Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Huyu Rostam huyu, who the hell is he? Kila siku tunasikia Rostam Rostam....kwenye kila soo la ufisadi miaka hii ya karibuni jina la Rostam halichezi mbali. Jamani eeh...huyu Rostam huyu ana manguvu gani huyu? Ana mahela mangapi huyu Rostam? Ni tajiri kiasi gani huyu Rostam? Who the French Connection United Kingdom is this guy?
 
Did you deliberately transposed the words Connection and United🙂
 
Ni shemeji

Ni mfadhili

Ni mkuu wao

Ni mwaminifu

Ni Mtu wao

Ni wa kuwaminiwa

Ni mwenye uhusiano na wawekezaji
 
Huyu Rostam huyu, who the hell is he? Kila siku tunasikia Rostam Rostam....kwenye kila soo la ufisadi miaka hii ya karibuni jina la Rostam halichezi mbali. Jamani eeh...huyu Rostam huyu ana manguvu gani huyu? Ana mahela mangapi huyu Rostam? Ni tajiri kiasi gani huyu Rostam? Who the French Connection United Kingdom is this guy?

Ni huyu hapa: UPOLE: ROSTAM HASHIKIKI?HAGUSWI?HAKAMATIKI? WHY?
 
Did you deliberately transposed the words Connection and United?

****************************************
Yes, he surely did! Tehe -- tehe -- tehe !!!
 
Haha ujasahau mambo yako ya ujamaa. Be realistic, ujamaa doesn't exist. it's a lie and a hoax. I can methodically prove it.

Trust me.

Ujamaa ni imani ndugu yangu. Imani haiwi proved methodically. You just live it by faith not by sight. Wote tungekuwa na imani hii inayopingana na ufisadi tusingekuwa tunajadili watu binafsi kama hivi. Kusingekuwa na ufisadi na usanii. Wala kusingekuwa tabaka la mafisadi na mashujaa. Tungekuwa tunagawana matunda ya jasho letu kwa usawa.
 
Companero mkuu, ujamaa si imani, kwa sababu ujamaa si dini ni itikadi ya kisiasa. Kama ingekuwa imani ingekuwa Catholicism au Islam etc. Lakini kuna mtu anaitwa Nyerere alikuja na political philosophy yake akatulazimisha wote tuamini na aliendesha nchi kwa kufuata itikadi hizi na hatimaye uchumi wa nchi ulipodidimia alijiuzulu.
Na kutokana na kuwa ujamaa umeonekana kuwa siyo practical it is a utopia, basi ndiyo maana mwenzetu amesema ataprove methodically it's wrong.

We Nyani humjui Rostam? Picha zake kila siku katika magazeti, au unataka kumjua kivipi? Kwikwikwiii!
 
We Nyani humjui Rostam? Picha zake kila siku katika magazeti, au unataka kumjua kivipi? Kwikwikwiii!

Susu my friend, kitu ambacho sikielewi ni kwa nini inaonekana kama vile hili li Rostam lina wield so much power and influence? Really? How? It's like a whole bunch of folks are bowing at the alter of Rostam Aziz....good grief!! Who the FCUK is this guy for people to be bow and genuflect at his alter? I just don't get it
 
Back
Top Bottom