Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Kuna kesi mahakamani Paris na Tanzania, Dowans Vs Tanesco na Tanesco VS Dowans.
Kuna Bank Lien Overseas na TZ against mitambo ya Dowans.

Lakini bado Dr. Idris anataka kufanya business na Dowans.

Ok, mchezo wenyewe ulikuwa uwe ifuatavyo:::

Dowans walikuwa wauze mitambo kwa ~~ $70million to Tanesco.
Tanesco wawe liable na madeni ya Dowans kwa banks sababu walivunja mkataba wa Dowans na kutowalipa capacity charges.

Paris court wangepewa ushahidi kuwa Tanesco walivunja mkataba wakati wanahitaji umeme wa dowans na kuprove ingeletwa hiyo sales agreement.

Lawyers wanaotetea Tanesco Paris wanaweka vigezo kuwa Dowans ni kampuni ya utapeli, lakini kwa Tanesco kununua mitambo ya Dowans, kungevunja hiyo hoja na hizo capacity charges na bank loans totalling ~~~ $170million zingelipwa na Tanesco on top of hizo $70million za kununua mitambo.

Deal zima limebumburuka, na issue sio kuuza mitambo sababu wakiuza mitambo loss iko palepale, issue ni hizo capacity charges za 2 yrs ~~ $170million walizotaka kutumaliza nazo.

Zitto welcome to the real world.

Ukisikia kizungumkuti ndiyo hiki......... Hivi Tanesco so far inawadai Doans bei gani vile? Na so far how much has been paid to Dowans by Tz govt?
 
Jamani mimi nacho shangaa hivi ngeleja , kikwete mmetia nini masikioni ?? na je hamuoni uozo wote huu wa dowans? kwanza waamriwe waondoe takataka zao pale ubungo ili tuweke mitambo yetu mipya. Au na nyinyi muna husika na hiyo mitambo??
 
zitto uko wapi?? mbona hutoi comments zako au kama vipi omba msamaha!!
 
Mambo ya Tanzania mimi yamenishinda! Labda sasa wacha nichukue tu gamba la malkia nijue sina kwetu.

Kichwa kinauma kila siku mpaka hata panadol haitibu tena.

Hivi nchi yote imejaa vichaa tupu? Rostam akipata kilevi naona anatucheka kweli kweli. Jamaa hana usmart wowote, ni ujinga wetu ndio unamfanya aonekane mjanja.

Mwanakijiji endelea na mapambano!

Pole rafiki yangu, pole.
I feel your frustration!
 
Ni kweli sisi ndio wajinga kwa kuwaweka madarakani viongozi wa...., Benard Madoff anayeanza kutumikia jela huko Marekani si alikuwa na fedha kuliko hao akina RA na EL combined, mbona sheria imechukua mkondo wake? Tatizo letu hata vyombo vyetu vya usalama vinaonekana kuwa ni matawi ya chama tu, yanatekeleza wanayoambiwa na wapiga domo. Kwa stahili hii unadhani tutafika wapi? Wako wapi usalama wa Taifa?
 
Wana-'dig-in-deep' aka wanachunguza kwa ki-naa!....
 
Baada ya kusoma comment zote hadi sasa mimi naona RA siyo smart, wala Watanzania siyo wapumbavu. U-smart wa RA unatokana na ushirikiano mkubwa anaopata kutoka serikali iliyooza kwa ufisadi, hususan viongozi wake wa juu, kuanzia the top man himself. Wanamkodolea macho tu! Na pengine hata kumelekeza namna bora ya kujiokoa kwa kuwapumbaza wananchi.

Hebu fikiria: Mtu yeyote asiyekuwa na connections au maswahiba ndani ya establishment anaweza kweli kutesa namna hii? Ingekuwa serikali upright ingembana RA kuhusu Kagoda, na hata ule uchotaji wake wa awali wa Afriteiner.

Serikali ndiyo inawaangusha, au tuseme inawasaliti wananchi waliyoichagua (kwa kishindo!!!!) kwa kutofanya jitihada za dhati kumbana mtu mmoja aliyewaibia Watanzania na halafu kutumia hela hizo hizo za wizi kuiziba mdomo serikali.

Ukichunguza sana suala la Dowans, utaona ni hivyo hivyo, serikali iko hata tayari kukashifiana na Bunge ili kutimiza anavyotaka RA. Sijaona serikali iliyozubaa kama hii.

Kwa kumalizia tu, hayo matangazo ya Dowans yaliyotoka magazetini, sijui yatalipwa na nani. watapeleka ankara wapi?
 
Kuna kesi mahakamani Paris na Tanzania, Dowans Vs Tanesco na Tanesco VS Dowans.
Kuna Bank Lien Overseas na TZ against mitambo ya Dowans.

Lakini bado Dr. Idris anataka kufanya business na Dowans.

Ok, mchezo wenyewe ulikuwa uwe ifuatavyo:::

Dowans walikuwa wauze mitambo kwa ~~ $70million to Tanesco.
Tanesco wawe liable na madeni ya Dowans kwa banks sababu walivunja mkataba wa Dowans na kutowalipa capacity charges.

Paris court wangepewa ushahidi kuwa Tanesco walivunja mkataba wakati wanahitaji umeme wa dowans na kuprove ingeletwa hiyo sales agreement.

Lawyers wanaotetea Tanesco Paris wanaweka vigezo kuwa Dowans ni kampuni ya utapeli, lakini kwa Tanesco kununua mitambo ya Dowans, kungevunja hiyo hoja na hizo capacity charges na bank loans totalling ~~~ $170million zingelipwa na Tanesco on top of hizo $70million za kununua mitambo.

Deal zima limebumburuka, na issue sio kuuza mitambo sababu wakiuza mitambo loss iko palepale, issue ni hizo capacity charges za 2 yrs ~~ $170million walizotaka kutumaliza nazo.

Zitto welcome to the real world.
Du! kama mchezo wenyewe ulikuwa ndio huu, na hao tuliowapa dhamana ya uongozi wanaujua fika basi nchi imebaki jina tuu.NA SISI NI MABWEGE KWA KUWACHAGUA WAO.
Kwako mdogo wangu Mhe.Zitto, nakuheshimu sana na kukupenda kwa jinsi ulivyofanya mengi ya manufaa,lakini kama utetezi ule wa kununua hiyo mitambo ya Dowans uliufanya ukijua mambo haya na wewe ukatumia msemo wa 'kwa maslahi ya taifa' kutuzuga sisi,NITAHITAJI MAOMBEZI ILI NIKUSAMEHE DHAMBI HII.
 
Ni kweli sisi ndio wajinga kwa kuwaweka madarakani viongozi wa...., Benard Madoff anayeanza kutumikia jela huko Marekani si alikuwa na fedha kuliko hao akina RA na EL combined, mbona sheria imechukua mkondo wake? Tatizo letu hata vyombo vyetu vya usalama vinaonekana kuwa ni matawi ya chama tu, yanatekeleza wanayoambiwa na wapiga domo. Kwa stahili hii unadhani tutafika wapi? Wako wapi usalama wa Taifa?

Kwani Madoff alihusisha system mzima kwenye wizi wake? Tatizo hapa tunashughulika na kila mtu. Ni mtego wa panya na hakuna mtu katika utawala huu wa TZ anaweza kuingiza mguu wake katika hii kesi. Kama huamini subiri siku moja utaona ukweli wake.
 
tanzania,tanzania nakupenda kwa moyo wote.... nikifikiria huu wimbo,machozi yananitoka kuona metamorphosis ya nchi hii kutoka tanganyika,tanzania hadi wadanganyika. yaanini mimi sielewi,jamaa kapiga kofi tu,ndani ya wiki moja yuko ndani,lakina my beloved E.L(endless love) kapiga kfoi watanzania wote, kuna jamaa kajitokeza kusema eti ni ajali ya kisiasa.hehehehe.sasa mbona alimpiga kofi mzee R ,hajaambiwa ni ajali tu.sasa miye nauliza hii dowans kama haina mtu,basi mbona wadanganyika tusiichukue tu na kuitaifisha?kama wenyewe wako disguise basi wapotele mbali.ata kama ni kuifungua na kuuza kwenye scrape haina shida.yaani miye nimechoka,ngoja niapate moja moto moja baridi,nipooze radiator yangu.
 
hii ni kiboko...kweli sisi ni wadanganyika, Yaani hatuko serious kabisa kampuni haina hata Landline na Fax number.

Contact Information
Contact Person:
Mr. Guy Picard
Offline
Upload your photo to attract more business!

Company Name: Dowans Tanzania Ltd
Street Address: Morogoro Road
City: Dar Es Salaam
Province/State: n / a
Country/Region: Tanzania
Zip: n/a
Telephone: 255-756-606042
Fax: 255

Hawa walootaka kununua hii kitu kutoka kwa kampouni hii uchwara wapo serious kweli?.

Kweli nchi imefikishwa mahali ambapo kuna watu ni untouchables. Kweli Muungwana serikali yake imechezewa vya kutosha.

Baada ya kushtuka kununua mitambo hii chakavu, we need to move further. Wale wote waliokuwa kwenye deal la ununuzi huu wahojiwe ilikuwaje
 
Huyu jamaa RA anatakiwa kuendewa kwa uangarifu mkubwa kwani amefanikiwa kuikamata vyema idara ya usalama wa Taifa ndiyo wanamsaidia ku destroy documents nyingi za ushahidi katika kashfa zake nyingi, na ukifuatilia sana utakuta yeye haingii kichwa kichwa bali huwatumia wengine kufanikisha mission zake.
Kuna taarifa kuwa yeye ndiye mwajiri wa hawa Iddrisa Rashid kutoka VODACOM ambayo pia ana hisa pamoja na bwana mkubwa (eti) hadi kamleta huku TANESCO, pia na huyu bwana mdogo Ngereja pia aliajiriwa naye kule Vodacom ambako Iddrisa alikuwa bosi wake ni huyohuyo alimvuta Ngereja kuja katika uwaziri na hatimaye kukamata wizara nyeti ya madini na nishati, sasa hawa watu wamepangana kuna vitu wanataka kukamilisha ila wanakwamishwa na kelele zetu tukiongozwa na watu kama Sita, Mwakyembe, Sherukindo na wengine. Kumbukeni huyo Rashid aliwahi kutisha kujiuzulu lakini Bwana mkubwa akambembeleza, tujiulize kuna nini katikati ya hawa watu?
 
Kuna kesi mahakamani Paris na Tanzania, Dowans Vs Tanesco na Tanesco VS Dowans.
Kuna Bank Lien Overseas na TZ against mitambo ya Dowans.

Lakini bado Dr. Idris anataka kufanya business na Dowans.

Ok, mchezo wenyewe ulikuwa uwe ifuatavyo:::

Dowans walikuwa wauze mitambo kwa ~~ $70million to Tanesco.
Tanesco wawe liable na madeni ya Dowans kwa banks sababu walivunja mkataba wa Dowans na kutowalipa capacity charges.

Paris court wangepewa ushahidi kuwa Tanesco walivunja mkataba wakati wanahitaji umeme wa dowans na kuprove ingeletwa hiyo sales agreement.

Lawyers wanaotetea Tanesco Paris wanaweka vigezo kuwa Dowans ni kampuni ya utapeli, lakini kwa Tanesco kununua mitambo ya Dowans, kungevunja hiyo hoja na hizo capacity charges na bank loans totalling ~~~ $170million zingelipwa na Tanesco on top of hizo $70million za kununua mitambo.

Deal zima limebumburuka, na issue sio kuuza mitambo sababu wakiuza mitambo loss iko palepale, issue ni hizo capacity charges za 2 yrs ~~ $170million walizotaka kutumaliza nazo.

Zitto welcome to the real world.

Just to put it straight in kuwa gharama hizo zingelipwa na watanzania kupitia TANESCO kwani mara baada tu ya hiyo dili kukamilika ungesikia bei ya umeme imepanda wakisingizia kuwa tanesco hawana hela na wanadaiwa. Hii nchi sijui inaelekea wapi ...!! manake Viongozi unawaona wapo busy kwenye vitu vidogo vidogo tu ambavyo havina hata msingi na haya madili ya kuangamiza nchi wanakauka tu kimya kama vile hawapo. Viongozi ndio adui wa maendeleo yetu aisee.
 
Huyu jamaa RA anatakiwa kuendewa kwa uangarifu mkubwa kwani amefanikiwa kuikamata vyema idara ya usalama wa Taifa ndiyo wanamsaidia ku destroy documents nyingi za ushahidi katika kashfa zake nyingi, na ukifuatilia sana utakuta yeye haingii kichwa kichwa bali huwatumia wengine kufanikisha mission zake.
************

Sikafunje: Umenena -- kuhusu RA kukontrol usalama wa taifa ambao wanamsaidia ku-destroy documents. Hizi ni pamoja na zile nyaraka katika matawi ya benki ya CRDB ambako kulipitia fedha za wizi kutoka EPA kwenda kwa Kagoda. Hakuna ushahidi hizo pesa zililipwa kwa nani tena cash, over the counter -- maana nyaraka hakuna. Hii inadhihirisha kuwa CRDB ni benki inayotumiwa na mafisadi kwani Kimei ni wa kwao, alihusika pia katika kuidhamini Richmond kifisadi.

Na kuhusu RA kutumia wengine kufanikisha mission zake hakuwezi kuwa sababu ya kutomnasa iwapo vyombo vyetu vingetaka kumnasa. Kwanza kabisa vyombo hivyo -- PCCB na Ofisi AG -- vinaongozwa na mafisadi waliothibitika. Pili hata kama wasingekuwa mafisadi, wangeleweshwa na mahela yake aliyoyaiba. Kiingereza tunaita Watanzania tuko katika fix kubwa kutoka kwa huyu mtu mmoja tu. Anatuchezea kama vile paka anamchezea panya, huku top man wet tuliemxchagua kwa kishindo anakodoa macho tu na kukenua meno!!! Hatuna pa kukimbilia.
 
Last edited:
Baada ya kusoma comment zote hadi sasa mimi naona RA siyo smart, wala Watanzania siyo wapumbavu. U-smart wa RA unatokana na ushirikiano mkubwa anaopata kutoka serikali iliyooza kwa ufisadi, hususan viongozi wake wa juu, kuanzia the top man himself. Wanamkodolea macho tu! Na pengine hata kumelekeza namna bora ya kujiokoa kwa kuwapumbaza wananchi.

Hebu fikiria: Mtu yeyote asiyekuwa na connections au maswahiba ndani ya establishment anaweza kweli kutesa namna hii? Ingekuwa serikali upright ingembana RA kuhusu Kagoda, na hata ule uchotaji wake wa awali wa Afriteiner.

Serikali ndiyo inawaangusha, au tuseme inawasaliti wananchi waliyoichagua (kwa kishindo!!!!) kwa kutofanya jitihada za dhati kumbana mtu mmoja aliyewaibia Watanzania na halafu kutumia hela hizo hizo za wizi kuiziba mdomo serikali.

Ukichunguza sana suala la Dowans, utaona ni hivyo hivyo, serikali iko hata tayari kukashifiana na Bunge ili kutimiza anavyotaka RA. Sijaona serikali iliyozubaa kama hii.

Kwa kumalizia tu, hayo matangazo ya Dowans yaliyotoka magazetini, sijui yatalipwa na nani. watapeleka ankara wapi?[/QUOTE]

Kwa ngeleja, idrisa na Zitto
 
tanzania,tanzania nakupenda kwa moyo wote.... nikifikiria huu wimbo,machozi yananitoka kuona metamorphosis ya nchi hii kutoka tanganyika,tanzania hadi wadanganyika. yaanini mimi sielewi,jamaa kapiga kofi tu,ndani ya wiki moja yuko ndani,lakina my beloved E.L(endless love) kapiga kfoi watanzania wote, kuna jamaa kajitokeza kusema eti ni ajali ya kisiasa.hehehehe.sasa mbona alimpiga kofi mzee R ,hajaambiwa ni ajali tu.sasa miye nauliza hii dowans kama haina mtu,basi mbona wadanganyika tusiichukue tu na kuitaifisha?kama wenyewe wako disguise basi wapotele mbali.ata kama ni kuifungua na kuuza kwenye scrape haina shida.yaani miye nimechoka,ngoja niapate moja moto moja baridi,nipooze radiator yangu.

Najiuliza kama wewe halafu najijibu mwenyewe "tuliowapa kazi ya kufanya hivyo ndio wenye hiyo dowans sasa hawawezi kujitaifishia mali zao wenyewe.
 
Huyu jamaa RA anatakiwa kuendewa kwa uangarifu mkubwa kwani amefanikiwa kuikamata vyema idara ya usalama wa Taifa ndiyo wanamsaidia ku destroy documents nyingi za ushahidi katika kashfa zake nyingi, na ukifuatilia sana utakuta yeye haingii kichwa kichwa bali huwatumia wengine kufanikisha mission zake.
************

Sikafunje: Umenena -- kuhusu RA kukontrol usalama wa taifa ambao wanamsaidia ku-destroy documents. Hizi ni pamoja na zile nyaraka katika matawi ya benki ya CRDB ambako kulipitia fedha za wizi kutoka EPA kwenda kwa Kagoda. Hakuna ushahidi hizo pesa zililipwa kwa nani tena cash, over the counter -- maana nyaraka hakuna. Hii inadhihirisha kuwa CRDB ni benki inayotumiwa na mafisadi kwani Kimei ni wa kwao, alihusika pia katika kuidhamini Richmond kifisadi.

Na kuhusu RA kutumia wengine kufanikisha mission zake hakuwezi kuwa sababu ya kutomnasa iwapo vyombo vyetu vingetaka kumnasa. Kwanza kabisa vyombo hivyo -- PCCB na Ofisi AG -- vinaongozwa na mafisadi waliothibitika. Pili hata kama wasingekuwa mafisadi, wangeleweshwa na mahela yake aliyoyaiba. Kiingereza tunaita Watanzania tuko katika fix kubwa kutoka kwa huyu mtu mmoja tu. Anatuchezea kama vile paka anamchezea panya, huku top man wet tuliemxchagua kwa kishindo anakodoa macho tu na kukenua meno!!! Hatuna pa kukimbilia.

Zak Malang mkuu, mi naomba niulize kwa nini tunamlaumu Rostam? He is just taking advantage of a situation handed to him by our Commander in Chief. Ye ni tapeli na mwizi kama wengine lakini amepata trust na assignment kutoka the Highest office. Unafikiri JK hajui kinachoendelea? Ye alichaguliwa kwa pesa chafu za RA na ameendelea kumwezesha RA kuiba kupitia dili za Richmond, Dowans etc.
Sikubali hoja ya kuwa JK ni innocent stander by! Kama sisi wa JF tuna taarifa hizi za RA, unafikiri JK hapati briefing hizi?
JK ndo wa kwanza kulaumiwa katika ishu nzima ya Dowans na 2010 lazima atimuliwe kazini!
 
UNAJUA ndugu yangu tatizo letu sisi lilikuwa lile la chama kimoja mfumo ambao ulizuia kuwa na watu wenye uwezo wa kuona mambo, kufikiri, kupanga na kuwa wajasiliamali wa Kimataifa.

Kwa hivyo vikaibuka vihindi, vibaniani, vipateli, viburushi, viarabu na vizungu viwili vitatu ambavyo viliwafanya na vimeendelea kuwafanya viongozi wetu waamini kuwa Watanzania asilimia 99 ni wajinga kiasi unaweza ukawadanganya kwa chochote kile unachotaka kuwadanganya.

Na kama sio kwa chama tawala kuvihujumu vyama vingine vya siasa hivi leo tungekuwa na watu wenye akili kiasi ambcho isingelikuwa rahhisi kwa ufisadi uliotokea Benki kutokea kama tungelikuwa na memba wa vyama mbadala madhubuti na wanaojua kazi wanayoifanya na maslahi ya taifa.

KIPINDI hicho cha wajinga ndio waliwao, kipindi cha kuwatumia matapeli na warushi wa kimataifa wanaojifanya wana akili za kuwashauri viongozi wetu wa chama na serikali sasa vimepita.

Lakini kwa kuwa sisiemu imeshazoea vya kunyonga bila shaka itawachukua muda mrefu kujibadili na kupata waswahili tunaoweza kuja na propozo na plani mbalimbali ambazo hazihitaji kuwaibia wananchi bali ushirikiano wa kimataifa na tukaifanyia nchi na watu wake makubwa.

Lakini ninaamini mwisho wa vyama kuishi kwa wizi wizi na ujanja ujanja haupo mbali lazim tufufue kina SUKITA na miradi ya ushirika na mataifa mengine ili tuwe tunanyonya toka kwingine na sio kuwanyonya watu wetu wenyewe ambao hawana tena hata tone la maziwa kuwanyonya.

Na ni nani asiyejue utajiri wa mabwana hawa pamoja na waliokuwa mawaziri wakuu wawili wa zamani ulitokana na kuiba fedha Iran ilizotoa kwa maendeleo ya Waislamu na kuzifanya zao. Hesabu ilikuwa waligawana dola laki tano tano kila mmoja.
 
Back
Top Bottom