Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Did you deliberately transposed the words Connection and United🙂
Ni shemeji
Ni mfadhili
Ni mkuu wao
Ni mwaminifu
Ni Mtu wao
Ni wa kuwaminiwa
Ni mwenye uhusiano na wawekezaji
Huyu Rostam huyu, who the hell is he? Kila siku tunasikia Rostam Rostam....kwenye kila soo la ufisadi miaka hii ya karibuni jina la Rostam halichezi mbali. Jamani eeh...huyu Rostam huyu ana manguvu gani huyu? Ana mahela mangapi huyu Rostam? Ni tajiri kiasi gani huyu Rostam? Who the French Connection United Kingdom is this guy?
Vipi Companero:
Hicho ndio ki-bulogi chako. Naona Tanzania siku hizi mmeacha siasa za hoja na mko personal.
Lobengula
Ni shemeji
Ni mfadhili
Ni mkuu wao
Ni mwaminifu
Ni Mtu wao
Ni wa kuwaminiwa
Ni mwenye uhusiano na wawekezaji
Hapana Tuta, blog yangu ni nyingine - hii hapa: UDADISI: Rethinking in Action
Wao akina nani?
Haha ujasahau mambo yako ya ujamaa. Be realistic, ujamaa doesn't exist. it's a lie and a hoax. I can methodically prove it.
Trust me.
french connection united kingdom?! Haa ha!
fcuk.........
Wao akina nani?
I know, it was an interesting camouflage, u r sick, u know that don't you?
Ujamaa ni imani ndugu yangu. Imani haiwi proved methodically. You just live it by faith not by sight. Wote tungekuwa na imani hii inayopingana na ufisadi tusingekuwa tunajadili watu binafsi kama hivi. Kusingekuwa na ufisadi na usanii. Wala kusingekuwa tabaka la mafisadi na mashujaa. Tungekuwa tunagawana matunda ya jasho letu kwa usawa.
We Nyani humjui Rostam? Picha zake kila siku katika magazeti, au unataka kumjua kivipi? Kwikwikwiii!