Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?

Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?[/QUOTE

Hi Nyani wacha ndoto za alfajiri unamongele Master of TANZANIA (Rostam) huyu jamaa ameidhibiti nchi hii kama alivyokuwa ameidhibiti Mwalim julias k isipokuwa jamaa yupo kimnya ana watumilia wenye nchi (watu weusi) kufikisha ujumbe wake na kukamilisha maslahi yake
 
Hata hivyo, Rostam alisema ni vema Dk Mwakyembe angejibu tuhuma au hoja zilizombele yake kuliko kuanza kushambulia watu wengine nje ya hoja na kutafuta mchawi.

"Ndugu mwandishi, hayo mambo kuhusu Dk Mwakyembe nimesikia na kusoma kupitia vyombo vya habari, sasa pia ndiyo nasikia kwamba Dk Mwakyembe kanitaja namchafua," alisema Rostam na kuongeza:
"Nafikiri, sina haja kujibizana naye, lakini jambo moja tu la msingi ni vema akajibu hoja zinazoulizwa kuliko kuanza kumtafuta mchawi," alijibu kwa kifupi.
Mwananchi Read News
 
Kuna mtu mwenye audio ya Rostam akiongea?

Na ana elimu gani huyu Rostam?
 
Rostam anaongea lakini kwa nadra sana. Inaonekana ana staili ya kukwepa kujiweka wazi kwenye vyombo vya habari. Ni aina ya mtu anayeweza kuambiwa si mropokaji, lakini anafahamika zaidi kwa kutajwa tajwa kwake kwenye vyombo vya habari vya hapa Tanzania
 
The King Maker huwa hafanyi press conference za kuzungumza na media direct bali huitisha press conference na kusoma statement yake baada ya hapo ndio basi, hakuna maswali.
Ni kweli utajiri wake ni wa familia, walifika Tabora kwa biashara ya watumwa. Iliposimamishwa walianza biashara ya meno ya tembo mpaka kesho. Hivyo jamaa ni jangili, mzingo hupakiwa kwenye ndege toka Tabora mpaka Nairobi. Pale hutumia passport yake nyingine kwenda aendako na hurudia Nairobi na kuja na ndege yake tabora.
Hata Bungeni ni yeye na Nimrodi Mkono ndio wanaotumia ndege zao kwenda bungeni wanapojisikia.
Akiwa Bungeni, haulizi swali lolote wala hachangii majadiliano yoyote.
Kitu kizuri kuhusu huyu jamaa, wananchi wa jimbo lake wakiwa na shida yoyote, huimaliza mwenyewe.
Ndiye aliyetoa fungu la kampeni ya JK ziwe za Kagoda au la, haijalishi, pesa katoa yeye na JK kaingia Ikulu. RA akianguka, mzee atakuwa hana pa kuegemea.
 
Huyo jamaa ahaongei saana,ila ni mtu ana connection iliyoenda shule.Alijisifia biashara yake ni haramu toka miaka ile,cjui kama ni ya utumwa ,pembe za ndovu,nyama au ya ngozi.Habari ndo hiyo!!
 
Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?

Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?[/QUOTE

Hi Nyani wacha ndoto za alfajiri unamongele Master of TANZANIA (Rostam) huyu jamaa ameidhibiti nchi hii kama alivyokuwa ameidhibiti Mwalim julias k isipokuwa jamaa yupo kimnya ana watumilia wenye nchi (watu weusi) kufikisha ujumbe wake na kukamilisha maslahi yake
kweli huyu jamaa kashikilia serikali utafikiri anaubia na Urais,mwanzoni alikuwa mshauri wa Rais asiye rasmi katika kuteua viongozi mbalimbali,sijui kwa sasa lakini nchi hii ameishika kweli lakini tutamnasua tuu na ole wake.
 
The King Maker huwa hafanyi press conference za kuzungumza na media direct bali huitisha press conference na kusoma statement yake baada ya hapo ndio basi, hakuna maswali.
Ni kweli utajiri wake ni wa familia, walifika Tabora kwa biashara ya watumwa. Iliposimamishwa walianza biashara ya meno ya tembo mpaka kesho. Hivyo jamaa ni jangili, mzingo hupakiwa kwenye ndege toka Tabora mpaka Nairobi. Pale hutumia passport yake nyingine kwenda aendako na hurudia Nairobi na kuja na ndege yake tabora.
Hata Bungeni ni yeye na Nimrodi Mkono ndio wanaotumia ndege zao kwenda bungeni wanapojisikia.
Akiwa Bungeni, haulizi swali lolote wala hachangii majadiliano yoyote.
Kitu kizuri kuhusu huyu jamaa, wananchi wa jimbo lake wakiwa na shida yoyote, huimaliza mwenyewe.
Ndiye aliyetoa fungu la kampeni ya JK ziwe za Kagoda au la, haijalishi, pesa katoa yeye na JK kaingia Ikulu. RA akianguka, mzee atakuwa hana pa kuegemea.

Sure Pasco
Huyu jamaa ni mfadhili mkubwa wa jimbo lake la Igunga-Tabora.
Kuna jamaa mmoja katokea Igunga anasema kuna kipindi cha nyuma miaka michache iliyopita kulitokea njaa kali sana pale Igunga basi jamaa alitoa Gunia la mahindi kwa kila nyumba.
Pale hakuna wa kushindana nae labda aache mwenyewe huo ubunge lakini hilo haliwezekani kwa sasa may be time will tell!!!
 
Kukusahihisha tu ni kwamba, nina watu wanaotokea Igunga ambao waliniambia Rostam alishakwenda kuaga kwamba hatagombea tena Ubunge kutokana na kashfa ya Richmond. Pia katika kuzunguka jimboni kwake kuaga, alikuwa ameongozana na Ambulance ambayo kila kijiji alikuwa anawaambia kwamba amewapelekea! Lakini cha ajabu, kila baada ya mkutano kwisha Ambulance hiyo alikuwa anaondoka nayo na kwenda kuonyesha kijiji kingine!

Yaelekea alikuwa anatafuta "sympathy" toka kwa wananchi wa jimbo lake. Sijui kama aliipata au lah!

Gunia la mahindi kwa kila familia kwa "kubadilishana" pembe za ndovu ni sawa na tone la mvua ndani ya bahari! Si kizazi hiki kitachoshuhudia unyonge na umasikini wa Mtanzania ukiondoka...labda kizazi kijacho...LABDA!!!
 
How much is he worth? Ndiye mtu tajiri kuliko wote Tanzania?

Hawasemagi hizo mkuu! Maana ikijulikana kesho yake utawaona Watanzania walalahoi wanaandamana barabarani!

Sumaye alipotaja mali zake kipindi akiwa Waziri Mkuu, akaitaja nyumba yake yenye thamani ya shs 50M alizokopa NSSF ilikuwa skendo kubwa kwenye vyombo vya habari. Kwa mtazamo wangu Sumaye aliitaja nyumba hiyo kwa kudhani ni pesa kidogo sana hiyo akilinganisha na NET WORTH yake na hivyo alitegemea Watanzaia wangeona ni pesa kidogo tu.....!!!
 
How much is he worth? Ndiye mtu tajiri kuliko wote Tanzania?

Un-audited and un-confirmed figure the King Maker is worth $3bn! He do most of his "financials" outside our borders and so to speak he might have a very thin "bank statement" in TZ. He normally keep is cash "in-house"

he is a form iv leaver (sina uhakika kama has "bought" a degree already)!
 
Mods naomba nikipewa jibu ndio muihamishe kama iko wasa na thread nyingine.
Naomba kuuliza kuhusu wazazi wa Rostam Aziz hizi wako wapi na wanafanya nini sasa hivi? na ni raia wa wapi? Maana nimeona katika thread moja kwamba amesema babu na Bibi yake wamezikwa Tanzania, naulizia baba na mama yake
 
Kila kukicha Jina ni Rostam aziz, mara ndiye mmiliki wa kagoda, mara ndiye Dowans mara ndiye fisadi namba moja. Hivi huyu mtu ni nani kasabisha BOT imevunjwa ikaibiwa, kampeleka waziri mkuu chini, kampeleka raisi ikulu, sasa anatumia remote control kuendesha nchi na mashirika yake. huyu mtu ni nani na kwanini watanzania tunamwacha anachezea nchi kama vile mali yake na ukoo wake????
 
Taifa hili ni la ajabu sana,tunawekwa kiganjani na mtu mmoja hatufurukuti. Tumebaki na kelele tu ah! ROSTAM! ROSTAM! na pengine yeye na familia yake wanabaki wanatucheka kwa vile hatuna la kufanya maana viongozi wako mfukoni mwake.
Bahati mbaya hata baadhi ya wanahabari mahiri nao ndio hivyo tena, sio ridhiki.
Itafika wakati wananchi watajichukulia sheria mkononi. Binafsi sitashangaa hilo likitokea.
 
Nasubiria kwa hamu kubwa....nitakuwa wa kwanza
 
Rostam hajulikani vizuri ni kama taswira ya kwenye kioo,kila kitu kaficha kuanzia biashara hadi uraia wake.Na huu utaratibu wa kutoa uraia kifisadi tutakuja kumpata Hitler hata TZ tuwe makini na maswala ya uraia wa TZ.
 
Back
Top Bottom