Katika pita pita zangu...Nimekutana na waraka huu wa watanzania wa Canada...Sijausoma vizuri bado...Ila unazungumzia swala la rushwa.
http://www.scribd.com/doc/2059935/PCCB-SCANDAL
mada imepoteza muelekeo? au kwa makusudi inapotezwa? naona toka post yangu hapo juu kama imeanza kupoteza muelekeo. Au nimekosea wandugu?
Padri Karugendo,
Hili tulishalisemea toka zamani sana,ukiachilia mbali na hayo yote ya RA ila wewe kama mtu uliyesomea dini,naomba utuambie lego la kanisa kwa watu ambao waovu?Je tunawapokea na kuwakaribia au tunawatenga na kuwafukuza?
suala lingine ni hili la Mtikila,kila mtu yuko huru kuamua ajibizane na nani na sijibizane na nani,Mie nina uwezo wa kuamua tu kwamba sitaki kujibizana na Shalom kwa sababu zangu binafsi tu,au kubeza hoja za Mp,Naamua tu bila kuingiliwa na mtu mwingine.hilo alikuwa sahihi
Kuhusu suala la watu kutoridhika na nafasi zao,lina ukweli ndani yake na lilisababishwa na yeye kuwa karibu na Rais hivyo waliokosa walijua yeye ndiye alimshauri Raisi kuhsu hili.
Maendeleo ya Tanzania yanakuwa magumu kwa sababu ya kukosa sera zilizo bora na hayarudishwi nyuma na watu hata siku moja,ila ili uendelee unahitaji watu,siasa safi na utawala ulio bora.Tumekosa utawal ulio bora has akwa watendaji wengi wa serikali ambao wamaekuwa watumwa wa kukimbia 'workshop' na kuacha kubuni miradi ya maendeleo.
Mie nadhani kama tunaona RA ni mchafu,Yes i once said ni bora mwenye ushahidi aupeleke mahakamani
Mwanahalisi ni Freemedia? 😱
Do your research thoroughly on this toipic,
Nakuonea huruma sana. Labda hujui historia. Infact hata mimi nilikuwa natafakari sana kuhusu biashara ya mwaka 1852 uhalali wake. Sote tunajua Tabora ndo ilikuwa njia kuu ya Biashara ya watumwa. Kwa vile sina uwezo lakini Huyu RA hastaili kuendelea kuishi TZ. Ndugu yangu unahitaji ukombozi na unahitaji uende shule iujue historia ya nchi yako mkuu!Mi nilishasema wazi kuwa Rostam inabidi kama mnamuona mchafu mlete ushahidi na sio kufikirika.
Padre, nikisema sina muda wa kujibizana nawe sina maana ni mbaguzi, naweza kuwa na maana kuwa nakuheshimu sana na sistahili kujibizana nawe. Najua umeenda shule ila uelee ku spin ni kazi ambayo wote tunaiweza.
Kuhusu biashara inawezekana imeanza mwaka 1450 acha aliyoitaja, uhalali au udhalimu wake inabidi ithibitishwe sio kuvamia na ku generalize. Padre umeenda shule vya kutosha kuelewa hilo. Hata Afrika kusini wakati wa ubaguzi kulikuwa na akina JOE SLOVO ambao walikuwa ni wazungu wanaosaidia weusi. Sio kila aliyekuwa muhindi au mwarabu alishiriki biashara chafu.
Kuhusu watu kufikiria kuwa amewakosesha vyeo. Mbona hilo ni so obvious? Hakuna ambaye hajui role ya Rostam kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais wa Tanzania ndani ya CCM. Cha ajabu ni nini hapo?
Watoto wa Rostam wanasoma wapi?, unataka wasome Igunga?, najua huna watoto ila niambie ndugu zako waliopo mjini, wanawasomesha watoto wao Kanyigo mlikotokea? (sina maana unatoka kanyigo), mengine unatumia tu common sense ingawa sio always ni common.
Kweli kazi ya uandishi wa hizi makala ni rahisi sana. Unaweza kuandika tu ilimradi una spin mambo.
Ngoja nianze kuandika na kuwajibu hawa watanzania wenzetu, labda magazeti yenu yakatae, nitahakikisha natumia magazeti hayo hayo kujibia hoja.
Asanteni
Fairplayer
Mada hapa ni Rostam Aziz..Tunaomba pia tuwekewe Aliases zake..Maana lazima ana majina mengine kama sikosei.
Mada haijatoka nje kabisa kwasababu huyo jamaa ana nguvu kuliko Rais mwenyewe na kwahiyo tukianza kumzungumzia ni lazima tu refresh memories...Na kwa kuanzia tunaangalia na timu yao ya wana mtandao ili kuweza kujuwa wana agenda gani.
Mara nyingi kamati ya uchaguzi ina reflect agenda za mgombeaji..Sasa wasome hao watu na ujiulize toka hiyo kamati ya uchaguzi ya kampeni ya JK iteuliwe hadi sasa ni mangapi yametokea na wajumbe wake akiwemo RA...wana husika vipi kwa mambo yote yaliyoigubika serikali ya JK na kwa jinsi mtu huyu alivyo na nguvu za kupindukia kwenye Taifa letu.
Kwanza bado tumeanzia juu juu tu.
Rostam ni eneo la huko Iran...Lina maana yake na ni la kihistoria...Hivyo huwezi kutenganisha Rostam na PRIDE YA MUIRAN...Huyo ni MUIRANI NA INTEREST ZAKE NI ZA IRAN NA SI TANZANIA.
Hilo liko wazi na HAKUNA KUMTETEA HAPA BILA YA KULETA MAELEZO YA KUTOSHA KUWA HUYU MTU NI NANI!
Huyu mtu aliyekuwa na biashara kwenye Taifa letu wakati babu yangu akimpiga mwarabu.
Tena labda alikuwa ni babu yake...Historia iwekwe wazi hapa...Na kama anataka kutawala Tanzania kwa misingi ya chuki za kidini na kikabila..Basi ajihadhari sana...Na nilishamwambia aachane na siasa.
Padri Karugendo,
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikilalamikia tabia ya baadhi ya waandishi wa habari kupotoka na kuacha kufanya kazi yao kwa kufuata misingi na miiko ya taalum yao. Inawezekana katika kufanya hivyo labda nilikuwa ninarejea makosa yanayofanywa pia na waandika habari (non-professional journalists). Sina hakika kama Padri Karugendo ni mwandika habari au ni mwandishi kweli aliyepitia labda pale Nyegezi au TSJ wakati huo.
Nikirejea katika thread hii ningependa Padri Karugendo atueleze ni nini hasa kilichomsukuma kuandika habari? pili, Je, maudhui katika makala yake yanamnufaisha vipi mwananchi wa kawaida? Ninaomba katika maelezo yake arejee ugomvi uliopo kati ya wamiliki wa Media House mbili za New Habari Corp. na Freemedia. Ninadariki kuyauliza haya kwa sababu kila kukicha nyie baadhi ya waandika habari mnaganga njaa zenu kwa kuleta habari zisizona manufaa kwa wananchi kwa lengo moja tu nalo ni kuwafurahisha mafahari wawili, mna mawazo yaliyo jela, hebu jikomboeni kifikra!!!!
Originally Posted by jmushi1I like this! Umeenda shule na unaijua historia. Unajua kuanalyse! Cheers!
Katika pita pita zangu...Nimekutana na waraka huu wa watanzania wa Canada...Sijausoma vizuri bado...Ila unazungumzia swala la rushwa.
http://www.scribd.com/doc/2059935/PCCB-SCANDAL
lakini swali ni rahisi sana. while conducting my throughly investigation kindly respond to my simple qn. Do Mwanahalisi Belong to Freemedia House?
Je kupiga kwenu kelele kunamtisha Rostam? Kama kelele zenu hazimtishi basi fanyeni ambalo litamfanya aone Tanzania ni chungu