Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
Kuna kesi mahakamani Paris na Tanzania, Dowans Vs Tanesco na Tanesco VS Dowans.
Kuna Bank Lien Overseas na TZ against mitambo ya Dowans.
Lakini bado Dr. Idris anataka kufanya business na Dowans.
Ok, mchezo wenyewe ulikuwa uwe ifuatavyo:::
Dowans walikuwa wauze mitambo kwa ~~ $70million to Tanesco.
Tanesco wawe liable na madeni ya Dowans kwa banks sababu walivunja mkataba wa Dowans na kutowalipa capacity charges.
Paris court wangepewa ushahidi kuwa Tanesco walivunja mkataba wakati wanahitaji umeme wa dowans na kuprove ingeletwa hiyo sales agreement.
Lawyers wanaotetea Tanesco Paris wanaweka vigezo kuwa Dowans ni kampuni ya utapeli, lakini kwa Tanesco kununua mitambo ya Dowans, kungevunja hiyo hoja na hizo capacity charges na bank loans totalling ~~~ $170million zingelipwa na Tanesco on top of hizo $70million za kununua mitambo.
Deal zima limebumburuka, na issue sio kuuza mitambo sababu wakiuza mitambo loss iko palepale, issue ni hizo capacity charges za 2 yrs ~~ $170million walizotaka kutumaliza nazo.
Zitto welcome to the real world.
Ukisikia kizungumkuti ndiyo hiki......... Hivi Tanesco so far inawadai Doans bei gani vile? Na so far how much has been paid to Dowans by Tz govt?