Padri Karugendo,
Hili tulishalisemea toka zamani sana,ukiachilia mbali na hayo yote ya RA ila wewe kama mtu uliyesomea dini,naomba utuambie lego la kanisa kwa watu ambao waovu?Je tunawapokea na kuwakaribia au tunawatenga na kuwafukuza?
suala lingine ni hili la Mtikila,kila mtu yuko huru kuamua ajibizane na nani na sijibizane na nani,Mie nina uwezo wa kuamua tu kwamba sitaki kujibizana na Shalom kwa sababu zangu binafsi tu,au kubeza hoja za Mp,Naamua tu bila kuingiliwa na mtu mwingine.hilo alikuwa sahihi
Kuhusu suala la watu kutoridhika na nafasi zao,lina ukweli ndani yake na lilisababishwa na yeye kuwa karibu na Rais hivyo waliokosa walijua yeye ndiye alimshauri Raisi kuhsu hili.
Maendeleo ya Tanzania yanakuwa magumu kwa sababu ya kukosa sera zilizo bora na hayarudishwi nyuma na watu hata siku moja,ila ili uendelee unahitaji watu,siasa safi na utawala ulio bora.Tumekosa utawal ulio bora has akwa watendaji wengi wa serikali ambao wamaekuwa watumwa wa kukimbia 'workshop' na kuacha kubuni miradi ya maendeleo.
Mie nadhani kama tunaona RA ni mchafu,Yes i once said ni bora mwenye ushahidi aupeleke mahakamani