZAKE NI ZA IRAN NA SI TANZANIA.

Hilo liko wazi na HAKUNA KUMTETEA HAPA BILA YA KULETA MAELEZO YA KUTOSHA KUWA HUYU MTU NI NANI!

Huyu mtu aliyekuwa na biashara kwenye Taifa letu wakati babu yangu akimpiga mwarabu.

Tena labda alikuwa ni babu yake...Historia iwekwe wazi hapa...Na kama anataka kutawala Tanzania kwa misingi ya chuki za kidini na kikabila..Basi ajihadhari sana...Na nilishamwambia aachane na siasa)
Nani asiyemjua RA?Padre anamjua RA lakini hakuna kitu anaweza fanya.Wengi wanamjua RA lakini vivyo hivyo hawawezi fanya kitu.RA anatujua sisi vizuri and he knows how to handle us.It the old game and it will be played now and then....
 
Jmushi nimestushwa sana na report ya world bank/2004 kuwa Governer wa bank kuu alikuwa "Abdalah Omar Kigoda",

nimeisoma tena kwa makini angalia page 34 kuna haka kajisenti "IDA secondary Education Development Sector - $250m" jamani hizi shule situmechngishwa hela na kandoro kwa nguvu, sasa hii pesa yote iko wapi? halafu tizama maturity date ni 2044! yallah!

Swali hawa jamaa nani aliwatuma wakakope hizi pesa? hivi kweli hatukuwa na njia mbadala ya kupata? Bunge liliridhia huu mkopo au ndio mikataba ambayo ni siri!
 
ROSTAM AZIZ NI NANI?
Hoja hii kwa Watanzania makini ni nzito sana na mwandishi aliyejiuliza swali hili amezama kwenye mada kwa umakini mkubwa. Nataka tu kumsaidia kusema kuwa kwa sisi tunaomjua Rostam Aziz kwa karibu sana, usitake kujua kwa vipi, huyu bwana ni mtoto mdogo sana lakini fedha aliyoitwaa kwetu sisi wajinga imemlewesha na anatuona wote wapumbavu, watumwa ambao babu yake alikuwa akiwanunua na kuwauza huko Tabora kama alivyokiri mwenyewe.
Mimi nimeishi Mkoa wa Tabora kwa miaka mingi kidogo. Baba yake Rostam tulimjua kwa jina la Aziz Mchele, jina hilo la pili linatokana na kazi aliyokuwa anafanya baba yake. Alikuwa mchuuzi wa mchele, anasomba kwa gari yake kutoka Shinyanga kuja Dodoma hadi Dar es Salaam. Hakuwa tajiri, maana tajiri hakeshi usiku kucha akihangaika na malori akichuuza mchele.
Yeye mwenyewe Rostam na kaka zake alikuwa mchuuzi wa ngozi. Maisha magumu kwelikweli alikuwa nayo. Neema ameipata kipindi cha Mwinyi na Mkapa kwa kufunguliwa milango ya Hazina ya Taifa, kama ilivyofanyika kwa Manji.
Baba yake na mama yake Rostam Aziz wako nchini Iran. Ni raia wa huko. Ndugu zake karibu wote wako Iran, vilevile. Huyu ndo kada wa kuaminika wa CCM! Lazaros
 
Nimepitia sana makala hii yenye mabishano mengi na vikorombwezo visivyoisha kuhusu Rostam Aziz, nakubali kuna wanaompata huyu Shetani na wenye hasira sana juu yake. Mimi nauliza tu swali moja na la msingi;

Je kupiga kwenu kelele kunamtisha Rostam? Kama kelele zenu hazimtishi basi fanyeni ambalo litamfanya aone Tanzania ni chungu maani hii yote inamfanya azidi kuona Tanzania ni tamu, mwenyewe anasema ukila wanapiga kelele tuuu... baadaye shwari...! tena ukiwapa kofia na vitenge ndio basi tena.
 
Fairplayer,

1852 kulikuwa na biashara mbili hapo maeneo ya Igunga ya sasa nayo ni Watumwa na Pembe za ndovu. Kama wasemavyo wenzetu, si vizuri kupenda kurusha mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Adili
 
Kwa jeuri yake huyu fisadi, eti the "King Maker",nimejaribu kupata jibu fupi na kurahisisha, nimeishia hapo:
Rostam = Kikwete
 
Rostam hana ukingmaker wala nini ! zaidi ya ufisadi hana haliwezalo ndo maana hata press release aloitoa kempinsky aliandikiwa na lowassa. Upeo wake mdogo and most of the times he lacks original ideas ni mtu wa kukopakopa mawazo tu.
 
Back
Top Bottom