The King Maker huwa hafanyi press conference za kuzungumza na media direct bali huitisha press conference na kusoma statement yake baada ya hapo ndio basi, hakuna maswali.
Ni kweli utajiri wake ni wa familia, walifika Tabora kwa biashara ya watumwa. Iliposimamishwa walianza biashara ya meno ya tembo mpaka kesho. Hivyo jamaa ni jangili, mzingo hupakiwa kwenye ndege toka Tabora mpaka Nairobi. Pale hutumia passport yake nyingine kwenda aendako na hurudia Nairobi na kuja na ndege yake tabora.
Hata Bungeni ni yeye na Nimrodi Mkono ndio wanaotumia ndege zao kwenda bungeni wanapojisikia.
Akiwa Bungeni, haulizi swali lolote wala hachangii majadiliano yoyote.
Kitu kizuri kuhusu huyu jamaa, wananchi wa jimbo lake wakiwa na shida yoyote, huimaliza mwenyewe.
Ndiye aliyetoa fungu la kampeni ya JK ziwe za Kagoda au la, haijalishi, pesa katoa yeye na JK kaingia Ikulu. RA akianguka, mzee atakuwa hana pa kuegemea.