Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?
Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?[/QUOTE
Hi Nyani wacha ndoto za alfajiri unamongele Master of TANZANIA (Rostam) huyu jamaa ameidhibiti nchi hii kama alivyokuwa ameidhibiti Mwalim julias k isipokuwa jamaa yupo kimnya ana watumilia wenye nchi (watu weusi) kufikisha ujumbe wake na kukamilisha maslahi yake
Mwananchi Read NewsHata hivyo, Rostam alisema ni vema Dk Mwakyembe angejibu tuhuma au hoja zilizombele yake kuliko kuanza kushambulia watu wengine nje ya hoja na kutafuta mchawi.
"Ndugu mwandishi, hayo mambo kuhusu Dk Mwakyembe nimesikia na kusoma kupitia vyombo vya habari, sasa pia ndiyo nasikia kwamba Dk Mwakyembe kanitaja namchafua," alisema Rostam na kuongeza:
"Nafikiri, sina haja kujibizana naye, lakini jambo moja tu la msingi ni vema akajibu hoja zinazoulizwa kuliko kuanza kumtafuta mchawi," alijibu kwa kifupi.
Vipi...ana accent?
kweli huyu jamaa kashikilia serikali utafikiri anaubia na Urais,mwanzoni alikuwa mshauri wa Rais asiye rasmi katika kuteua viongozi mbalimbali,sijui kwa sasa lakini nchi hii ameishika kweli lakini tutamnasua tuu na ole wake.Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?
Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?[/QUOTE
Hi Nyani wacha ndoto za alfajiri unamongele Master of TANZANIA (Rostam) huyu jamaa ameidhibiti nchi hii kama alivyokuwa ameidhibiti Mwalim julias k isipokuwa jamaa yupo kimnya ana watumilia wenye nchi (watu weusi) kufikisha ujumbe wake na kukamilisha maslahi yake
The King Maker huwa hafanyi press conference za kuzungumza na media direct bali huitisha press conference na kusoma statement yake baada ya hapo ndio basi, hakuna maswali.
Ni kweli utajiri wake ni wa familia, walifika Tabora kwa biashara ya watumwa. Iliposimamishwa walianza biashara ya meno ya tembo mpaka kesho. Hivyo jamaa ni jangili, mzingo hupakiwa kwenye ndege toka Tabora mpaka Nairobi. Pale hutumia passport yake nyingine kwenda aendako na hurudia Nairobi na kuja na ndege yake tabora.
Hata Bungeni ni yeye na Nimrodi Mkono ndio wanaotumia ndege zao kwenda bungeni wanapojisikia.
Akiwa Bungeni, haulizi swali lolote wala hachangii majadiliano yoyote.
Kitu kizuri kuhusu huyu jamaa, wananchi wa jimbo lake wakiwa na shida yoyote, huimaliza mwenyewe.
Ndiye aliyetoa fungu la kampeni ya JK ziwe za Kagoda au la, haijalishi, pesa katoa yeye na JK kaingia Ikulu. RA akianguka, mzee atakuwa hana pa kuegemea.
Sure Pasco
Huyu jamaa ni mfadhili mkubwa wa jimbo lake la Igunga-Tabora.
Kuna jamaa mmoja katokea Igunga anasema kuna kipindi cha nyuma miaka michache iliyopita kulitokea njaa kali sana pale Igunga basi jamaa alitoa Gunia la mahindi kwa kila nyumba.
Pale hakuna wa kushindana nae labda aache mwenyewe huo ubunge lakini hilo haliwezekani kwa sasa may be time will tell!!!
How much is he worth? Ndiye mtu tajiri kuliko wote Tanzania?
How much is he worth? Ndiye mtu tajiri kuliko wote Tanzania?
Nasubiria kwa hamu kubwa....nitakuwa wa kwanzaTaifa hili ni la ajabu sana,tunawekwa kiganjani na mtu mmoja hatufurukuti. Tumebaki na kelele tu ah! ROSTAM! ROSTAM! na pengine yeye na familia yake wanabaki wanatucheka kwa vile hatuna la kufanya maana viongozi wako mfukoni mwake.
Bahati mbaya hata baadhi ya wanahabari mahiri nao ndio hivyo tena, sio ridhiki.
Itafika wakati wananchi watajichukulia sheria mkononi. Binafsi sitashangaa hilo likitokea.